Search results

  1. K

    Ninauza shamba la Miti ya Nguzo Heka 25 Mapanda-Mufindi

    Salaam wadau, Ninauza shamba la miti ya nguzo yenye umri wa mwaka mmoja. Heka 25, jumla ya miti 20,000. Shamba lipo Mufindi eneo linaitwa Mapanda, njia ya kuelekea bwawa la Kihansi. Shamba ni la kwangu na ninaliuza kwakuwa nina hitaji la dharura la fedha. Bei ni Ths. 680,000 kwa hekari moja...
  2. K

    TAHADHARI: Matangazo ya kazi "Santos Petroleum Corporation"

    Nimeona matangazo ya kazi zoom kwenye kampuni inaitwa 'Santos Petroleum Corporation' nafasi zinazotangazwa zipo zanzibar, sina uhakika kama ni ya kweli au la! kwani nimejaribu ku-google hiyo kampuni ya Santos haionekani kama ina project yoyote Africa hivyo ninawatahadharisha waombaji kazi wawe...
  3. K

    Mgombea Urais sharti awe mwanachama kwa angalau miezi 3?

    Kuwa mwanachama angalau miezi 3, Nimekuwa ninasikia hoja hii ikirudiwa leo usiku kila baada ya muda mfupi na Radio Uhuru.Wanasema ndio sharia ya uchaguzi invyosema. Hivyo Lowassa hawezi kupitishwa na tume. Wenye uelewa wa sheria ya uchaguzi tafadhalini tujuzeni
  4. K

    URGENT: Graduate wa Degree ya Accountancy anahitajika haraka (1 yr exp)

    Ninahitaji mwenye degree ya accountancy na awe na mwaka mmoja wa experience, computer knowledge & skills ni muhimu sana . Ila aelewe kabisa nafasi iliyopo ni ya Stores. Tuna sababu ya msingi kabisa kuhitaji sifa tajwa kwa nafasi hiyo. Huna sifa hizo tafadhali usiombe Mwajiri yupo Dar...
  5. K

    Tumaini university - makumira huu ni wizi

    Wana jamvi ninapenda kulalamikia wizi unaofanywa na Tumaini University Arusha (Makumira). Ilikuwa hiv; mwaka jana kuna dogo alichaguliwa kuanza 1st year, bahati mbaya ni yatima, Mungu si Athumani Higher Education Students' Loans Board (HESLB) wakampatia mkopo in Full, kwa kweli alifurahi sana...
  6. K

    Msaada tutani: Mobile Number ya BOT Governor na Manaibu wake

    Heshima zenu wakuu, Ninawaomba msaada kwa yeyote mwenye kujua namba za simu za Gavana wetu wa Benki Kuu na Manaibu wake anisaidie kuweka hapa. Natanguliza shukrani!
  7. K

    Sales agents 2, mwenye diploma/certificate ya accounts, receiptionist, na technician

    NINAHITAJI WAFUATAO: 1. SALES AGENTS 2 - WANAOJUA MARKETING NA WENYE UZOEFU WA KAZI USIOPUNGUA MWAKA MMOJA, ANGALAU WAWE NA DIPLOMA YA MASOKO 2. MMOJA MWENYE DIPLOMA AU CRTIFICATE YA ACCOUNTS MWENYE UZOEFU WA KAZI ZA KIHASIBU USIOPUNGUA MWAKA MMOJA 3. RECEIPTIONIST MMOJA - AWE NA ELIMU...
  8. K

    Adam Malima, kuna aibu zaidi ya kuibiwa na changudoa gesti?

    Akichangia mithili ya mipasho! baada ya wabunge wenye machungu na nchi hii kutoka nje bungeni leo.......Bw. Adam Malima alidai kuwa katika maisha yake ya ubunge hakuna siku ambayo amepata aibu kama siku ya leo, aibu iliyotokana na yote yaliyotokea bungeni leo. Siwaelewi hawa watu wetu wanadhani...
  9. K

    Mshahara wa human resources section manager - barrick gold

    Wanajamvi ninaomba kwa yeyoye mwenye kujua mshahara wa post ya HUMAN RESOURCES SECTION MANAGER - BARRICK GOLD anijulishe please!
Back
Top Bottom