Search results

  1. Davion Delmonte Jr.

    Haya maisha ukiwa wa kipekee sana unafeli

    Na utafeli, sio kana kwamba kuwa wa kipekee ni jambo baya, ila nimegundua binadamu daima huwaogopa watu wanaoonesha upekee. Kwa sababu watu wanaoonesha upekee mara nyingi ni watu ambao wapo huru na ni watu wanaofanya mambo kulingana na vichwa vyao vinavowatuma. Ni watu wasioogopa. Wakiwa...
  2. Davion Delmonte Jr.

    Siri ya mwanamke kuombwa gegedo na kuwa mkali

    Ananisimulia Rafiki yangu xxxx xxx... Aisee wakuu, jana nimepatikana bana, kuna manzi mmoja tulipeana phone # sasa tukawa tunafanya convo za kutosha. For over three of four days tumekuwa kwenye hot convos.. Yaani zile za ki hot hot si unajua tena kama mtoto mkaree akikupa namba jinsi...
  3. Davion Delmonte Jr.

    Bado kidogo tu nikodishe gari nipige wimbo wa "wataisoma namba" jiji zima

    Hakika mwaka umeanza vibaya sana - Fukununu ya baa la njaa na bei za vyakula vinapanda - Bei ya dola nayo inapanda kwa kasi ya kutisha, huwez amini tangu tarehe 31 December mpaka sasa shilingi imepoteza kama Tzs 50 ya thamani yake dhidi ya dola - Hii story ya bodi ya mikopo kuongeza makato ya...
  4. Davion Delmonte Jr.

    Siku nilipogundua hatusongi mbele na hatutaweza

    Ni pale kila akitumbuliwa mtu, basi nafasi yake inajazwa na Prof au Dr. Mi sijui kama hao ma Prof na ma Dr ni watu wa maana kihivo. Hao watu hakuna kitu kabisa kabisa kabisa kiutendaji. Hata maisha ya hao so called ma Prof na ma Dr wa kibongo, tabia na maisha yao ya hovyo hovyo tu wala hawana...
  5. Davion Delmonte Jr.

    Members registration: CHACHAKUKUCOTA

    O yeh! wale wazee wa kuteleza kwenye lami peku peku, O yeh! kupiga sarakasi na taulo wakati hujavaa boxa, O yeh! kutembea juu ya makaa ya mawe ya moto peku peku, O yeh! namaanisha wale wazee wa kugegeda bila kutumia Condom. Nikiwa mmoja wa aspirant wa kitendo hiki nimeona sasa tuwe chama chetu...
  6. Davion Delmonte Jr.

    How does it work?

    Nimeamua kuuliza hili swali hapo juu. Ni kipindi sasa nimekuwa nikisikia wanaume wenzangu wakisema kwamba "Nikishachukua namba tu mimi tayari nimemaliza shughuli" Hapa wakiwa na maana kwamba akipata namba ya msichana fulani basi lazima atamaliza mambo yote, kutongoza mpaka kula. Sasa nimekuwa...
  7. Davion Delmonte Jr.

    Ni wakati wangu wa kujiunga na siasa sasa- ushauri wa chama kipi ni bora

    Kama kichwa cha habari kinavosema, nimedhamiria kwa dhati kwamba huu mwaka usiishe hivi hivi bila kuwa member rasmi wa chama langu simba na pia mwanachama rasmi wa chama chochote cha siasa. Nimefikia maamuzi hayo baada ya kujitafakari na kugundua kwamba ninaweza kuwa mchango mkubwa kwa jamii...
  8. Davion Delmonte Jr.

    Sijaona amsha amsha yoyote ya kuchangia maafa kwa wenye asili ya Bukoba

    Kutokana na hili janga la tetemeko lililokumba ndugu zetu wa Kagera, kuna maafa makubwa sana yametokea vifo vimetokea, majeruhi mbali mbali, miundo mbinu ya kijamii imeharibiwa vibaya, na kikubwa kabisa makazi ya watu wengi yameharibiwa. Mfano jana wakati nipo kanisani kuna muumini mmoja...
  9. Davion Delmonte Jr.

    Hivi kabila lina mchango katika kupata kazi?

    Mfano mtu umehudhuria interview ukakutana na panel pale labda HR ni mhaya na wewe bahati mbaya ni mhaya. Hivi kunaweza kuwa na some sort of upendeleo ukapata ile kazi just kwa sababu ya hr kuwa kabila lako? Nimeuliza hivo maana nna marafiki zangu wapo Kenya wanasema kama wewe ukienda kwenye...
  10. Davion Delmonte Jr.

    Hivi unakumbuka ulijisikiaje siku uliporushwa pesa

    Nipo hapa barabarani sasahivi naona kuna mtu kam tight jamaa shati anadai mpaka amlipe pesa yake ndo amwachie. Sasa ningeomba embu tutoe uzoefu wetu kuhusu hii issue, mtu anakurusha pesa unayomdai either mmefanya biashara ama amekukopesha halafu kwenye kurejesha anaanza kukuzingua. Uliumia...
  11. Davion Delmonte Jr.

    Yale ya Magafuli 'Sadam wa Libya' yamaejitokeza Marekani

    Mgombea wa Urais wa Libertarian hajui Allepo ni kitu gani.
  12. Davion Delmonte Jr.

    Ingefaa mifuko ya Hifadhi ya Jamii iwe na life span ya miaka 20

    Ukihusika na kichwa cha habari hapo juu, Nimewaza tu kwamba kwa kuzingatia hali halisi ya wafanyakazi wa nchi hii pia suala la life expectancy. Ningeweza kuwaelewa zaidi serikali kama wangezuia fao la kujitoa lakini kwa wakati huo huo wakapunguza life span ya mifiko ya hifadhi ya jamii. Hapo...
  13. Davion Delmonte Jr.

    Yanayomtokea Hillary Clinton ni zaidi ya ilivyokuwa kwa Lowassa

    Nimeona kwamba wanasema anaugua ugonjwa wa Parkinson disease na kuna report moja ndefu niliisoma jana iliniogopesha kweli maana kuna baadhi ya mikutano ya kisiasa ilibidi kwa siri sana adungwe masindano fulani. Ila lucky for her kwamba media ipo upande wake. Kwa sasa kwenye twitter kuna habari...
  14. Davion Delmonte Jr.

    Haya sasa wanawake hakuna kuchuchumaa tena

    Mkuu Bavaria umeamini hawa wazungu sometime akili zao hamnazo.. eti sasa wanawake hakuna kuchuchumaa tena yaani watakuwa na vikojoleo (vidushelele) vyao kama ma men.. Eee Mungu tuhurumie...:mad::mad::mad::mad:
  15. Davion Delmonte Jr.

    Pamoja na changomoto zote bado nchi inahitaji mtu mwenye haiba ya Magufuli

    Ya ni kweli kuna mambo yametoka kwenye mstari kwenye huu utawala, ila pia kuna mambo yameingia kwenye mstari na yanaonesha positivity kubwa. Kuna malalamiko kadha wa kadha, hata mimi kwa kiasi kikubwa nimekuwa nikikereka kwa mambo ambayo yametoka kwenye mstari tangu utawala huu uingie...
  16. Davion Delmonte Jr.

    Shikamoo google map, hatimaye nimefanikiwa kupaona nyumbani

    Ni kwamba nina miaka mingi karibu 5 sijui mazingira ya home kibosho yanafananaje. So leo nimeingia google map nika search na hii ndo picha niliyoiona. Hongereni pia mipango miji mnafanya kazi vizuri. Wananchi pia hongereni mazingira mmejitahidi kuyaweka vema. (Kibosho- Sambarai)
  17. Davion Delmonte Jr.

    View: Tanzanian shilling could be up for correction against USD

    I. Technical Analysis on weekly chart. Technical analysis summary The weekly price chart technically shows a very huge potential USDTZS pair to correct the upward bullish rally that started with wave 1 about ten years ago. The price finalized the impulse wave 5 last year with the price...
  18. Davion Delmonte Jr.

    For Investors: Analysis for CRDB stock at DSE (May)

    I. Price Chart II. Average Price Watch The Average Price Watch is solely to determine how price deviate from the closing price. If the closing price is higher than the average, it implies the market is bullish because investors value the stock far than the previous last period prices shown...
  19. Davion Delmonte Jr.

    Tanzania Plans Foreign Loans in Next Fiscal Year, Ndulu Says

    BongoTabloid: Tanzania Plans Foreign Loans in Next Fiscal Year, Ndulu Says Cc. Bavaria umeona huo utamu kwenye rate auction ya mwezi February??
Back
Top Bottom