Search results

  1. Mbimbinho

    Ombi la Haraka la Uchunguzi wa Ushindani wa Haki katika Ligi Kuu ya NBC

    Hiki ndicho mnachofanya?? Si mlimuona muhuni now mnataka aondoke Yanga, haendi kokote. Nenda polisi sasa
  2. Mbimbinho

    Tafakuri: Mwaka huu Yanga wanashindana na Yanga wenyewe

    Consistency ndio hupaswa kumfanya mtu awe na akiba ya maneno. Yanga wana consistency nzuri, so let them be
  3. Mbimbinho

    Ayub Lakred ni Golikipa Bora Afrika

    Sema kipa bora Simba
  4. Mbimbinho

    Hii kauli "Simba dhaifu" inatugharimu sana Yanga

    Hizi kauli ni zetu mashabiki mkuu sio za wachezaji na benchi la ufundi. Ni sawa na ile Pacome day, watu walisema tumewekeza kwenye PDay badala ya kujiandaa, mwishowe mtu akala 4.
  5. Mbimbinho

    Utabiri: Baada ya saa 21:00 zitasikika kelele za hutamtaki mangungu

    Honestly natamani sana hili litokee, ila sidhani kama itawezekana. Ila likitokea hakika itakuwa siku yangu bora kabisa kwa mwaka huu
  6. Mbimbinho

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Nimeagiza popcorn, shusha vitu
  7. Mbimbinho

    Hebu wana Simba SC tuacheni Utani, Unafiki na Uongo. Kuna anayependa kweli tukutane na Yanga SC Robo Fainali ya CAFCL?

    Vyovyote vile ulivyoelewa, lakini alichoongea ndio ukweli wenyewe, Simba hana timu ya kupishana na Yanga. Na hakuna mwanasimba ambaye anatamani hii itokee hata mwezi wa 4 ni kama unakuja kwa kasi sana
  8. Mbimbinho

    Yanga inaweza kua timu ya kwanza kufika nusu fainal CAF kutoka Tanzania

    Simba mwaka 1974 alicheza Nusu final dhidi ya Ghazl el Mahalla na alitolewa kwa penalty 0-3 baada ya kila timu kushinda kwake 1-0. So jamaa yuko sahihi.
  9. Mbimbinho

    Kumbe Yanga ilicheza na timu ya vijana ya CR Belouzdad, mashabiki wanamjia juu kocha kwa kudharau mechi

    Kosa ulilolifanya ni unetranslate, nikueleweshe tu Maana ya Chabab Riadh Belouizdad ni Vijana wa Belouizdad. Sasa hiyo vijana haimaanishi ndo wamecheza, ila vijana imetamkwa kama timu
  10. Mbimbinho

    Yusuf Bakhresa pokea simu ya Mudathir kabla mambo hayajazidi kuwa mabaya

    Popote pale haijalishi unafanya nini, YESU KRISTO SIKU ZOTE WAKATI WOTE NI MADA NDANI YA MADA
  11. Mbimbinho

    Yanga hii hata Al Ahly ingemfunga nyumbani kwake

    Madu hapo juu kakuonesha risiti yako, sema umepita kama kama unadaiwa vile.
  12. Mbimbinho

    FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

    Kanuni zinatamka kuwa, kama timu zimelingana points, kipengere cha kwanza wanachoangalia ni H2H (head to head) nano mshindi mlipokutana. H2H Yanga ana magoli mengi zaidi ya Belouizdad 4vs3. Lakini kama ingekuwa magoli yao pia yanalingana yaani 3vs3 ndio wangeenda kwenye general Goal difference...
  13. Mbimbinho

    Kichaka cha waliokuwa wanajificha kufika robo fainali CAF CL kimefyekwa rasmi

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  14. Mbimbinho

    FT: CR Belouizdad 0 - 0 Al Ahly FC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 16.2.2024

    Nakubaliana na wewe kusema mahesabu magumu, lakini kusema hayana uhalisia umekosea. Yanga anaweza kushinda hapa taifa na anaweza kudraw Cairo pia
Back
Top Bottom