Search results

  1. Wa mmoja

    Tibaijuka ‘ang’ata’ usiku

    Good mama Tibaijuka....kilichobaki tusubiri yatakayojiri!
  2. Wa mmoja

    Mgomo wa Wahadhiri na Wanafunzi UDOM 2011

    Hata kama wasingemshobokea huyo Kikwete na kumchangishia hela ya kuchukula fomu mambo yangekuwa hayohayo tu! Tuko wapi wakina sisi tuliokuwa hatumtaki?! Ila kwa sasa ngoja wale jeuri yao ndo wajue kama walikuwa wanalipitisha kuti kavu...
  3. Wa mmoja

    Dawa ya uzushi uliotanda barani Afrika Jumatano

    Inasemekana Arusha kuna mama amelipukiwa,simu yake ilikuwa kwenye mkoba wake...nimesikia clouds sahivi.Inachanganya hii kitu.
  4. Wa mmoja

    Virembwe wamfurahia babu yao

    ha ha haaa....!
  5. Wa mmoja

    Tanzania YETU: Je, ni jamii ya vilaza na viongozi wa Kiimla na Ukurupukaji?

    Jamani wana JF naombeni mawazo yenu....hii nchi yetu inaelekea wapi jamani? Mafisadi wakutosha,maendeleo hakuna.......na sasa tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu wa kumchagua kiongozi atakayeongoza hii nchi,naona kama vile mwezi wa 10 kunaweza kukatokea machafuko(siombei),kwa sababu CCM...
  6. Wa mmoja

    Mwana JF anusurika kifo

    Pole sana azikiwe...get well soon.
  7. Wa mmoja

    Elections 2010 Uchaguzi 2010: Kibonde usijifanye kujua kila kitu, tafuta wataalamu wakusaidie

    Pipo bwana! Mnamuona mpumbavu,mjinga...wakati mnasikiliza anachokiongea sasa na nyie si mpo kwenye kundi hilohilo....na wengine ukute mnafanya pumba ambazo hazielezeki! Kuna watu wana mijina ya ajabu,wengine wapo humu humu halafu mnalisema jina la kibonde....!Yani pipo bwana! Yani mtabaki...
  8. Wa mmoja

    Msaada wakuu charges za bandarini kuingiza gari

    Isije ikawa we ndo unataka kupiga pande...ha ha ha haaa...! Anyway,mbane asikwibe!as long as ushapewa data za kukusaidia...
  9. Wa mmoja

    Kikwete akumbana na zomeazomea Mbeya...

    Sio havitaki,vingi vinaogopa! But naona mwananchi wamekuwa wabishi kidogo,hivi karibuni mwandishi wao alipigwa pini kuufwata msafara wa kikwete kuelekea kwenye kampeni za CCM!
  10. Wa mmoja

    Kikwete akumbana na zomeazomea Mbeya...

    MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM, Jakaya Kikwete jana aliendelea na mikutano yake ya kampeni katika mikoa ya Katavi, Rukwa na Mbeya ambapo wananchi walimpa matumaini makubwa ya ushindi lakini wagombea ubunge wawili walizomewa. Kikwete aliwasili mkoani Mbeya jana na kuanzia kampeni zake kwenye...
  11. Wa mmoja

    tiGO, VODA, ZAIN na ZANTEL KWA NINI IKO HIVI? SERIKALI INAHUSIKA HAPA

    nimefanya jitihada kubwa kushawishi baadhi ya watu wasishiriki kabisa hiyo mibahati nasibu,naamin nimefanikiwa kwa kias kikubwa..madogo hawaombi vocha ovyo ovyo siku hizi..JF Members jitahidini muache kucheza hiyo mibahati nasibu(uamuzi ni wako mwenyewe,ukiamua cheza)..Siku zote kumbuka rahisi...
  12. Wa mmoja

    tiGO, VODA, ZAIN na ZANTEL KWA NINI IKO HIVI? SERIKALI INAHUSIKA HAPA

    Imagine bwana Kikwete kashinda Hyundai i10,duh!Balaaa... zengwe tu hilo tunawekewa hakuna cha bahati nasibu wala nini!
  13. Wa mmoja

    tiGO, VODA, ZAIN na ZANTEL KWA NINI IKO HIVI? SERIKALI INAHUSIKA HAPA

    I hate hizo promotion uchwara!Wizi mtupu,wanawakamua watu hela zao tu!
  14. Wa mmoja

    Uchaguzi......

    Binafsi ni mpenzi sana tena sana wa CHADEMA...Kiukweli kuna maneno ambayo waliyaongea si mazuri but katika swala zima la kuwakatishia matangazo mimi siliafiki,lakini pia inategemea na mkataba waliowekeana.
  15. Wa mmoja

    Mama Rwekatare na siasa za CCM!

    Dini na siasa wapi na wapi?! Awaombee na mafisadi waache kula mahela!
  16. Wa mmoja

    Jerry Muro, wapi alipo?

    teh,teh,teh......Mwanadamu una roho kubwa kama jogoo...
  17. Wa mmoja

    Jerry Muro, wapi alipo?

    Hakimu Gabriel Mirumbe wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Tarehe 27 agosti 2010 anatarajia kutoa maamuzi ya madai yaliyotolewa na upande wa utetezi katika kesi inayomkabili Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Jerry Muro kwamba alilazimishwa...
  18. Wa mmoja

    Jamani Wananchi tujihadhari na hili!

    Wewe take care wewe...
  19. Wa mmoja

    Jamani Wananchi tujihadhari na hili!

    Inasemekana Dawa mseto ya Malaria ina sumu kali ambayo italeta madhara makubwa hapo baadae kwa watumiaji...Itapelekea watu kupooza! Jamani watanzania tunamalizwa kwa njia moja au nyingine,vizazi vijavyo sijui vitakuwaje....Nadhani mlikuwa mnafahamu kama hizi dawa zilikuwa kwenye...
Back
Top Bottom