Search results

  1. 10000

    TBC ni TV ya waislam na wakristo wakatoliki?

    Waislamu na wakatoliki ni sehemu ya umma, shida iko wapi kwani
  2. 10000

    Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 80 na Majeruhii 133

    Inabidi hizi crater zijengewe paa kwa juu kuzuia maji yasiingie kwenye mlima na kusababisha hizi landslide
  3. 10000

    Je, ni ipi njia salama zaidi ya kupanga uzazi kati ya hizi?

    tumia njia asili ya uzazi wa mpango ni rahisi na haina madhara kwa mama, njia zingine zote zina madhara makubwa kwa mwanamke zingine hupelekea kansa.
  4. 10000

    Speed ya Sauli bus: Mabasi yanayokimbia sana hayana vidhibiti mwendo?

    isuue ya city boy haikusababishwa na speed ilikua mbwembwe tu za madereva, narudia tena kama hupendi basi linaloenda speed mtuachie pandeni hizo luxury zenu tuachini mabasi yetu tuwahi kufika mambo ni mengi muda ni mchache.
  5. 10000

    Speed ya Sauli bus: Mabasi yanayokimbia sana hayana vidhibiti mwendo?

    kwani mabasi yanayokimbia polepole hamuyaoni mpaka mje kuanzisha nyuzi, tuachieni mabasi yetu yanayokimbia siungi mkono vidhibiti mwendo speed sio chanzo pekee cha ajali
  6. 10000

    Roho ya kukataliwa: Chanzo/asili na madhila yake

    Mkuu Mshana Jr,hiyo 'Nakuombea....!!!' naihitaji sana kutoka kwako napitia kipindi kigumu mkuu
  7. 10000

    Kuna familia zina laana ya asili

    shukrani ndugu ngoja niupitie
  8. 10000

    Kuna familia zina laana ya asili

    heshma yako mkuu Mshana ,Nakuhusudu sana kwa nyuzi zako taradadi hapa jamvini. naomba kufahamu juu ya hiyo tiba ya chumvi hata kwa link ya huo uzi itanifaa sana, natanguliza shukrani.
  9. 10000

    Kuna familia zina laana ya asili

    naomba link ya huo uzi mkuu kuna mambo yanichanganya apa hata sielewi nianzie wapi
  10. 10000

    Tamko la waumini wanaopinga Parokia ya Kawe kuendeshwa kinyume cha taratibu za Kanisa Katoliki

    ishu ya migogoro kawe ipo hata kabla pengo hajastaafu, cha muhimu hapo hilo shirika linyang'anywe parokia waichukue jimbo migogoro itakoma
  11. 10000

    Tamko la waumini wanaopinga Parokia ya Kawe kuendeshwa kinyume cha taratibu za Kanisa Katoliki

    parokia ya kawe tangu aondoke Fr. Mshanga haijabahatika kupata tena paroko ila vitimbwi kila uchao
  12. 10000

    Kwanini wanaume wanapenda kufanya hivi wakati wa ku-sex?

    Unaongeza mshawasha kkufanya vizuri au namaliza halafu napita zangu hivi.
  13. 10000

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    yaani hii thread ni kama unaangalia porn tu
  14. 10000

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chilamila, awatandika bakora Wanafunzi

    saa tisa hii ndugu yangu yangu, jitahidi usiwe una skip lunch yako kunya hata maji kama hali ngumu sana
  15. 10000

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chilamila, awatandika bakora Wanafunzi

    mkuu Bujibuji na wewe unaamini kwamba amesafiri kutoka mbeya hadi chunya kwenda kuchapa wanafunzi? hayo ni sehemu ya yatokanayo na ziara tu japo angeweza kutoa maelekezo badala ya kuwachapa yeye ila angetokeaje sasa "front page" ndio sampuli ya viongozi tulionao awamu ya tano
  16. 10000

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chilamila, awatandika bakora Wanafunzi

    kujua au kutokujua kwako kusikufanye ukawa mvivu wa kujifunza vitu vipya, usiwe kama wanafunzi wanaotumia simu wakiwa shuleni utachapwa viboko mzee shauri yako betterment /ˈbɛtəm(ə)nt/ noun the improvement of something. "they believed that what they were doing was vital for the betterment of...
  17. 10000

    Waziri Mkuu kuanza ziara ya kikazi mkoani Singida

    your response skills iko chini sana, siku nyinginekabla hujajibu uwe unasoma na kuelewa kilichoandikwa sio unamaliza wino bure na kuongeza idadi ya post butu
Back
Top Bottom