Search results

  1. K

    Masha, Mkumbo, Mwigamba, Albert Msando na Katambi Mwenyekiti BAVICHA, wajiunga CCM

    please tembelea www.gabrielco.legal/our-people/ utapata picha kamili.
  2. K

    Sakata la IMMMA: Rais wa TLS, Tundu Lissu atoa maazimio ya Baraza la Uongozi. Wapanga kugoma siku mbili

    Huwezi linganisha Madaktari na Kada nyingine, huduma wanayotoa Madaktari ipo kwenye 'essential services' na hata sheria inaizungumzia na kuna restrictions katika migomo yake! Mawakili wanaweza kugoma kufikisha ujumbe wao na isiathiri maisha ya kila siku (mbona kesi zinapigwa tarehe hadi miaka 5...
  3. K

    Kwanini Wafanyakazi na Wataalam Serikalini wanashindwa kujieleza mbele Viongozi wa kisiasa?

    Tatizo jingine inawezekana hata hiyo barabara hajawai fika physically anaiona kwenye ramani tu!
  4. K

    Kwanini Wafanyakazi na Wataalam Serikalini wanashindwa kujieleza mbele Viongozi wa kisiasa?

    Kwa uelewa wangu mdogo wa kusomea MALEZI YA Mifugo, Huyo Engineer yupo sahihi, kwa tuliowahi kuishi maeneo ya jirani na barabara ya CCBRAT tunaelewa maana ya jibu lake. Njia pekee ya kupitisha maji ya mvua ndipo ilipojengwa CCBRT, labda upitishe mkondo wa maji katikati ya hospital then yatokee...
  5. K

    Kwanini Wafanyakazi na Wataalam Serikalini wanashindwa kujieleza mbele Viongozi wa kisiasa?

    Kwa uelewa wangu mdogo wa kusomea MALEZI YA Mifugo, Huyo Engineer yupo sahihi, kwa tuliowahi kuishi maeneo ya jirani na barabara ya CCBRAT tunaelewa maana ya jibu lake. Njia pekee ya kupitisha maji ya mvua ndipo ilipojengwa CCBRT, labda upitishe mkondo wa maji katikati ya hospital then yatokee...
  6. K

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Hata mimi ninahitaji kuwepo kwenye hiyo list ya watu 300. Sisi watu tuliokula chumvi kiasi tuliwahi ifuatilia miaka kama 10 na ushei iliyopita but kwakuwa kipindi hicho hakukuwa na sources za kutosha na access ya information tukaacha. So I believe ni good business la msingi ni kuwa knowledgeable...
  7. K

    How African Leaders Underdeveloped Africa; Akina Kwame,Nyerere,Mandela,Lumumba wakitutizama wanalia

    Sungusungu sikubaliani na wewe hata kidogo, Uingereza kuendelea baada ya miaka 400 haiwezi kuwa na sisi Africa tusubiri hadi miaka 345 toka sasa ndipo tuendelee, miaka ile level ya technology ilikuwa duni sana pamoja na mambo mengi ndio maana wakachukua muda mrefu, ila dunia ya leo maendeleo...
  8. K

    Mzungu angeongoza Tanzania!

    Hapa kuna hoja mbili ambazo haziingiliani kabisa. Wewe unajaribu kupotosha kwa kuwa hoja zote mbili zinamhusu mtu mmoja. Hakuna Mbunge yeyote aliyesimama kutetea madawa ya kulevya. Hoja za wabunge hapa ni kudharauliwa kwa mhimili huo muhimu wa Taifa hili hivyo wabunge wanataka aliyedharau afike...
  9. K

    Ujenzi wa "flats" 20 za ghorofa nne kwa Tshs bilioni 10, kila flat ni Tshs milioni 500. Twende kazi!

    Maswali kwako:- 1. Je, nyumba ni ya ukubwa gani? (Vyumba vingapi na imechukua mita ngapi za mraba) 2. Ni muda gani utatumia kumaliza ujenzi? 3. Je, umeithaminishaje kazi unayofanya wewe? 4. Wakati ukijishughulisha na ujenzi, kazi zako ulizoamua kuzipumzisha zilikuwa zinakuingizia kiasi gani...
  10. K

    Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa na Upendo Peneza, wakamatwa na Polisi Geita na kuachiwa

    Jibu toka kwa mtu mwenye akili "HONGERA SANA" Hata Mwl JKN alikuwa rafiki mkubwa wa hoja ya uwepo wa mgombea binafsi toka kwa Marehemu Mtikila lakini kamwe hakuwa rafiki wa Mtikila hasa ukizingatia Marehemu alikuwa si muumini wa Muungano.
  11. K

    Mamlaka ya Rais kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri wa Muungano

    Ok. Maslahi ya umma ni yapi? Jibu: Ni mengi, mojawapo haki ya kushiriki siasa, mikusanyiko na maandamano. Ni nani anaye define maslahi ya umma? Jibu; Katiba Yenyewe, halafu mwenye mamlaka ya kuyasimamia maslahi ya umma na kuyalinda ni nani? Jibu: Raia yeyote wa Jamhuri ya Muungano, ndio maana...
  12. K

    Mamlaka ya Rais kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri wa Muungano

    Ibara ulizotaja hizi hapa chini. Unaweza kunionyesha hapo, sehemu inayoruhusu mtu yeyote kunyang'anya uhuru/haki ya mwingine iliyoainishwa kwenye katiba hii? Imeelezwa kwa ufasaha kabisa kuwa kikomo cha uhuru/haki iliyotolewa na katiba hii ni pale ambapo inaingilia uhuru/haki ya mtu mwingine au...
  13. K

    Mamlaka ya Rais kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri wa Muungano

    Ibara hizo za katiba hazijaruhusu yeyote kunyang'anya uhuru/haki yoyote iliyotolewa na katiba, zinataka uhuru/haki iliyotolewa kutotumika kuzuia uhuru/haki nyingine iliyotolewa nayo. Majibu kwa Pascal Mayalla yalihitajika pale.
  14. K

    Mamlaka ya Rais kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri wa Muungano

    Ni kweli Rais ni Mkuu wa Nchi, Kiongozi wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu kwa mujibu wa katiba iliyopo, lakini hakuna popote katika katiba iliyopo Rais amepewa mampala ya KUNYANG'ANYA haki yoyote iliyotolewa kwa mtu au kikundi chochote na katiba yenyewe. Kwa kuwa katiba iliyopo ndio inampa Rais...
  15. K

    Ninauza shamba la Miti ya Nguzo Heka 25 Mapanda-Mufindi

    Salaam wadau, Ninauza shamba la miti ya nguzo yenye umri wa mwaka mmoja. Heka 25, jumla ya miti 20,000. Shamba lipo Mufindi eneo linaitwa Mapanda, njia ya kuelekea bwawa la Kihansi. Shamba ni la kwangu na ninaliuza kwakuwa nina hitaji la dharura la fedha. Bei ni Ths. 680,000 kwa hekari moja...
  16. K

    Rais Magufuli asema anaweza kubadilisha noti kudhibiti wanaoficha hela...

    kwa sasa hivi nenda ukajaribu kununua usd 500 uone utaratibu ulivyo! mambo yamebadilika mkuu!
Back
Top Bottom