Search results

  1. uyui kwetu

    Infinix note 7 lite

    Infinix note 7 lite Ram 4GB Rom 64GB Network 2G 3G 4G Battery mah 5000 Camera nyuma mp 48 Camera mbele mp 8 Haina kipengele 0689866829 Dar gongolamboto
  2. uyui kwetu

    Phone4Sale Infinix note 7 lite

    Brand infinix Model note 7 lite Ram 4GB Rom 64GB Network 2G 3G 4G Camera Nyuma mp 48 Mbele mp 8 Battery mah 5000 Unlock Fingerprint face id Bei 245000 0657230449 call msg whatsup Dar
  3. uyui kwetu

    Simu zenye camera zaidi ya moja zinapigaje picha?

    Nimekuwa natumia simu za kamera zaidi ya moja ila kuifunika kwa mkono zingine inaonesha inayopiga ni kamera moja tu je kuna sehemu ya ku set?
  4. uyui kwetu

    Fundi tiles nipo hapa

    Wakuu mm ni fundi tiles aina zote dizaini zote kazi safi na ya kuaminika nafanya kazi popote Tanzania bei ni rafiki, karibuni. Call msg what's up. Telegram 0657230449
  5. uyui kwetu

    Infinix s3

    Infinix s3 RAM 3GB ROM 32 Battery mah 4100 Android 8 Fingerprint sensor Camera 21mp Bei 250k Location Dar es Salaam Whatsup call msg 0657230449
  6. uyui kwetu

    Kiwanja Kinauzwa kipo kimara temboni

    Kiwanja Kinauzwa kipo Dar kimara temboni Ukubwa meters 20 *20 Huduma barabara umeme nk Karibuni 0689866829 Bei 5m
  7. uyui kwetu

    Xiaom redmi 4x

    Used redmi 4x Screen 5.0 Fingerprint sensor Duall app Water resistant Color, grey RAM 3GB ROM 32 Battery mah 4100 Network 2G 3G 4G lTE Haina mchubuko, tatizo Bei 275000
  8. uyui kwetu

    Msaada wa kununua powerap

    Wakuu msaada wenu Juu ya app ya music powerap nimekuwa nikitumia lakini ina isha baada ya wiki 2 sasa nimeipenda sana lakini sijawahi kununua wala Sina acount ya PayPal zaidi ya Tigo airtel pesa
  9. uyui kwetu

    Kiwanja kinauzwa saranga temboni

    Kipo saranga temboni mtr 20*20 kipo karibu na barabara za mtaa nguzo ya umeme ipo. Bei 4500000
  10. uyui kwetu

    Mtoto apotea, kisha akutwa akiwa amekufa na kuchunwa ngozi

    Mtoto wa miaka saba aliyepotea siku nne akutwa amekufa katika nyumba ambayo haijaisha huku Majohe kwa Mkandawile. Inadaiwa kuna mtu alimchukua akamnunulie pipi kwanzia hapo hajaonekana mpaka leo saa tatu asubuhi alipoonekana katika nyumba ambayo haijaisha akiwa amelazwa na kufunikwa na...
  11. uyui kwetu

    msaada playstore imegoma kufunguka

    natumia htc Desire c lakini cha ajabu playstore haifunguki mwanzo ilikuwa inafunguka kwa muda tu sasa ndio imegoma. msaada
  12. uyui kwetu

    setting za airtel tafadhali

    wenye kujua setting za airtel
  13. uyui kwetu

    msaada simu yangu iko slow nifanyeje

    Ndugu Naomba msaada wa kuifanya simu yangu kuwa fasta nikibonyeza menu ina load kwanza kuleta applications natumia HTC Desire c
  14. uyui kwetu

    nilichojifunza Vodacom EXPO

    leo nimetembelea mlimani city Kwenye punguzo la cm pale wanauza simu bei kubwa sana tofauti na kule ndani. simu inayouzwa Kwenye punguzo 37000 basi Kwenye maduka mengine ni 32000 Nokia ya tochi double line 60000 ndani ni 54000 jionee tofauti tofauti na hapo Kuna usumbufu wa kijinga Huwezi uziwa...
Back
Top Bottom