Search results

  1. SHUPAZA

    Yuko wapi mwandishi Stanley Katabalo?

    R.i.p kitambo sana
  2. SHUPAZA

    Hatimaye Profesa Jay azungumzia afya yake, asema anaendelea vizuri

    Mungu Ni mwema siku zote, Tunamtakia kila la kheri apone haraka
  3. SHUPAZA

    Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Hoja sasa ni kuvunjwa kwa jengo au kuhamishwa kwa watumishi wa umma ? Hilo jengo lilikuwa linajengwa na nani mpaka livunje? Mvunjaji kwa nini ameamua kulivunja ? Je jengo linakibali chochote cha ujenzi ?
  4. SHUPAZA

    WADAU HIVI BADO WASANII WA SASA NI KIOO CHA JAMII?

    Kioo kilishavunjika kitambo
  5. SHUPAZA

    Bodaboda na wake za watu

    True aisee, Ila nao hawa madogo wa bodaboda wajijue wanachukua virus vyetu vikali ambavyo vitawatafuna mapema sana
  6. SHUPAZA

    Tetesi: Kila anayejiita mzalendo ajaribiwe kwa 38 bullets

    Uzalendo sio bullets tu , hata ukimjua mgoni wako na ukamwachia aende wewe ni mzalendo sana . Viva Africa Viva Tanzania
  7. SHUPAZA

    Rais Magufuli, usikubali huu mtego wa huyu waziri; atakuwa anatumiwa na mabeberu

    Du! Ngoma mbona bado nzito sana kama kwa msimu huu tu nzigo wetu wa korosho utabanguliwa kuanzia miaka 2 hadi miaka 14
  8. SHUPAZA

    Hali bado ni tete kwa Wakulima wa Korosho

    Au kuchelewa kulipa inawezekana korosho zinapimwa urefu na rula kama samaki
  9. SHUPAZA

    Msilolijua kuhusu Wilson Kabwe

    Vilevile huyu jamaa amesoma na Dkt. Edward Hoseah aliyekuwa big boss pale TAKUKURU
  10. SHUPAZA

    Mfanyakazi hewa anayelipwa mabilioni na kusambaza UKIMWI

    Jamani tulizeni mioyo tingatinga anakuja akifika mtaona matokeo
  11. SHUPAZA

    Rais Magufuli unawatesa walinzi wako

    Watu wengine wanatumia makalio kufikiri. Mpaka wameamua haya wameshafanya tafakuri ya kutosha
  12. SHUPAZA

    Mugabe aluvyonuniwa na Mkewe

    Hahahahahahahaahahaahaha
Back
Top Bottom