Search results

  1. S

    Hii ni aibu kwa Wizara ya Utalii kwa kinachoendelea Hifadhi ya Taifa ya Nyerere

    Kwako Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa (Mb), Hatua za haraka zinahitajika Hifadhi ya Taifa ya Nyerere/Selous. Mgogoro mkubwa unaanza kuibuka kati ya waendesha utalii (tour operator) na watalii wanaoenda kwenye hifadhi hii. Kitendo cha Maaskari wa Mbuga kuwatoa kwa nguvu...
  2. S

    Tulia Akson sio Kiongozi wa CHADEMA na Wala Sio Mahakama: Afuate Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Kinachomfanya mtu kuwa ni mbunge ni pale anapokuwa ni mwanachama hai wa chama cha siasa na hii ni kwa mujibu wa katiba. Bunge linapaswa KUHESHIMU ibara ya 71(1)(e) ya KATIBA ya Tanzania. Bunge siyo Mamlaka ya Rufaa ya Wanachama wa vyama vya Siasa. Kwa maana hiyo, Bunge halina uhalali wowote...
  3. S

    Waziri January ni kweli hatuzalishi Mafuta ila Afrika inazalisha Mafuta: Tanzania ni Mhanga wa uzembe wa viongozi wa Kiafrika

    Zipo sababu nyingi ambazo zinaweza kutolewa kupanda kwa bei ya mafuta lakini hili limekuwa gumu kutamkwa na viongozi wa Kiafrika. Kushuka kwa uzalishaji katika bara zima kutokana na ukosefu wa uwekezaji wa kutosha katika soko la juu (upstream market). Masoko ya uzalishaji katika bara zima la...
  4. S

    Ushauri wa bure kwa Mbowe: Jipange, 2025 ni wakati wako

    Kamanda Freeman Aikael Mbowe tayari una-stronghold mbili za kisiasa: Kaskazini na Nyanda za juu Kusini. Kanda ya ziwa ka-boost kidogo Mama kashalegea. Pwani hawaeleweki. Wewe kwa sasa ni above 60 na umekomaa na kuiva haswa kwenye siasa za mapambano na uongozi. Kuna options mbili: Either CCM...
  5. S

    Ushauri kwa CCM kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025

    Ushauri kwa Chama Cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025: 1. IGP Simon Sirro aendelee kuimarisha jeshi la polisi na kuhakikisha anaendelea kutetea Chama Cha Mapinduzi, 2. Tume ya Taifa ya Uchaguzi iendelee na utaratibu wa kukata majina ya wagombea...
  6. S

    Ushauri: CHADEMA mwaka 2025 nendeni na Freeman Mbowe nafasi ya Urais

    Baada ya kufikiria mwenendo wa vyama vya upinzani Tanzania hususani CHADEMA pasipo shaka nimejiridhisha kwamba Mhe. Freeman Mbowe ndio anafaa kupeperusha bendera ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo hasa baada ya kifo cha Hayati Joseph Pombe Magufuli. Mbowe ameonyesha kukomaa kifikra hasa katika...
  7. S

    Elections 2010 CHADEMA kuzindua kampeni “Tanzania ya wananchi”

    Kampeni hii itakayojulikana kwa jina la “TANZANIA YA WANANCHI” inalenga kuelimisha, kuhamasisha wananchi katika kutambua haki zao za msingi kwa kuzingatia misingi ya katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ambayo pamoja na mambo mengine inatambua: Jamhuri ya Muungano ni nchi ya kidemokrasia na...
  8. S

    Tundu Lissu: Mwalimu Nyerere hawezi kufanana na Magufuli

    MAGUFULI NA NYERERE: ULINGANISHO NA UTOFAUTISHO Tundu AM Lissu, MB Wiki iliyopita nilisikiliza mjadala mkali wa radio kwenye Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Ujerumani, kati ya makada watatu wa CCM, Bollen Ngetti, Cyprian Musiba na Simon Magoiga. Mjadala huo ulihusu mgogoro wa kisiasa...
  9. S

    Uchaguzi wa mwaka 2020 tutegemee kuona upinzani wenye hoja dhidi ya ubabe wa nguvu ya dola

    Uchaguzi wa mwaka 2020 tutegemee kuona upinzani wenye hoja dhidi ya ubabe wa nguvu ya dola. Yale mapambio ya kusifia utawala wa Magufuli yatageuka kuwa mapambano ya nguvu dhidi ya maarifa. Ukimya wa CHADEMA una maana kubwa sana kwa mambo yanayoendelea kwa sasa kwenye nchi hii. Kazi ya...
  10. S

    Tundu Lissu: Vipaumbele binafsi vya Rais Magufuli vimefanywa vipaumbele vya Taifa

    CHATO! CHATO! CHATO!!! Tundu AM Lissu, MB Tienen, Ubelgiji Chato imetamalaki kwenye vichwa vya habari vya magazeti mengi ya Tanzania katika siku za karibuni. Chato imetawala mijadala katika mitandao ya kijamii ya Tanzania. Chato imo midomoni mwa watu wengi wanaofuatilia siasa za Tanzania na...
  11. S

    Nassari aingia mkataba na Obama Foundation

    Aliyekuwa mbunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndugu Joshua Nassari hatimaye amepewa mkataba wa miaka miwili wa kufanya kazi kwenye taasisi ya Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama (Obama Foundation). Moja ya masharti ya mkataba ni kutojihusisha na siasa za vyama. Joshua...
  12. S

    Tetesi: Tundu Lissu kutua nchini Dec 9, 2019

    Now Confimed: Tundu Lissu kuwasili nchini tarehe 07.09.2019 baada ya mabadiliko ya ratiba. ------ Shujaa Mhe. Tundu Lissu anatarajiwa kutua nchini siku ya kumbukumbu ya uhuru wa Tanganyika tarehe 09.12 na kupokelewa na viongozi, wanachama na wafuasi wa vyama 9 vya upinzani ambavyo...
  13. S

    Sakata la Mhe. Lissu, ni kwanini CCTV Camera ziling'olewa na Walinzi hawakwepo lindoni

    Mhe. Kangi Ligola, Waziri wa Mambo ya ndani, mpambanaji wa muda mrefu nje ya utawala wa Mhe. John Pombe Magufuli ni wakati sasa wa kusimama imara na kutoa ufafanuzi wa kitaalam ni kwanini CCTV kamera zilizotolewa baada ya jaribio la mauaji ya Mhe. Tundu Lissu? Nani alitoa maagizo au zilipotea...
  14. S

    Sakata ya Mhe. Lissu, kwanini ripoti ya kamati ya Bunge, Ulinzi na Usalama ilifichwa?

    Kwa mujibu wa Mhe. Tundu Lissu kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama haikeweza kutoa taarifa ya jaribio la mauaji dhidi yake toka mwaka 2017. Kwa vyovote vile watanzania wangependa kupata ufafanuzi juu ya jambo hili ili kutoa ukakasi uliopo juu ya kadhia hii. Ni wakati sasa Spika wa Bunge la...
  15. S

    Kwanini Polisi hawakwenda kumhoji Mhe. Tundu Lissu na dereva wake jijini Nairobi?

    Mhe. Tundu Lissu amekuwa akishutumiwa na kushindwa kutoa ushirikiano vya jeshi la polisi katika jaribio la mauaji dhidi yake na watetezi wa serikali ya Raisi John Pombe Magufuli. Katika mahojiano ya hivi karibuni kwenye kituo cha Sauti ya Amerika amesikika Balozi wa Tanzania nchini Marekani...
  16. S

    Rais Magufuli na Tundu Lissu kauli zao ni darasa kwetu sote

    Wote tukubaliane kwamba JPM na TL wote waropokaji, tofauti yao ipo kwenye aina ya uropokaji. Kwa wale wachambuzi na wafuataliaji wa siasa kuna muda wanakubaliana kwamba JPM na TL wana calibre zinazofanana katika uendeshaji wa siasa zao bila shaka moja ya Mwandishi wa habari binafsi Bwana Pascal...
  17. S

    Vijana wa Kigoma wana mchango mkubwa kwenye siasa za Tanzania

    Nimesoma mara mbilimbili andiko la Diwani wa kata ya Gwarama wilayani Kakonko mkoani Kigoma juu ya suala la bangi: Diwani amcharukia Magufuli: Hakuna Mwananchi atakayefyeka bangi kwenye kata yangu Nikafikiria ka-kijana kadogo kutoka Kigoma, Abdul Nondo, nikawafikiria wale vijana watatu kutoka...
  18. S

    Rungu la Mkurugenzi wa wilaya ya Lushoto lamuangukia Mbunge

    Mbunge wa jimbo la Lushoto kupitia CCM Mhe. Shaban Shekilindi maarufu kwa jina la Bonsia amejikuta kwenye hali ngumu baada ya maduka yake kupigwa makufuli na Mkurugenzi wa wilaya ya Lushoto Ndugu Aledius Makwega. Inadaiwa mbunge huyu hajalipa kodi ya pango kwa muda wa miaka mitatu ikiwa ni...
  19. S

    Tundu Lissu: UKUTA umedhihirisha CCM sio chama cha siasa

    Kwa muda mrefu watu wengi wamekuwa wanafikiri kwamba nchi yetu inatawaliwa na chama cha siasa, yaani CCM. Hata hivyo, wapo wachache ambao walishaanza kuhoji kama CCM ni chama cha siasa hata kabla mfumo wa vyama vingi vya siasa kuruhusiwa miaka 25 iliyopita. Ukisoma 'The State and the Working...
  20. S

    Elections 2015 Edward Lowassa zaidi ya mwanasiasa

    Mmiliki wa kampuni maarufu duniani ya Rich Dad ambayo inajihusisha na utoaji wa elimu ya biashara Robert Kiyosaki katika kitabu chake cha “Why I Want You To Be Rich” (Kwanini Nataka Uwe Tajiri) alichaoandika kwa kushirikiana na mwekezaji na mfanyabiashara mwenzake bilionea Donald Trump alitoa...
Back
Top Bottom