Search results

  1. M

    CCM Chama Pekee Cha Siasa Chenye Dira na Mwelekeo

    You need to be ingored big time hakika Wadau huyu katumwa baada ya kumaliza kupima upepo kwa JK kuwa LIVE sasa wanakuja njia mpya . Hatuwezi kurudia kuridia mijadala okoa muda wetu wa kujadili mambo mengine bwana
  2. M

    Mbowe kugombea ubunge Hai 2010

    Mimi nawapa hongeara Chadema maana watu walisema Chadema hawasikiii na kwa mara nyingine Chadema wanaweka rekodi ambayo iliwekwa na wenzao wa NCCR kwamba si lazima Mwenyekiti wa Chama agombee Urais . Ushauri wangu pia kwamba Slaa gombea mwaka 2015 na si sasa . Weka uwanja sawa kwanza watu waumie...
  3. M

    Mafuta ya IPTL yamenunuliwa wapi?

    It was a politicak move wakiwa hawajakaa yema ikawa pre empted na wajuvi sasa hawana la kufanya . Fuatilia nyuma ya tender ya mafuta hiyo utajua kiasi halisi cha gharama na Tanzania imelipa kiasi gani . They mapensa ya uchaguzi bwana weeeeeeeee
  4. M

    Hongera mh Anne Kilango Malecela

    Mzee uko kazini lakini pia na hata jina lako tells alot Oksir
  5. M

    Uzembe wa CCM Tabora Mjini wapoteza Mitaa

    Tabora is very close na Mirembe nadhani M-Bongo ukaangaliwe akili . Habari njema wewe unasemaje ? Uache kututania kabisa . CCM wanatakiwa waondoke na si wala kurekebisha . Wakirebisha means wanaiba kura na kutumia FFU kwa malipo ya shilingi 5 kwa siku .
  6. M

    Duh CCM bwana eti aliingia JKT ana miaka 12

    Katibu UVCCM apata wakati mgumu kesi ya Sendeka Na Mussa Juma, Arusha KATIBU wa Jumuiya ya Vijana ya Chama Cha Mapinduzi(UVCCM), Wilaya ya Monduli, Mathias Mihayo (43) ambaye ni Shahidi wa nne katika kesi shambulio na kutishia kwa silaha inayomkabili Mbunge wa Simanjiro Christopha Ole...
  7. M

    Kardinali Pengo: Wanasiasa waacheni Maaskofu wafanye kazi zao, msiwafundishe kazi

    Mkandara udini umekuzidi sana nawe.OK bada ya Pengo na maandiko yako meusi unataka nini kifanyike ?
  8. M

    Kibanda: Naliona anguko la Zitto Kabwe!

    Wakuu nimeona wengi mmesema sana na maoni yenu na hata hisia kali zimechochewa na Kibanda .Kitila , Kibanda, Mbowe , Zitto , Mnyika, Halisi , Mrema John , sisi sote tunajuana wka karibu .Narudia sote tunajuana kwa sura na majina na makazi yetu , sote tuko katika harakati graundini na si JF pekee...
  9. M

    Elections 2010 HATUDANGANYIKI kuwa kauli mbiu ya Waislamu kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Mie nangoja waraka wao . Kwa nini hawa ndugu zangu wao mifano yao yote ama mara nyingi huwa ni kwa wanawake tu ?
  10. M

    No comment - Kingunge

    Ama kweli CCM wamelewa madaraka hata hakuna wa kumwelekeza mwenzake.Yaani kule Dodoma kwenye mikutano yao , Kingunge achane chane waraka na kuutupa kapuni then wao waseme waunde kamati ya usuluhishi kwa lipi ? Yaani Maaskofu wakae waje na kitu cha kuwapa Watanzania Elimu ukidharau mbele ya...
  11. M

    Kibanda: Naliona anguko la Zitto Kabwe!

    Kibanda ,umesha sema vya kutosha .Yeyote aliyetaka kusikia umesema ama umetetea kama hili lipo basi atakuwa ameona. Mbowe ni mwanachama hapa .Naamini anasoma na anajua watu wanavyo ipenda Chadema. Nakushauri sasa pumzika acha wengine waseme maana wewe watu wanakuona na hidden agenda. Kaa pembeni...
  12. M

    Kardinali Pengo: Wanasiasa waacheni Maaskofu wafanye kazi zao, msiwafundishe kazi

    Maneno ya Pengo hayakumtisha Mkapa, JK na kundi lake pekee bali hata akina Barubaru wenye uwezo mdogo wa kujua mambo na kubeba udini na chuki binafsi n akuacha haki za watanzania zife kwa jina la imani ama dini. Pengo hata Rome wanamjua vyema alivyo. Pengo atakuwa kachukia sana , kwa kawaida...
  13. M

    Kibanda: Naliona anguko la Zitto Kabwe!

    Kibanda nisaidie kuelewa hapa .Wanasema Zitto achukue waonyeshe jeuri ya Chama in what way ? Jeuri hiyo ambayo wataionyesha baada ya Mbowe na si muda wote ambao Mbowe yupo madarakani ? Wanataka kuonyesha nini hasa labda utusaidie kuweke sawa kila jambo litusidie kujua pa kusimamia .Tupe maana ya...
  14. M

    Tido Mhando na Ubinafsishaji wa TBC kwa StarTimes

    Je tunaweza kumtafuta mwanasheria na tukaingia mahakamani kupinga udhalilishwaji wa namna hii ama we will need a 90days notice kama tunataka kuishitaki serikali ? Maana JF we can do it tumlipe Tundu Lissu wengine wote ni waoga na wana nunulika . Swali tunaweza ? Je tukiweza kisheria...
  15. M

    Elections 2010 Waraka wa Waislam Kuhusu Uchaguzi Wakamilika

    Jamani ni jioni sasa na huo waraka ilikuwa utoke mchana .Hakuna mwenye nao auweke hapa ndugu zangu waislam wenzetu ?
  16. M

    Elections 2010 Waraka wa Waislam Kuhusu Uchaguzi Wakamilika

    katoliki wanazo 2 at per sasa sijui unaongelea upi kati ya hizo 2
  17. M

    Kibanda: Naliona anguko la Zitto Kabwe!

    Madai haya nadhani Zitto atakuja kuyajibu maana najua anasoma hizi habari anavuta pumzi.
  18. M

    Kibanda: Naliona anguko la Zitto Kabwe!

    Saidia kuleta Katiba ya Chadema hapa wewe mwenyewe na do high light yale maeneo unayosema hayana maana ama yana utata tuanzie hapo
  19. M

    Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

    Mtanzania na kundi lako naomba ujue kwamba kanisa haliko kumnyooshea mtu mmoja mmoja kidole na kama lilifanya makosa huko nyuma sasa linasena basi .Badala ya kumtaja mtu na kuzua malumban limeamua kuchukua njia nyeupe sasa ni wewe kutaka ujiunge ama uache wenzako waendelee .Tunakungoja maeneo...
  20. M

    Elimu ya Uraia Tanzania

    Unataka chanzo kipi ndicho kipewe mamlaka ? Kikundi chao akina Kingunge ? Hapa hatujadili kusimamisha waraka tuna jadili kutaka kujua maeneo gani hayapata waraka ili upelekwe .Elimu ua Bure na message naona inashika moyo kama moto wa porini .Waraka haujavunja Katiba na hausemi nani achaguliwe wa...
Back
Top Bottom