Search results

  1. Ntakasi

    Nyumbani Kwanza:Top 3 ya Kikwetukwetu.....

    1-Kigodoro Jina tu linajitosheleza kudescribe u-local wa movie......ni drama-comedy kind of movie iliyochezwa Uswazi starred by well known stars kama Mama Abdul,Hemed,Diana Kimario,Kajala,Salim a.k.a Gabo,Muhogo Mchungu,Bi.Staa n.k.. Ina mtiririko mzuri wa visa na ina maudhui mazuri na...
  2. Ntakasi

    Mwanangu ananyonya sana!

    Hellow..... Nina kabinti cha one week,nilijifungua week iliyopita....sasa since day one amekuwa ananyonya balaa....maziwa yalipochanganya akawa ananyonya mpaka yanakauka kisha anaanza kulia sababu hashibi....nakunywa uji wa pilipili manga like 24/7 na yanajaa kweli but hashibi....sasa naombeni...
  3. Ntakasi

    Nancy&Partner

    Nancy akiwa na Baba Zuri....Mr.Luca Neghesti.
  4. Ntakasi

    Njia Za Kumgeuza Mtoto Tumboni.

    Kwa Mtoto Aliyechelewa Kugeuka Tumboni Ni Njia Ipi Ya Haraka Inayoweza kumfanya Ai-engage Tayari Kwa Kuzaliwa? Experience Yenu Na Uhuzi Wenu Ndio Nautegemea Zaidi WanaJF!
  5. Ntakasi

    Msaada:Number ya simu ya Gynaecologist Temeke Hospital:

    Nahitaji Msaada Wa Haraka WanaJF....kama una number ya simu ya Gynaecologist Wa Temeke Au Kama Wewe Ni Mmoja wa Specialist Hao,Please PM me your number.
  6. Ntakasi

    Dina Marios Amejifungua Mtoto Wa Kiume

    Yes, Ncha Kali na Dina Wamempokea A Baby Boy. Ncha Kali Amethibitisha Hayo Kwenye Account Yake Ya Twitter, Huku Akikiri Yote Aliyoyapenda Yamepoteza Maana Baada Ya Kumuona Kiumbe Chake Hicho. MAY GOD BLESS THEM!
  7. Ntakasi

    Ulikuwa unamjua Linda Bezuidenhout?

    Umeshawahi kusikia chochote kuhusu LB Apparel Brand ya Fashion inayomilikiwa na Mtanzania Mwenzetu in US? Basi ndio huyu, She is 41;but look at her yashhhh, Salut BTW,she is a sister of a former BBA Winner, Richard Bezuidenhout.
  8. Ntakasi

    Hottie:Abby Plaatjes!

    -A Single Mom Of Two Kids. -The Former BBA Contestant -The CEO/Models Manager Of Black Ice PR.. -Choice Fm Presenter/The Big Easy Co-Host.......Mzurije?
  9. Ntakasi

    Beauty With Brains: Mwamvita Makamba!!

    A good example kwa mabinti....
  10. Ntakasi

    Soulmates: Dina & Ruben

    From On and Off Relationship mpaka kwenye hatua ya familia....I salute these Lovebirds...Hakuna mahusiano rahisi.... Ni pendo tuuuu(In Carola Kinasha's voice)
  11. Ntakasi

    Mvuto wa Irene Uwoya

    She is the trendsetter pale kiwandani a.ka Bongo Movie.... Beautiful Indeed!
  12. Ntakasi

    Happy Birthday To The Gorgeous Rita Paulsen!!

    Nam-like this lady, classy,sexy and definetely beautiful! Madam Original, Wishing her miaka mingi mingi!
  13. Ntakasi

    Mange Kimambi Vs Kisa Zimba(KiKi)

    They both own Fashion Lables.....Mange akiwa na BONGOLICIOUS brand na Kisa akitusua na KIKI's FASHION brand... Swali kwa Fashionistaz.......Nani Mkali Wa Designs....?? And who is more fashionable kati yao...??
  14. Ntakasi

    We Are Not Too Late!!!

    Wapendwa,Marafiki,Wadau....... I Greet You! As We Approach 2014 And Leave Behind 2013:::::kila mtu ana story yake.....nzuri na mbaya......Tukiwa tunaangalia 2014,kila mtu ana malengo yake......mipango yake......na maombi yake. Nimeingia humu this year but i've been browsing as a visitor for...
  15. Ntakasi

    HELP!!!Tips:How To Control Steering&Accelerator.

    Hellowz...... Mamboz Swahibaz..... Jamani nimeanza driving lessons and my partner is the instructor....(you can imagine the yelling ....) sasa kinachonipa stress ni kukanyaga mafuta ......najikuta nakanyaga sana au kidogo sana.....pia kwenye steering,i feel hopeless nashindwa kucontrol...
  16. Ntakasi

    Vipimo vya chumvi na maji katika wali

    Hellow swahibaz! Mwenzenu nina tatizo la kukadiria chumvi na maji katika mapishi ya ubwabwa. Mi binafsi huwa sipendi chumvi nyingi, hali ambayo imefanya niwe mkini mno katika uwekaji kiasi ya kuwanyima ladha walaji wengine. Naomba nijue katika wali, labda wa kilo moja niweke kijiko au vijiko...
  17. Ntakasi

    Is It A girl Or Boy?.....How To Tell Without Scanning It!

    Hellow Swahibaz... Kwa mommies to be like me na daddies to be.....Imekuwa kawaida kwa wamama watu wazima kupenda kutabiri jinsia ya mtoto aliye tumboni kwa kutumia uzoefu wao...nimetafutatafuta vigezo wanavyotumia nimepata vichache hivi na naomba kwa wanaojua waniongezee vya kwao...most moms...
  18. Ntakasi

    Dj Fetty Wishes To Get Married Soon!!!

    Leo kwenye kipindi 'pendwa' cha mchana XXL(Clouds Fm) walikuwa wanazungumzia uwekaji wa malengo na ufanikishaji wake katika mwaka 2013 na umuhimu wake.....baada ya kuhoji watu mbalimbali ikiwemo wenyewe watangazaji ndipo mtangazaji huyu maarufu alipofunguka na kusema yeye alipanga kuolewa na...
  19. Ntakasi

    Madudu 10 ya uhusiano!!!

    1.Kutompa ATTENTION yako mpenzi wako..... Mf:scrolling jamii forum wakati uko naye... -Focusing on your football games muda mchache unaoupata ukiwa home.... 2.Kutokutoa SIFA STAHIKI.. -Wanaume wanapenda kusifiwa kuwa ni WANAUME!Iwe katika mafanikio madogomadogo au hata...
  20. Ntakasi

    Movie:Johari!!

    Naangalia hapa EATV...filamu ya kibongo ya kitambo ya JOHARI....Maaan I'm watching The Late Kanumba,Ray,Johari na Mainda with their humble beggining.......Ni drama za kuvunjika mbavu.....
Back
Top Bottom