Search results

  1. Joel humphrey

    Live Updates: Azam & Simba Matches

    mkuu haya matokeo yananipa raha sana
  2. Joel humphrey

    Live Updates: Azam & Simba Matches

    mkuu ile mechi name nilishuhudia live, wale jamaa kiukweli hawafai kabisa, ukiwa nje utaona kama wanafanya mzaa ila waulize wachezaji wa timu pinzani watakwambia shughuli ya wale jamaa
  3. Joel humphrey

    Live Updates: Azam & Simba Matches

    mkuu wale jamaa hawafai, mie mara ya kwanza nimeona mechi yao uwanja wa taifa siku ile wanacheza na Yanga, sio siri wale jamaa ni hatari sana, beki za yanga zilikuwa hazipandi mbele kama walivyozoea kucheza na timu nyingine
  4. Joel humphrey

    Live Updates: Azam & Simba Matches

    bado bila bila mpaka sasa
  5. Joel humphrey

    Live Updates: Azam & Simba Matches

    Wakitoka Tanga wanaenda mbeya kwa wapiga nyundo
  6. Joel humphrey

    Live updates: MBEYA CITY vs MTIBWA SUGAR

    Mtibwa lazima apakatwe goli 3
  7. Joel humphrey

    Live updates: MBEYA CITY vs MTIBWA SUGAR

    Pamoja sana mkuu
  8. Joel humphrey

    Live updates: MBEYA CITY vs MTIBWA SUGAR

    Siku hizi jamii forum hakuna tofauti na facebook, zamani live updates hasa jukwaa la michezo zilikuwa zinarushwa kila dakika, siku hizi ni story tu wala hupati matokeo
  9. Joel humphrey

    Live updates: MBEYA CITY vs MTIBWA SUGAR

    mbona hakuna updates ?
  10. Joel humphrey

    Natafuta marafiki wa kike wenye asili ya kiarabu na wa kihindi

    Ni kweli sura yenyewe kama cha kijambio cha bata
  11. Joel humphrey

    Huwezi kuongozana na mimi kwasababu...

    Kwani kati ya aliyechomekea vizuri na aliyevaa t-shirt na jeans, yupi kati ya hayo atakuwa atakuwa anaonekana smart zaidi ?
  12. Joel humphrey

    Huwezi kuongozana na mimi kwasababu...

    Sister mie mzima wa afya, kwa heshima yako itabidi niondoe hii current avatar naona hujapenda kabisaa
  13. Joel humphrey

    Huwezi kuongozana na mimi kwasababu...

    Kwani kuvaa huko ndio kuko vipi ? kuvaa jeans na t-shirt au kuchomekea modal ?
  14. Joel humphrey

    Live Updates: VPL 1 Feb. 2014

    Mkuu umeongea ukweli kabisa, ukitaka ujue ubaya wa timu ya Azam nenda kawaulize wafanyakazi wa viwanda vya Azam, wanaichukia ile timu ni balaa, pesa wanazotakiwa walipwe wao ndio wanachukua wachezaji. Yaan wale wachezaji wanawanyonya wafanyakazi hasa wabeba viroba, Azam sio timu kubwa hata siku...
  15. Joel humphrey

    Vpl 29/01/2014 live updates kutoka viwanja mbalimbali

    Mbeya city 1 - Ruvu shooting 1
  16. Joel humphrey

    Vpl 29/01/2014 live updates kutoka viwanja mbalimbali

    Game over Mbeya city 1 - Ruvu shooting 1
  17. Joel humphrey

    Vpl 29/01/2014 live updates kutoka viwanja mbalimbali

    dk ya 10 kipindi cha pili Yanga 0 Coast 0
  18. Joel humphrey

    Vpl 29/01/2014 live updates kutoka viwanja mbalimbali

    Vp mlio huko mkwakwani Tanga ?
Back
Top Bottom