Search results

  1. Weza

    Kati ya matofali ya kuchoma na ya saruji unachagua yapi?

    Naomba kuuliza mkuu, unavyosema zinakula cement nyingi unamaanisha nini maana hata za cement pia si zinakengwa kwa kutumia cement, naomba unieleweshe napenda sana nyumba za ma tofali ya kichina hua zina vitia, na inawezekana kupiga plasta na rangi au lazima matofali yaonekane tu
  2. Weza

    Kati ya matofali ya kuchoma na ya saruji unachagua yapi?

    Natamani unielewesha zaidi, natamani sana nyumba ya tofali za kichina, Uganda wanjengea tofali za kuchoma na ni nzuri mno,
  3. Weza

    Changamoto juu ya ujenzi wa nyumba kwa tofali za kuchoma

    Mkuu mbona naskia zinavutia sana mchwa
  4. Weza

    Changamoto juu ya ujenzi wa nyumba kwa tofali za kuchoma

    Heee kumbe, navyooenda nyumba hizo mbona navunjika moyo sasa, na hakuna jinsi ya ku Zuia mchwa
  5. Weza

    Naomba kujua gharama za kuweka tiles kwa chumba kimoja

    Mafundi wanajua Hua wanapima
  6. Weza

    Naomba kujua gharama za kuweka tiles kwa chumba kimoja

    Nisamehe my dear nilipotea kidogo, sijapata kwakweli
  7. Weza

    Naomba kujua gharama za kuweka tiles kwa chumba kimoja

    Mkuu naomba unisaidie, mfano mimi nimejenga frem za biashara sasa fundi kapima ukubwa kwandani ni square meter 20 kila frame eti hapo zitaingia box ngapi zile tiles za size ya kati na inaweza kua bei gani kila box au kwenye frem nashauriwa kuweka size gani, naomba msaada please
  8. Weza

    Baada ya kula bamia kwa wingi uume umegoma kulala

    Haahahaa utaliaje, kitu unakiona kabisa hichoo, halafu ndo bamia imezingua
  9. Weza

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Mkuu detol inavyowasha hivyo especially ikiwa haija dilutiwa si atahisi kijikojolea😀 au kwenye hiyo ya chupa ya plastic detol haiumi?
  10. Weza

    Wanawake jitahidini usafi sehemu za Ikulu mnaaibisha

    Mbona simple tu, wachana na wanawake tafuta mashoga ndo hautakua disappointed
  11. Weza

    Wanawake jitahidini usafi sehemu za Ikulu mnaaibisha

    Mbona simple tu, next time ukikutana na hivyo vi analogia vyako kachukue peleka bafuni kwanza kapige sado nzima ya omo sugua kila sehemu tatanishi toa ukwakwasu wote, piga maji yakutosha mwili mzima sio unafakamia tu bro utapata kutu mwisho
  12. Weza

    Je, inawezekana kumfanyia DNA mtoto ambae baba yake ameshafariki?

    Hilo nalo neno, yaani hujui tu ni kiasi gani natamani hao watoto wote wawe wa kakaangu tuwalee na kuwapa upendo ambao mama zao waliwabania kuupata wakati baba yao akiwa hai
  13. Weza

    Je, inawezekana kumfanyia DNA mtoto ambae baba yake ameshafariki?

    Wow, sikuwahi kujua hilo, basi ni bora tutumie babu tuna uhakika mzee ni genuine Thanks dear
  14. Weza

    Je, inawezekana kumfanyia DNA mtoto ambae baba yake ameshafariki?

    Wow, sikuwahi kujua hilo, basi ni bora tutumie babu tuna uhakika mzee ni genuine
  15. Weza

    Je, inawezekana kumfanyia DNA mtoto ambae baba yake ameshafariki?

    Yes dear, nimepata msaada some how, maana nilikua gizani kabisa kuhusu issue hizo mkuu
  16. Weza

    Je, inawezekana kumfanyia DNA mtoto ambae baba yake ameshafariki?

    Haahaaaa kwakweli kuna watu mnaudhi mpaka mtu anajikuta anacheka tu, hebu nipishe huko🤣 kwahiyo mimi ni Jacky Mengi haahaa mi shangazi tu my dear
  17. Weza

    Je, inawezekana kumfanyia DNA mtoto ambae baba yake ameshafariki?

    Asante my dear kwa kutupa moyo ki ukweli nimepata mwanga angalau how to start maana ni jambo jipya kwetu kusema kweli
  18. Weza

    Baada ya kula bamia kwa wingi uume umegoma kulala

    Haahaaa sina ila natengeneza juice na soup ya bamia njoo tu uwe mteja wangu aisee🤣 hutajuta haahaaa
Back
Top Bottom