Search results

  1. illegal migrant

    mama atakuja kuanguka

    nimeangalia viongozi wengi wakiwa na vimo vifupi huwa wanatumia magari ya chini Hillary Clinton aliamua kutembea na kigoda kama picha inavyoonekana pichani, kigoda hiki humsaidi kupanda kwenye gari hizi za juu (SUV) mama yetu anapanda gari ya juu kwa shida, ushauri wangu atumie kigoda au awe...
  2. illegal migrant

    Jinsi nilivyolipiza kisasi baada ya Kuliwa nauli (kisa cha Kweli)

    Nilikwenda kumtembelea mwanangu shuleni mkoa fulani, nikakutana na walimu wake ili kutambuana na nilitambulishwa kwa mwalimu wake wa darasa, alinisalimia kwa uchangamfu wa hali ya juu na kiukweli ana sifa zote za kuitwa mwanamke mrembo niliomba mawasiliano yake kwa ajili ya “kufuatulia maendeleo...
  3. illegal migrant

    Uwe makini zaidi unapotaka kununua gari kwa watu hawa

    Wengi tunataka magari ya bei nafuu, hii hupelekea kujikuta tuko tayari kununua gari bila kufanya uchunguzi wa kina, baada ya kujiridhisha kuwa gari unalotaka kununua lipo katika hali inayokuridhisha, ni. Ni muhimu kujua gari hilo liliingiaje nchini, hapa nazungumzia documents. Watumishi huwa ni...
  4. illegal migrant

    Kilio cha wakulima: Madalali wanatunyonya, hawalipi kodi, ni watu wabaya

    Kweli jamani kila mtu anatakiwa atafute riziki kihalali, ila vitu vingine vinaudhi, vinaumiza, niliamua kuwa mkulima kwa lengo la kujiongezea kipato, nikaamua kushirikiana na mzazi wangu aliyeko huko kijijini, tulianza kilimo cha viazi kwa kuanzia nilianza na hekari tano. Baada kulima kwa muda...
  5. illegal migrant

    NBC ATM yenu airport mbovu

    Dah kuna wakati mwingine unashangaa ni kama watu wamechoka biashara au nini, nimechomeka kadi hapa kwenye ATM ya NBC imenitolea risiti ambayo inaonyesha hela imekatwa ila kiuhalisia sijapata hela nimekaa hapa ili nisubiri, bado naendelea kusubiri ili pengine zisitoke akachukua mtu mwingine...
  6. illegal migrant

    Ushuhuda kilichonitokea Kona Bar Sinza, Dar es Salaam

    Nilikuja Dar kwenye biashara fulani, mida ya jioni nikatafuta bodaboda nikamueleza sehemu ambayo ninaweza kwenda kupumzika na kupunguza msongo, akaniambia kuna sehemu Sinza panaitwa Kona Bar pamesheheni kila aina ya burudani hata kama biashara hazi kwenda vyema naweza kujifariji. Tukaelekea...
  7. illegal migrant

    I phone city ya Dar free market ni matapeli

    Ni ushauri tu wala sio lazima uufuate siku hizi kuna maduka mengi yanauza I phone. mme wangu Alinunua simu pale na kama ujuavyo bei za I phone tangu amenunua imekuwa ikiharibika na kila tukiirudisha wanasema changia hela kidogo tukutengenezee. Ukiwaeleza kuwa hii simu ina warranty wanakusumbua...
  8. illegal migrant

    Vurugu Afrika Kusini: Vifo vyaripotiwa mgomo wa madereva wa malori

    Rejea bandiko langu la siku kadhaa zilizopita lenye kichwa cha habari “Tahadhari kwa madereva malori waendao Afrika kusini”, kituo cha habari cha ITV kimeripoti vurugu kubwa ambazo zimeshababisha vifo vya watu wanne ndugu zangu wa magari ya masafa tuchukue tahadhari kwani nchi zingine...
  9. illegal migrant

    Tahadhari kwa madereva wa malori waendao Afrika kusini

    Serikali ya Zambia imetoa tahadhari kwa madereva wao waendao Afrika kusini kwani madereva wa Afrika kusini wamepanga mgomo mkubwa siku ya leo jumapili na kesho jumatatu, kituo cha habari cha SABC kimeripoti ikumbukwe kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi yenye kufanya shughuli za usafirishaji...
  10. illegal migrant

    Msaada kuhusu kodi ya ardhi

    Kwa anayejua tafadhali msaada kuna watu wana tittle deed za wizara ambazo wanalipia kila mwaka naomba nijue kama zoezi hili linalopigiwa kampeni kama na wao linawahusu ina maana kama linawahusu watalipa kodi mara 2 yaani ya kiwanja na jengo
  11. illegal migrant

    Dar free market wanatiririsha maji taka barabarani

    Mheshimiwa waziri wa afya alitangaza mlipuko wa ugonjwa wa kipindu pindu kisha akaagiza wote wanaotiririsha maji machafu barabarani wachukuliwe hatua, nimepita hapo dar free market karibu na ilipokuwa DSTV zamani, muda si mrefu kununua mahitaji nimeshindwa kungia, maji taka yanatiririshwa hatari...
  12. illegal migrant

    Spika Ndugai wachukulie hatua wabunge waliohojiwa na kituo cha Televisheni cha nchi jirani

    Ni hatari kwa usalama wa taifa ukizingatia kwamba wabunge wale hawakwenda official visit wakaalikwa kwenye kituo cha tv cha nchi jirani na kuanza kuongea bila mpangilio hivyo kujikuta wanaongea habari za ndani ya nchi bila wao kujijua wakati wanajibu maswali ya kichokozi ya mwandishi. Chukua...
  13. illegal migrant

    Tujadili usalama "first person at scene", "eye witness"

    Tuache kunyoosheana vidole na matusi twende hatua baada ya hatua, tukio la uhalifu linapotokea kama lengo ni kuwakamata wahalifu **** kikosi ama mtu anaitwa 1st person at the scene huyu anakuwa ni wa kwanza kufika eneo la tukio kwa lengo la kuokoa, kuchunguza au ushabiki mandazi, huyu first...
  14. illegal migrant

    Sababu hizi zinatufanya tukwepe viwanja vya ndege vya ndani kusafirishia mazao

    Jana katika vyombo vya habari nilimuona Mhe. Waziri wa Uchukuzi akihitaji maelezo kwa nini wafanyabiashara tunatumia viwanja vya ndege vya nchi jirani kusafirishia bidhaa. Nilisikitika sana kukosa wasaa wa kulielezea hili kwani liliwahi kunikuta. Nilikuwa nataka kusafirisha samaki nikauliza...
  15. illegal migrant

    Salam,mpongezi na ushauri kwako Jaji mkuu Ibrahim Juma

    Hongera sana kuwa kiongozi wa muhimili mahakama kuaminiwa inaonyesha uadilifu wako, kuna tafiti zilifanywa kipindi ha nyuma zilionyesha kuwa mahakama ni moja ya taasisisi zenye rushwa hapa nchini hivyo kupelekea watu kudhulumiwa haki zao naomba uje na mbinu bunifu ya kupambana na hii, kero...
  16. illegal migrant

    Mlalamikaji (plaintiff) katika tukio la kushambuliwa TL ni nani

    Mtu anapokufa JMT huwa ina peleleza, inakamata kisha ina hukumu ambapo shauri litakuwa kati ya JMT dhidi ya mtuhumiwa mtu anapojeruhiwa huwa ni kwamba aliyejeruhiwa anatakiwa akashitaki kituo cha polisi naye atajulikana kama mlalamikaji dhidi ya mtu anayemtuhumu, kitendo cha PT kuongea na kusema...
  17. illegal migrant

    CHADEMA ni mfupa uliomshinda fisi (Slaa, Zitto)

    Mwenye chama chake aliondoka baada ya kuona kuwa chama kimeingiwa na wapiga dili wanauza chama kwa mtu yoyote ukiwa na akili timamu huwezi amini kuwa mtu kama yule mwanasheria mjaluo ambaye alikuwa afisa nyeti wa serikali anaweza kuwa mwanasheria mkuu wa chama ila hiki chama kilimuamini na kumpa...
  18. illegal migrant

    Makala maalum (aljazeera)

    Sent using Jamii Forums mobile app
  19. illegal migrant

    Muhimili huu wa serikali unadharaulika

    Serikali yetu ya JMT ina mihimili mikuu mitatu ambapo leo naomba nijikite kwenye huu muhimili mahakama, kiukweli huu muhimili ni sanamu nasema hivi kwa kurejea kilichotokea Kenya katika kesi ya kupinga uchaguzi ambapo mahakama imebatilisha uchaguzi ambao ulimuweka raisi madarakani kwa hapa kwetu...
Back
Top Bottom