Search results

  1. holygrail

    Huyu denti kajitakia mwenyewe kushobokea dundo

    Dar es Salaam. Mtoto wa kike wa miaka 15 ameieleza Mahakama ya Wilaya ya Temeke jinsi alivyobakwa na mwanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) na kuambukizwa ugonjwa wa Ukimwi. Kitendo hicho kinadaiwa kufanywa Juni 25, 2020 katika maeneo ya Kijichi, Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam na...
  2. holygrail

    Ajali za bongo banah

    Madereva wa bongo ni majanga
  3. holygrail

    Msaada wa hii iPhone

  4. holygrail

    Ona wazungu wanavyodharau huduma zetu

    Hapa alikuwa anampa ushauri mu America mwenzake aliyekuwa anakuja tz Hi Paul, You have asked the right person if you want to know about medical things and Tanzania, and having a baby in Tanzania. We have our 3 kids. ages 4, 3, and 1, We went back to the U.S 6 weeks before delivery and returned...
  5. holygrail

    Hivi mwanaume unakosaje gari jamani?

    Unajua kuna vitu vinashangaza sana. Dume zima mpaka miaka hamsini huna hata gari la mabati. Sa unafanya kazi ya nini. Lengo la kazi upate vitu vizuri banah! Yaani dume zima unakosa hela ya usafiri kama huu[emoji116][emoji116][emoji116] au basi hata magari ya mbebez na vitoto kama Wanaume...
  6. holygrail

    Mwanaume halisi ni.....

    Mwenye pesaaaa... 1.anayeweza kulipia dstv premium hata ifikie 500k 2.ambaye halalamiki jf eti dstv wamepandisha 3.lazma umiliki gari lisilopungua 45mil 4.unampeleka dem mall za maana sio karume au kariokoo 5.ambaye ha report thread kwa mods mada hii inapomgusa Dr.holygrail...
  7. holygrail

    Mfanyakazi, utaweza kumudu gharama za maisha kwa mshahara huu?

    Pata picha kuwa unalipwa mshahara kiasi cha Sh. 600,000 Ukatwe kodi ya PAYE 18% ya mshahara 600,000-108000= 492000 Ukatwe 18% mkopo wa boom ulioupata chuo492000-108,000=384,000, Kodi ya nyumba 384,000-100,000=284,000 NSSF wakate hapo 284,000-80,000=204,000, bili ya umeme 204,000-20,000=...
  8. holygrail

    Hizi ngono hizi...

    MATHEMATICAL PAPER Time: 2Hrs 30MINS INSTRUCTIONS: .ATTEMPT ALL QNS .ALL QUESTIONS CARRY EQUAL MARKS 1. You have dated a girl for 2yrs, eventually she drops u for another guy. Calculate the percentage of time wasted. (20mks) 2. You buy knickers for ur girlfriend & another...
  9. holygrail

    Kitambo sana you know!

    "Nieleze siri ya mafanikio...." "Sio siri, ni revolla!" " Revolla peke yake?" " Ndiyo...kwani marashi yake ni tulivu, na huniacha fresh, mchana kutwa..." Jamani hivi yule binti alishapotelea wapi? Nilikuwaga namfeel kinoma. Nadhani zingekuwa zama hizi za utandawazi angekuwa bongo movie.
  10. holygrail

    Dah! Le true drama u know!

    Hapo zamani za kale walitoke vijana wawili waliokua marafiki sana. Mmoja akiitwa "mtoto wa tajiri" na mwingine "ndugu mkware".. Waliitwa "Boys 2 Men" kwa jinsi walivyoshibana. Mtoto wa Tajiri baba yake alikuwa na mali nyingi lakini "ndugu mkware" alikuwa mtoto wa Fukara baba yake akiwa Area...
  11. holygrail

    Wanaume wengi wa Tanzania ni mianaume suruali

    U know what mbebez!!...ili usiwe le mwanaume kengerez lazma uwe na sifa zifuatazo you know!! 1.Usiwe le mwalimu you know!!...walimu wote ni mafukaraz you know!!..so infwakt all tichaz are wanaume surualiz you know!! 2.Mshahara wako usiwe chini ya 1.5m kama ni chini ya hapo we ni le mbebez bin...
  12. holygrail

    Haya mapenzi haya!

    Mapenzi ni kitu cha ajabu sana. Hebu soma hapa chini alafu utoe ushauri. Naitwa Merisa waMorogoro. Niliolewamiaka miwili iliyopitana kufanikiwa kupatamtoto mmoja. Mapenzi yangu na mume wangu yalikuwa motomoto nakila mmoja alimfurahiamwenzake. Mume wangu alikuwamwaminifu, aliheshimupenzi...
  13. holygrail

    Kwanini mada ambazo ni za kujenga zina wachangiaji wachache?

    Nimefanya utafiti nimegundua kuwa,humu jf unakuta mtu ana-post topic ambayo ni nzuri na ambayo inaweza ikawa iko na mchango kwa jamii kwa ujumla lakini unakuta comment moja au zimezidi sana tano.!! Ila mtu akiweka topic ya kishenzi unakuta kila mtu ana-comment ujinga ambao anauwaza kichwani...
  14. holygrail

    Kama kawaida yangu nishamrudisha holygrail kuzimu!!..pery kidogo amejirekebisha!

    Huyu mbebez nilitegemea akitoka huko kuzimu atakuwa amejirekebisha lakini imekuwa ni kinyume kabisa. Ujue humu jf hakuna sehemu tamu ya kumrudisha mtu kuzimu kama kule 'siasani' bana. Jamaa kaenda kuchafua hewa kwa yericko nyerere nikamchoma hapo hapo!!... Tokea aliporudi toka kuzimu nilipata...
  15. holygrail

    Maombi ya kutaka kufa.

    Habari za kwenu. Ninaamini humu ndani kuko na mapadri na mashekh, basi kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nilikuwa ninaomba munisaidie maombi yeyote ambayo nitaomba ili nipate kufa. hapa sijasema uniambie sijui nile nini na nini! nimesema ninataka maombi ambayo nitaomba ili suala la...
  16. holygrail

    Diamond Platnumz atakuja kuwa kama Mr. Nice asipoangalia

    wasanii wetu yawapasa wawe makini sana. Hebu ona haya mambo kutoka kwa mr.nice. (kwa hisani ya le mutuz) Katika hali isiiyokuwa ya kawaida mwanamuziki Lucas Mkenda maarufu kwa jina la Mr Nice ameibuka na kueleza sababu zilizomfanya kufirisika licha ya kuwahi kumiliki zaidi ya bilioni moja na...
  17. holygrail

    mh! Hii kitu ni balaaa!!

    usiombe ukakutana na haya majaribu yaan very unbearable!!..hii ni kwa hisani ya muke ya muzungu!! "Nimeolewa huu ni mwaka wa pili sasa nashukuru Mungu mume wangu tunaelewana vizuri kusema ukweli ni mwanaume anaejua nini maana halisi ya mapenzi ana utu anajua thamani ya mwanamke...
  18. holygrail

    Mimi natania tu....

    Mimi napenda utani sana wajameni.... 1.mara ghafla chadema wanashinda kwa kishindo uchaguzi wa 2015...natania tu... 2.ghafla bin vuu dr. Salaha anakuwa rais wa JMT halafu mbowe anakuwa PM. Teh!teh!teh!...me natania tu! 3.kutahamaki Le mutuz anaacha utoto na kuwa mtu mzma kimawazo afu...
  19. holygrail

    Smart! let's talk! Huu mtandao mpya ni balaa, wengine mjipange

    dah! Hawa jamaa wako vizuri asee. Kwa wale wa 'mahaba niue' huu ndo mtandao wenyu banah! Unaongea kwa 79sh then mpaka sim iishe chaj au sikio liume. Yaani hapa nilipo tokea nimempigia wifi yenyu jana sijakata simu. Tunaongea kama tupo pamoja wajameni. Karibuni sana wenzangu wa 'mahaba niue'
Back
Top Bottom