Tarehe ya mwisho ya kitambulisho ni muhimu sana. Baada ya miaka 10 hata sura inakuwa imebadilika. Hivyo picha mpya ni muhimu.
Pia, kuna watakaokuwa wamefariki kwa mfano. Hawa utambulusho wao utajiondoa kwenye orodha automatically.
Sababu za ukomo ni nyingi na muhimu!
Wanyama ni viumbe wenye tofauti kubwa na binadamu. Kuna maeneo mengi ambapo wana uwezo mkubwa, tofauti na binadamu. Kwa mfano, ukisikia usiku wa manane mbwa au kuku wanalalamika ujue kuna mchawi kapita eneo hilo. Mara nyingi utawasikia wakipokezana nyumba moja hadi nyingine. Binadamu wa kawaida...
Huyo mama anao washauri wa mitaani wanaompotosha. Mweleze daktari wake ambaye atampa ushauri wa kisayansi kuhusu suala zima la kujamiiana wakati mama ananyonyesha. Kinachotakiwa hapo ni kujithidi asipate mimba kabla ya wakati mwafaka! Otherwise unachapa tu.
Tambo la Mabibo na heineken yao tayari limepata ufumbuzi. Wanywaji wa heineken zaidi ya nusu tayari wamehamia kwenye ndovu mpya!
By the way, hawa jamaa wa Mabibo ni walewale kina Lugemarila wa IPTL.
Mimi nawasifu Wamarekani kwa jinsi wanavyo-handle suala la u-dr na u-prof. Hizi title wanazitunia tu pale wanapokuwa kwenye shughului za academic. Kwa mfano prof akiacha kufundisha akawa mbunge au mfanyabiashara, title ya prof au dr hazitumiki katika shughuli zake za siku hadi siku. Anakuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.