Search results

  1. Mvina

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ni majibu mazuri timu haiwezi kutoruhusu magoli 100%.
  2. Mvina

    Rais Magufuli apiga Marufuku kuingiza Sukari toka Nje

    Afanye hivyo hata kwenye mazoa mengine kama ngano na shayiri maana wakulima wetu wanashindwa kuuza ngano kwasababu inaingizwa kiholela sana toka nje. Shayiri (Barley) inatoka South Africa wakati sisi kama nchi tunaweza kuzalisha na kuwanufaisha wakulima wetu.
  3. Mvina

    Kwanini bei ya mafuta Haishuki Tanzania?

    Hii ndo Bongo danganyika zaidi ya unavyoijua, subiri siku wasikie mafuta yamepanda bei kwenye soko la dunia kama siyo siku ya pili bei juu, juu zaidi!
  4. Mvina

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Na iwe hivyo ili waanze tena ligi baada ya ya hii game.
  5. Mvina

    Nitasema kweli Daima, Unafiki kwangu ni Mwiko (MUUNGANO SIUTAKI)

    Sijawahi kuwa muumini wa muuungani na sitakuwa hata siku moja
  6. Mvina

    Wahubiri kama vitu hamvijui bora kukaa kimya

    Paradiso au kuna tafsiri nyingine?
  7. Mvina

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Tujipange mwakani, ilikuwa si rahisi sana kuwafunga hawa jamaa mara tatu mfululizo.
  8. Mvina

    Mgomo wa Wachinjaji wa Arusha Meat wanukia siku chache sana!

    Mkuu wale tunaokula kitimoto hasa ya kuchoma hapa tank la maji hatuna wasiwasi na huo wa ng'ombe wao. Na wagome tu maana tumechoka!
  9. Mvina

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Na lazima leo wapigwe tena goli mingi tu.
  10. Mvina

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ni masaa tu yamebaki kuelekea kwenye big test kitu ushindi ndo muhimu kwetu.
  11. Mvina

    Tabia ya mtu kumbaka binti yake je ni laana au matamanio kuzidi?

    Weka picha tuwaone then comments..
  12. Mvina

    Mh waziri Juma S. Nkamia

    Kwi!kwi!kwi! magamba oyeeee!
  13. Mvina

    Nataka kumsaliti mume wangu

    Nipe mimi toto zuri..
  14. Mvina

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Haitakuja kutokea hata siku moja, tupo pamoja na timu yetu kwenye vipindi vigumu na wakati wa raha.
  15. Mvina

    Mashamba ya kupanda Miti yanauzwa - Mufindi.

    Bela bite kahavile hela maana ino tudzokite mahala mahala!
  16. Mvina

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mwanzo mzuri sana, nimeipenda game hasa kipindi cha kwanza. Madogo wakajipange kwa game zijazo.
  17. Mvina

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Leo ndo mchakato utakuwa unaanza rasmi kwa msimu huu. Ushindi utakuwa muhimu sana ukizingatia ni game ya kwanza.
  18. Mvina

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mmmh haya bana ukweli utajulikana wk kadhaa zijazo.
  19. Mvina

    Real Madrid Vs Chelsea

    Game nzuri kujua mapungufu idara mbalimbali kwa kila timu.
Back
Top Bottom