Search results

  1. ngopyolo

    NMB Vwawa Branch Mbeya, mnatia aibu kwa rushwa

    Habarini wanajanvi! Nimekuwa mhanga wa kadhia hii ambayo imeota mizizi katka tawi hili la nmb vwawa mbozi mbeya,nimeomba mkopo yapata mwezi sasa nikiwa nimetimiza vigezo na masharti yote nikaambiawa ntapata hela ndan ya masaa 48 lakn hadi leo sijapewa rafiki yangu tuliyekuwa naye kapewa baada...
  2. ngopyolo

    Wilayani Mbozi, Waalimu wachangishwa Tsh 3000/= ya mafuta ya Mwenge

    Wilaya ya Mbozi wananchi tunaonewa sana, Sehemu nyingine hawachangii Mwenge lakini sisi tunalazimishwa. Agizo kutoka Halmashauri ya Wilaya, ni kuwa kila Mwalimu achangie Elfu tatu (30,00) Kwaajili ya mafuta ya Mwenge. Je Mwenge hauna bajeti? Na mwisho wa kutoa mchango ni Tarehe 22.06.2015...
  3. ngopyolo

    Msaada: Mahitaji ya saluni ya kiume

    Habari wanabodi, Ili kuondokana na utegemezi nimetamani kuanzisha saluni ya kiume iliyo bora na ya kisasa. Asanteni
Back
Top Bottom