Search results

  1. K

    Nimetafuta kazi mpaka nimechoka najiona sina faida hapa duniani

    Hapo tatizo kubwa siyo kukosa kazi, tatizo kubwa ni kukata tamaa! Tulio kosa kazi ni wengi sana. Siku hizi kaz ya degree siyo kukupa kazi ni kukukomaza kuweza kupambana. Pole sana.
  2. K

    Waislam tuache kupambana na TEC,mbaya wetu huyu hapa

    Waislam wakitaka msamaha kama wanaopata wakristo hukataliwa? Hii mbaya kama kweli!
  3. K

    Mabadiliko TRA: Kamishna wa Forodha Mtanganyika Said Athuman Kiondo aondolewa awekwa Juma Bakari Hassan kutoka Zanzibar

    Mbona watu wengi tumeshuhudia wanahama kutoka TRA bara kwenda Zanzibar? Hii imekaaje?
  4. K

    Msaada nataka kumfungulia mtoto account ya USD kwa ajili ya kumtunzia hela

    Ni nzuri tu, ila service charge za dollar huwa IPO juu. Unaonaje ukienda kuuliza bank?
  5. K

    Nchi 40 Maskini Sana Duniani, Tanzania yashika namba 28

    Lakini si tayari mumepitisha? Kwahiyo tutakuwa juu sasa! Hii aibu sana! Propaganda kwenye mambo ya msingi kama haya! Tatizo elimu?
  6. K

    Rose Muhando mwizi wa wimbo wa Michael Jackson

    Mtanzania mwenzio huyo mshauri, povu LA nini? Una ugomvi naye?
  7. K

    Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

    Siyo Hawa alikuwa dhaifu, ila binadamu wote ni dhaifu, hata Mungu aliyewaumba nadhani wanamjua kwa asilimia ndogo sana, kwahiyo usitegemee majibu makamilifu. Kwakuwa umeamini uwepo wake rekebisha matendo yako uendane naye kukwepa jehanamu. Ni yeye pekee anayejua kwanini aliumba viumbe dhaifu...
  8. K

    Huyu Mwanamke wa ajabu kweli

    Kwahiyo mkapanga siku nyingine kurekebisha makosa?
Back
Top Bottom