Wanabodi,
Nimebahatika kufanya kazi na wazungu, niliajiriwa na Taasisi ya FCO ya Uingereza, nikiwa jijini New Delhi India, nikapostiwa Ubalozi wa Uingereza, Pretoria Africa Kusini, Lilongwe Malawi, Lusaka Zambia na mwisho nikatua Jiji Dar es Salaam nikiwa ni Mshauri wa Siasa wa Balozi wa...
Wanabodi,
Leo nimetembelea kurasa fulani za website ya UN, nikakutana na neno fulani la Kiswahili kwenye moja ya program za UN , neno hii inaonyesha Kiswahili kinazidi ku gain momentum. Neno hilo linatumika kwenye program ya usajili ya UN
Niliwahi kuandika Usiyoyajua Kuhusu Samia UN: Kumbe...
Wanabodi
Hii ni makala yangu ya Gazeti la Mwananchi Wiki hii
Leo naendelea na hizi makala elimishi kuhusu katiba ya JMT kwa jicho la mtunga katiba, alidhamiria nini. Wiki iliyopita nilizungumzia ukuu wa katiba na jinsi wakuu wa mihimili, ya serikali, Bunge na Mahakama marais wa awamu zilizopita...
Wanabodi
Haya ni mapendekezo yangu kwa miswada mitatu ya sheria ya uchaguzi, Sheria ya vyama vya siasa na Tume ya uchaguzi.
https://youtu.be/3a4SjkV46JY?si=lqufL6e34DyB2Gjr
Nilipendekeza
1. Sheria yetu ya uchaguzi tunayoitunga, ifuate katiba ya JMT ibara ya 5 na Ibara ya 21.
2. Ibara ya 5 ni...
Leo naendelea na hizi makala elimishi kuhusu katiba ya JMT kwa jicho la mtunga katiba, alidhamiria nini. Wiki iliyopita nilizungumzia ukuu wa katiba na jinsi wakuu wa mihimili, ya serikali, Bunge na Mahakama marais wa awamu zilizopita walivyo jiinua juu ya katiba na kufikia kiwango cha...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo ziko kwenye magazeti mawili, Gazeti la Nipashe la kila Jumapili na gazeti la Mwananchi la kila Jumatano, pia kuna kipindi cha TV cha KMT, kila Jumapili saa 3:00 usiku na marudio Jumatano saa...
Wanabodi,
Hii ni makala kwenye gazeti la Mwananchi la Jumatano.
Kwa wasomaji wapya, naendelea kutoa darasa kuhusu kuijua katiba ya JMT ya mwaka 1977, kwa jicho la Mtunga Katiba, kwa mimi kuvaa viatu vya mtunga katiba alidhamiria nini alipoweka kifungu fulani.
Wiki iliyopita nilizungumzia...
Wanabodi
Japo Sikukuu ya Christmas inasherekewa kwa shamra shamra sana, wengi wakidhani ndio sikukuu kubwa ya Wakristo, ukweli ni kuwa Pasaka ndio sikukuu kubwa ya Wakristo kutokana na fumbo la Paska, hakuna mtu yoyote aliyemshuhudia Yesu Kristo akifufuka, na baada ya kufufuka alikaa duniani...
Wanabodi
Kupitia kipindi changu kipya cha KMT, kinachorushwa hewani na Channel Ten, kila siku za Jumapili saa 3:00 usiku, namarudio Jumatano Saa 9:30 alasiri, Jumapili hii ni Katibu Mkuu wa Chadema, JJ. Mnyika, kuunguruma.
Katika kipindi hicho, JJ. Mnyika atathibitisha jinsi maridhiano na CCM...
Wanabodi,
JF, kama kawaida yetu, be the first to know!.
Chama cha Wanasheria Tanganyika, kwafukuta, rais wa TLS, (r ndogo), Wakili Msomi, Harold Sugusia akunjua makucha, kupitia The Governing Council, amempiga panga kwa kumsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji wa TLS, kwa kipindi cha miezi...
Nabii Huwa Hakubaliki Nyumbani, Buriani Moses Mathew, Mchango wako Sekta ya Habari, Una Thamani Kubwa Kuliko Status ya Ajira Yako.
Kwa wiki tatu mfulululizo, safu yangu imejikita kwenye Makala za Tanzia, nilianza na Rais Mstaafu wa Awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, wiki iliyopita ilikuwa ni...
Wana JF
Niko hapa Kinondoni Makaburi, kuwaletea pumziko la milele la mwana JF, Mzalendo Sanctus Mtsimbe.
https://www.youtube.com/live/PA4ndBZNpIE?si=EeOI7LGNCd2OU0J2
Tangu nimejiunga JF ile 2006, hii ndio mara yangu kwanza kuja kumzika mwana jf makaburi ya Kinondoni. Kwa jinsi makaburi ya...
Wanabodi,
Hili ni bandiko mwendelezo wa bandiko hili Tribute to Sanctus Mtsimbe: Sio tu ni smart kwa mavazi na muonekano, pia ni smart kwa mawazo, maneno, na matendo, na very smart upstairs!
https://www.youtube.com/live/rZNj5GiWTQQ?si=n_v1QK5KOlYRkOhc
Leo ndio tuna mpumisha Mtanzania mwenzetu...
Wanabodi
Leo asubuhi nimeianza siku vibaya, kwa bandiko la Mkuu Maxence Melo kuhusu msiba huu.
Mkuu Maxence Melo!, this is shocking news to me, taarifa hii sikupaswa kusomea JF, nilipaswa kuipata in box!.
Sanctus alikuwa patner wangu kwenye baadhi ya projects zake.
Huyu ndie aliongoza ile...
Wanabodi,
Hapa duniani kuna fani mbalimbali za shughuli, na shughuli kuu ya kwanza duniani baada ya Mungu kumuumba binadamu, ilikuwa ni shughuli ya kutengeneza watoto au kuumba viumbe. Kwa vile Adamu na Hawa au Adamu na Eva, wao waliumbwa na Mungu mwenyewe, hivyo shughuli yao kuu ya kwanza...
Leo ni siku ya Wanawake duniani
Kwanza hongera kwa wanawake wote duniani kwa kuadhimisha hii siku yao.
Leo kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, makala ya leo ni swali
" Baada ya Watanzania kumchagua rasmi Rais mwanamke, Uchaguzi Mkuu wa...
Wanabodi
23/5/2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kipindi hicho Dkt John Pombe Magufuli kumteua Dkt. Geofrey Suleiman Mkamilo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (Tanzania Agricultural Research Institute – TARI).
Dr Mkamilo alikuwa Kipenzi cha wanaabari...
Wanabodi
Siku ya leo, tunampunzisha Mzee wetu, Rais Mtaafu wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi, kwa jina maarufu la Mzee Rukhsa, kwenye nyumba yake ya malalo ya makao ya milele.
Mara ya Kwanza Kulisikia Jina la Ali Hassan Mwinyi.
Kwa mara ya kwanza jina la Ali Hassan Mwinyi, nililisikia mwaka...
Wanabodi,
Huu ni mwendelezo wa Tribute to Edward Lowassa ilianza wiki iliyopita TRIBUTE: Pumzika Lowassa. Kazi umekamilisha, umeacha alama, mwendo umeumaliza. Watanzania wazalendo tutakukumbuka daima-1
Kwa wasomaji wapya , huu ni mwendelezo wa jinsi nilivyokutana na Edward Lowassa...
Wanabodi,
Filamu ya Royal Tour ya Rais Samia, imepongezwa kwa kuchangia kuhamasisha utalii nchini kulikopelekea kuongezeka kwa idadi ya watalii wanaotembelea Tanzania, kutoka watalii 1,454,000 mpaka watalii 1,806,000, kati ya Desemba 2022 na Desemba 2023, ongezeko ambalo limechangiwa, Pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.