Search results

  1. Hukumuzuku

    Rais Samia, tusifukie Mahindi na Maharage ya Marekani, naomba tuyapeleke Haiti

    Ni mchele siyo mahindi wee mzee. Halafu vigezo na masharti kuzingatiwa: msaada uliopewa huwezi baadaye kuugawa kwa yeyote asiye mlengwa
  2. Hukumuzuku

    Sasa ni Rasmi Magufuli amegoma kufa!

    Amegoma kufa? Kwa hiyo amefufuka yu hai. Kaushinda umauti kama Yesu Kristo
  3. Hukumuzuku

    Dhiki waliyonayo Watanzania inatisha, Waacheni wapewe msaada wa Chakula kuondoa Utapiamlo

    Haya jitie kidole mwenyewe ngedere wewe
  4. Hukumuzuku

    Dhiki waliyonayo Watanzania inatisha, Waacheni wapewe msaada wa Chakula kuondoa Utapiamlo

    Hiyo baa ya njaa ndiyo ikoje mkuu? Njaa inauzwa kwenye baa?
  5. Hukumuzuku

    Waziri Bashe hakutakiwa kuukataa msaada wa mchele kutoka Marekani na kama alikuwa na mashaka yoyote angewatumia TBS

    Wewe ni mwanafunzi wa shule hadi ulalamike kuhusu huo mchele?
  6. Hukumuzuku

    Waziri Bashe hakutakiwa kuukataa msaada wa mchele kutoka Marekani na kama alikuwa na mashaka yoyote angewatumia TBS

    Huo mchele ni maalum kwa shule zenye uhitaji wa lishe za ziada. Wewe bado unasoma shule? Hata mchele wa Mbeya kilo moja 3600 utakuta huna hela ya kununua
  7. Hukumuzuku

    Ugomvi na ushoga usiwe kigezo cha watoto kukosa mchele wenye virutubisho, tutaonekana majuha

    Mchele ukishakobolewa unaondoa virutubisho vingi sana, sasa Wamarekani, akili kubwa, wameona umuhimu wa kurudisha virutubisho asilia vya mchele uliokobolewa.
  8. Hukumuzuku

    Waziri Bashe hakutakiwa kuukataa msaada wa mchele kutoka Marekani na kama alikuwa na mashaka yoyote angewatumia TBS

    Kwani mmeambiwa huo mchele utaingizwa sokoni kuuzwa kwa mtu yeyote au ni msaada maalum kwa shule takriban 300 zenye uhitaji wa lishe?
  9. Hukumuzuku

    Ugomvi na ushoga usiwe kigezo cha watoto kukosa mchele wenye virutubisho, tutaonekana majuha

    Hii nchi kuna dhiki kubwa na njaa kali. Huo mchele ni salama kabisa na unahitajika kwa sana. Tena ni mchele bora kuliko hata mchele wa Mbeya sababu umeongezwa virutubisho ADIMU ambavyo vijana wa shule wanahitaji kwa afya yao. Itoshe kusema, hakuna shule inaweza ku afford mchele premium kama wa...
  10. Hukumuzuku

    Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo: Waagizaji hawakupaswa kuleta mchele wa Msaada kutoka Marekani kwani Tanzania ina hazina ya mchele

    Kawaambia NGO? NGO ndiyo inaamua pesa za kodi za Wamarekani ziende kwa Wakulima wa Marekani au ziende kwa Wakulima wa Tanzania? Huo ni msaada. Take it or leave it. Aaiambie hiyo NGO warudishe mzigo wao wa mchele Marekani badala ya kuzungumza maneno mengi yasiyo na mantiki wala uhalisia...
  11. Hukumuzuku

    Msaada wa chakula toka USA ni kuichafua Tanzania

    Vitamin na minerals banaleta mukansa kwa batoto?
  12. Hukumuzuku

    Msaada wa chakula toka USA ni kuichafua Tanzania

    Jiongeze mkuu. Google. Fanya research ya angalau dakika 5. https://www.ffinetwork.org/americas https://www.researchgate.net/figure/Countries-with-mandatory-rice-fortification-and-those-with-rice-availability-of-75-g-d_fig3_349332973
  13. Hukumuzuku

    Msaada wa chakula toka USA ni kuichafua Tanzania

    Huu ni mchele ulioongezwa vitamini na madini baada ya kuvunwa. Unitwa fortified rice. Mchele wote uliozalishwa Marekani ni lazima uongezewe virutubisho hata ule unaopatikana madukani Marekani kwenyewe mfano Uncle Ben's parboiled long grain rice...
  14. Hukumuzuku

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Hiyo hoja ya huyo mama ni upuuzi mtupu ambayo ni akili y mwanamke mjnga tu asiye na hekima wala busara anaweza kuja nayo. Huu muswada ningependa ajitokeze mtu au kikundi/taasisi waupinge mahakamani kwa hoja. Itoshe kusema ni jambo ambalo halikubliki kabisa kwa 99.999999% ya Watanzania wote.
  15. Hukumuzuku

    Tahadhari: Huyu ni tapeli wa Kujiaminisha?

    Kwani lazima kumsikiliza au kumsaidia si unaweza kula jiwe akianza kukuongelesha? Unaweza mpa buku vilevile au hata jero. Hajamlazimisha mtu ampe elfu 40 au laki.
  16. Hukumuzuku

    Wanasema mimi ni Shetani na pia ninahofia maisha yangu yapo hatarini hapa UK

    Since you happen to be aware of your own mental health challenges, then why the heck aren't you seeking professional help but instead going around venting about it on a public forum? What's the point?
  17. Hukumuzuku

    Rais Samia anasifiwa kupita kiasi

    Anayo cult of worship and dedicated praise singers utadhani Kim Il Sung wa Korea. Usiwashe radio au TV maana utakutana na uharo non-stop wa shukrani zisizoisha kwa "Mheshimiwa Dokta Rais Samia Suluhu Hassan" kwa kufanya hiki na kuteletea kile. It's complete utter nonsense!
Back
Top Bottom