Search results

  1. uyui kwetu

    Furahia upishi wako na gesi janja (M-GAS) yenye mita janja wala huhitaji kununua mtungi wa gesi tena

    Brother hao ni matapeli wanachukua gesi halafu wanakuuzia kwa bei ya juu wapate chochote kitu mfano gesi nzima kg 6 ni 23,000 kwao utalipia 50k. Ndondondo ni gharama hakuna nafuu hapo
  2. uyui kwetu

    Kwanini USA wanaiharakisha Tanzania kusaini mkataba wa LNG???

    Tanzania [emoji1241] kila kitu kwetu ni hasara hakuna kitu tanachofaidika nacho gesi ya songosongo imeuzwa kwa watu zile ahadi za Kikwete umeme utakuwa historia tumezisahau kabisa
  3. uyui kwetu

    Rais Samia unatukosea sana wanachi wa Kimara, Mbezi, Morocco kwenye suala la Mwendokasi

    Yule Mwarabu walisema atapewa ilikuwaje. Mfumo wa kadi wameharibu usafiri unakata tiketi nusu saa unaenda kusubiri gari lisaa tena kusimama
  4. uyui kwetu

    Serikali iunganishe Dar na Pwani uwe mkoa mmoja uitwe Dar ili watu wazidi kusogea nje ya mji

    Unataka wandengereko wakata miuno wajione wanaishi Dar hapana
  5. uyui kwetu

    Akina RC, KKKT, SDA na Anglican msimchukie tu Mwamposa, bali jiulizeni mmekosea wapi na kawazidi nini sawa?

    RC ni kama kitimoto mwaisema ila haipungui waumini wala kimaadili na haipigi promo. Ondokeni kwenda uislam madhehebu mengine lakini RC daima
  6. uyui kwetu

    Wakristo wanatakiwa kuombea amani Mashariki ya Kati

    Ili iweje mchokozi apigwe tu
  7. uyui kwetu

    Starlink amepata mshindani Afrika Kusini

    Musk sio fala anatafuta pesa kwa udi na uvumba
  8. uyui kwetu

    Wazijua siri za Vatican?

    Ushahidi
  9. uyui kwetu

    Wazijua siri za Vatican?

    Wapo wapi makao yao matawi je? Habari bila ushahidi ni umbea
  10. uyui kwetu

    Kwa wale wajuzi wa mambo ya Dini, andika jina la Mtume na nchi aliyozaliwa

    Nadharia eti kule kuumbwa kwake tu,. ( mjumbe mtume hutumwa kwa watu fulani) kuwasiliana na MUNGU haimaanishi kuwa mtume. Ametumwa
  11. uyui kwetu

    Kwa wale wajuzi wa mambo ya Dini, andika jina la Mtume na nchi aliyozaliwa

    Ukiwasikiliza Hawa waarabu wa buza unapotea
  12. uyui kwetu

    Kingo za daraja la Tanzanite zimegongwa

    Umesahau mkoa wa chato stand ya chato uwanja wa ndege chato buigiri Nation Park eti ndio maana Wahaya walikataa kugawanywa mkoa wao kwa sababu ya ubinafsi stand ya Bukoba na stand ya chato uwanja wa ndege chato na uwanja wa ndege Bukoba Tabora Kigoma nk ubinafsi utawaua. Mikoa kwa mikoa wilaya...
  13. uyui kwetu

    Kingo za daraja la Tanzanite zimegongwa

    Wanajua nini wanafanya unampa mbongo kulipa wafanyakazi tu shida kazi mbovu uchelewaji kufikia tamati hakuna watu wenye dharau km kampuni za kibongo watu wanafanya kazi kulipwa pesa mpaka ufanye kazi kuomba ulipwe
  14. uyui kwetu

    Wamiliki wa Mabasi na mafuso hutoa wapi hela?

    Kisbo tangu lini akanunua Bus jipya hata hao kapricon Arusha express na wenzao
Back
Top Bottom