Search results

  1. U

    Mh pengo anamuhujumu kikwete?

    Msimamo wa kanisa ni serekali 3. Leo hii Mh Pengo anataka serekali 2. Hii ni wazi inawezekana Katiba ikakwama kupata theluthi inayotakiwa na kutumika ile ile ya 1977. Inaamana kwamba kazi yote iliofanywa ni bure GAZETI LA HABARI LEO <p>MUUNDO wa serikali tatu uliomo ndani ya Rasimu ya Katiba...
  2. U

    Vuai: CCM Zanzibar itapinga kwa nguvu serikali 3

    Naibu katibu Mkuu wa Zanzibar amesema CCM haiko tayari na mfumo wa serekali 3. Amesema hayo Makunduchi jana.swali: kwanini baadhi ya CCM Zanzibar haitaki serekali 3? wao wanaathirika na nini?Jee 61% ya waliotoa maoni. CCM hawamo?
  3. U

    Tv imaan yapata kibali rasmi

    Tv imaan yapata kibali rasmi. Tv hii inaendeshwa na islamic foundation. Licha ya islamic foundation kumiliki tv. Pia ina redio na shule za sekondari.lakini inamiliki zahanti nyingi hapa nchini zinazosaidia waislam na wasiokuwa waislam pia ni taasisi iliokaribu sana na chuo kikuu cha waislam...
  4. U

    Tahadhari kwa wanaokula kitimoto

    CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimehadharisha walaji wa nyama ya nguruwe nchini, kuwa wanakabiliwa na hatari ya kupata kifafa. Utafiti wa kisayansi uliofanywa na SUA, umebaini kuwa baadhi ya nguruwe wana minyoo aina ya tegu ambao nyama yao ikiliwa bila kuiva vizuri, mlaji atapata...
  5. U

    Ujumbe kwa x-mass wa kusameheana ni hapa kwetu unafiki tu

    Hapa kwetu Tanzania mbona hawataki waislam kujiunga na OIC au mahakama ya kadhi huku wao wakiwa na vatikan? Kama kweli uko moyoni, mbona MOU hawavunji mkataba? Mbona hawaikemei NECTA? Hpa kwetu sidhani kama ni wa kweli. huko ulaya mbona wapo kimya kuhusu Marekani na israel wanavyofanya duniani?
  6. U

    Kwanini padri mpemba hakamatwi kama vile ilunga?

    kwa mujibu wa gazeti la Annur sheikh Ilunga amekamatwa na kufunguliwa mashtaka, Nalipongeza swala hili ili sheria ifanye kazi yake . lakini kwa mujibu wa taarifa za mwanzo Miezi 5 iliopita zilitolewa na polisi waliokuwa wanatafutwa ni sheikh Ilunga na Padri Mpemba kwa mujibu wa magazeti mengi...
  7. U

    Hata mwalimu nyerere hakuweza haya wakati wa uanzishwaji wa vijiji vya ujamm

    wakati wa uanzishwaji wa vijiji vya ujamaa, watu wengi walinyanyaswa na kuhamishwa bila ya ridhaa yao. uvunjwaji mkubwa wa haki za binaadamu ulifanyika. Lakini hakuna aliewajibishwa, sio waziri wa mambo ya ndani au waziri wa vijiji
  8. U

    Swali la x-mass

    Kwanini Makao makuu ya dini yapo Ulaya. katoliki - Italia Cathodic - Ujeruman. Angalikan - Uk. Wasabato - Marekani nijuavyo mimi, Yesu aliishi sana maeneo ya IRAQ, SYRIA, ISRAEL na kidogo Egypt.Nchi za ulaya ndio za mwisho kufikia ujumbe wa YESU wala hakuna historia ya kwamba aliwahi kufika...
  9. U

    BBC swahili huwa inaficha nini hasa kwa wasikilizaji wake?

    wakati Juma Nkamia anazungumzia kuhusu bbc swahili kwamba wakati mwengine kinatumika kama chombo cha propaganda, wengi tulimpinga. Hivi sasa chombo hichi kipo bizz sana kuzungumzia mzozo wa Afrika ya Kati. kinachoshangaza kwamba makundi yanayopigana ni waislam na wakiristo. Taarifa za baadhi...
  10. U

    Kamishna mpya wa Zanzibar, ni msomi na mtaalam wa mambo ya teknlojia ya habari

    Kuna habari kwamba CP Hamdan Omari Makame ni mtaalam wa mambo ya IT kwa ukumla , ni msomi aliepitia chuo cha DIT(advance diploma ), marekani, Canada, china, Australia na nchi nyegine nyingi. Alikuwa mkuu wa IT tanzania. Thanks
  11. U

    Kwanini habarileo lipo karibu na zitto kuliko ya hamad rashid na cuf na kafulila na ncrr??

    Wakati sakata la Hamad Rashid na CUF, Kafulila na NCRR, gazeti la habari leo halikuwa likiipa umbele habari za wawili hao. Lkn hili la Mh zitto limepewa sana kipaumbele. kwa mfano ukisoma toleo la leo, jana na hata Juzi utagundua linajarabu sana kuonesha kwamba zitto ameonewa. lkn tofauti na...
  12. U

    Zamani nilidokezwa kama kitila mkumbo sio mpinzani

    Wakati nipo Chuo kikuu UDSM. Kuna rafiki yangu wa karibu sana kawahi kuniambia Kitila Mkumbo sio mpinzani. huyo rafiki nilimuona Mtu wa ajabu sana. lkn sasa nimeanza amini
  13. U

    Zanzibar waikacha CHADEMA, Wapanga kurudisha kadi

    wanadai Siasa za tanzania bara sio za kuaminika. Wadai kama DK wa chuo kikuu anakuwa msaliti wa mageuzi sijui nani ataaminiwa. Wanasema katika historia ya Tanzania hii ni mara ya kwanza Msomi kama dk wa Chuo kikuu anakuwa msaliti na anafukuzwa. Wadai kwa upande wa Zanzibar madokta wengi...
  14. U

    Chuo cha usimamizi wa fedha (ifm) ni kiboko kuliko hata udsm

    Kuna brother wangu mwaka wa sita huu anaitafuta master ya Business Adminstration hapo IFM anapigwa chini. Lakini pia kwa mujibu wa matangazo yaliotolewa IFM kwamba leo 21/10/ kuna graduation ya watu wa master ya IT itayofanyika katika ukumbi wa CHUO CHA UTALII saa 6 mchana opposite na...
Back
Top Bottom