Search results

  1. Jalema

    Mgunda, wanaokusifia leo ndiyo hao hao watakaokuzomea kesho

    huyu hamna kitu ngoja akakutane na mazembe mamelod as vita ndo atauona moto kwenda angola kukutana na lipuli na mbao na biashara united anajikuta kocha bora afrika
  2. Jalema

    Congo ilitakiwa iwe tishio kijeshi sijui wanakwama wapi

    Sasa mbona UN na majeshi kutoka nchi mbalimbali wapo kule congo wanalinda amani
  3. Jalema

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njooo rukwa yeye aje kilimanjaro,arusha,manyara Idara msingi
  4. Jalema

    Nawezaje kuifanya LED TV kuwa smart TV?

    Alie elewa anijuze jamani
  5. Jalema

    Uzi maalum: Visa vilivyowahi kukutokea ukipata tiba kwa mganga wa kienyeji

    Shushen nondo za kwa waganga watu wajifunze
  6. Jalema

    Wanaume tuko desperate sana kupata ngono, ifike mahali wanaume tuwe na akili

    Af kuna mtu anakuambia wanaume ni wachachee
  7. Jalema

    Darasa huru, Jifunze hapa kusuka amplifiers

    Mkuu tunakusubiri utupe darasa nyuzi za adabu kama hizi hazina promo kabisaa
  8. Jalema

    Nitumie mbinu gani ili niweze pewa tunda na binti huyu

    Tafuta pesa mkuu narudia tena tafuta pesaaa
  9. Jalema

    Kuna la kujifunza kabla jumba bovu halijakuangukia

    Dawa ni kumtafutia bibi mdogo
  10. Jalema

    Tigo, kwanini mnatulazimisha kukopa kwa kuweka kiasi kikubwa cha bando kwenye Tigo Niwezeshe?

    Kwa hiyo riba ya 400 inakuongezea GB1.5 si haki na mda mwingine wanajua kabisa kwa mbongo wa kawaida kumaliza GB1 kwa saa 24 haiwezekani utapeli wa wazi wazi
  11. Jalema

    Nataka nikope Tsh milioni 10 SACCOS ninunue gari. Niambie uzoefu wako ulivyokopa pesa na kununua gari

    Katika comment zote mleta mada angechukua hii angefika mbali
  12. Jalema

    Stress mbaya sana

    Hili nalo neno
  13. Jalema

    Mtumishi akitaka kujua deni lake analodaiwa HESLB aombe Loan Statement, deni halisi ni tofauti sana na linaloonekana kwenye Salary slip

    Mkuu ogopa technology watakupata tuu ngoja watumie tin no yako na kitambulisho cha nida uone mtiti wake na wakikupata wanakamata mali zako inakua uhujumu uchumi na faini za kutosha Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  14. Jalema

    Mwaka 2020 niliikosa pisi executive kutokana na kigezo cha kupima HIV

    Kama unao mkuu ukiendelea kufanya ngono zembe unakua positive plus mkuu Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  15. Jalema

    Chombo cha kuchunguza jua chatoa picha za karibu zaidi kuwahi kupigwa

    N Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom