Search results

  1. M

    TBC1: Ukweli wa yaliyojiri Arusha

    Hawataipata hiyo coverage, wanapaswa wajue kucheza siasa ndani ya mazingira yaliyopo, mpira upo upande wao.
  2. M

    TBC1: Ukweli wa yaliyojiri Arusha

    Mdahalo wa nini tena? kama hawakujiandaa kisiasa wajifunze sasa.
  3. M

    TBC1: Ukweli wa yaliyojiri Arusha

    Kwa busara ndogo zilizoonyeshwa na viongozi wa Chadema kwenye mkutano wao wa arusha na kupelekea mpambano wa ana kwa ana kati ya wafuasi wao na polisi na hivyo kupelekea kuuawa kwa vijana wale, viongozi wa Chadema wameshaichagua njia ya kuelekea kufa kisiasa, CCM inachopaswa kufanya sasa ni...
  4. M

    TBC1: Ukweli wa yaliyojiri Arusha

    Uindwe tume kwenye jambo lilio wazi, chanzo ni Chadema kuwaprovoke polisi ili maandamono yao yazuiwe na kuzua vurugu bila kujali madhara yatakayowapata wafuasi wake ili wapate mtaji wa kisiasa wa kuipa lawama serikali lakini kwa bahati mbaya sana hili litabackfire na kuwadidimiza wao kisiasa.
  5. M

    TBC1: Ukweli wa yaliyojiri Arusha

    Dr. Slaa sasa ana chini ya mwaka mmoja tu katika umaarufu huu wa sasa, kumbuka kuwa ata Mtikila na Lyatonga Mrema pia walikuwa na umaarufu miongoni mwa Watanzania na Umaarufu ule wa Mrema bado haujafikiwa na Dr. Slaa mpaka sasa lakini pamoja na umaarufu wao huo kadri muda ulivyokwenda walizidi...
  6. M

    We Condemn: Calling for A National Day of Mourning

    Nakubaliana na wewe, kama Dr. Slaa alikuwa anaamini skuwa solution ya kwenda kuwatoa viongozi wenzake kituo cha polisi kwa nguvu ni sahihi, basi angewaongoza vijana wale kuelekea huko, ila kwa kuwa alijua gharama ya kitendo hicho yeye na wenzake wakaenda zao hotelini na kuwaacha vijana wale...
  7. M

    MAUAJI ARUSHA: Tamko la Rais Jakaya Kikwete

    That is politics. Kwa kuwa wao waliplay role yao in background bila ya kuonekana wakati viongozi wa Chadema walionekana wazi, Serikali ya CCM itataka sasa kujenga taswira kuwa wafuasi wa Chadema walioongozwa na viongozi wao wakuu(Dr. slaa+Mbowe) walipambana na polisi ambacho ni chombo huru...
  8. M

    We Condemn: Calling for A National Day of Mourning

    Pamoja na mapungufu tuliyonayo kama taifa lakini suala la uchaguzi wa Umeya wa Arusha halikufikia bado kwenye level ya liwalo na liwe, kwa namna yeyote kitendo cha kuwaamuru vijana kwenda kupambana na polisi kinaonyesha upeo wa maamuzi ya kukurupuka na yasiyozingatia mustakabali wa vijana wale...
  9. M

    Mwalimu Nyerere: Speeches & All Nyerere's na Tanzania!

    Pamoja na umahili wake kwenye masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa lakini kwenye suala la uchumi wa nchi yetu kama tungeweka kwenye scoreboard alistahili kupata F.
  10. M

    Mwalimu Nyerere: Speeches & All Nyerere's na Tanzania!

    Na atleast kuna Watanzania wanaoona chanzo cha tatizo, thank you!!
  11. M

    We Condemn: Calling for A National Day of Mourning

    Hakuna mtu asiyeliona tatizo la polisi lililotokana na mfumo mbaya wa sheria kandamizi, hili ni tatizo la upande mmoja LAKINI naona pia lazima tuliangalie pia tatizo la busara ya Chadema kung'ang'ania kufanya maandamano bila ya kujali athari zake ukizingatiwa kuwa kulikuwa bado na nafasi ya...
  12. M

    Matokeo ya Darasa la VII 2009

    Ifike mahala Maafisa elimu wa wilaya na mikoa iliyofanya vibaya kuliko ilivyokuwa kabla wao hawajakabidhiwa madaraka hayo wawajibishwe,lazima tuwe serious kwenye suala la elimu!!
  13. M

    Imagine ZITTO anahama CHADEMA

    Hivi kumbe kabla ya Mrema kujiunga na NCCR na TLP vilikuwa ni vyama tishio kwa CCM...., naomba ufafanuzi? nijuavyo mie NSSR kilikuwa ni Chama dhaifu sana kilichokuwa hakina ata uwezo wa kushinda jimbo moja la ubunge, na umaarufu wa NSSR 1995 mpaka kuwa chama tishio kwa CCM uliletwa na Mrema, na...
  14. M

    Imagine ZITTO anahama CHADEMA

    Huu ni wakati muhimu sana kwa Chadema, nyakati zinaruhusu kujenga upinzani imara dhidi ya CCM, naamini japo 2010 bado CCM itashinda, kwa muelekeo wa wananchi kwa sasa na CCM kama chama,mwaka 2015 ulikuwa ni wakati wa kuiweka CCM pembeni kama wapinzani wakijipanga vizuri. Chadema kwa sasa ndio...
  15. M

    Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

    Ulianza kwa kusema uongo kwa kukana kuwa Mtanzania sio Mwakalinga na saizi hili swali dogo kuhusu SUA unalikwepa kwepa namna hiyo....duh kulikoni Mwakalinga????unatutia wasiwasi sana kuhusu UWEZO wako wa kusema UKWELI,may be UKWELI na MWAKALINGA ni vitu ambavyo havichangamani.
  16. M

    Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

    Saaafi sana Mwakalinga a.k.a Mtanzania,kumbe na kwenye mipasho upo,wape vidonge vyao...teh teh teh!!
  17. M

    Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

    Hatimaye Mtanzania akiri kuwa ndiye George Mwakalinga
  18. M

    Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

    Sijui ni kwanini inakuwa ngumu hivi kujifunza.........
Back
Top Bottom