Search results

  1. da irritant boy

    Akamatwa na pikipiki 32 za wizi

    Duh aisee hawa wanarudisha watu nyuma sana
  2. da irritant boy

    REF: Application for Physics and Chemistry teaching position at your school

    Well written if not sampled from other templates[emoji122][emoji122][emoji122]
  3. da irritant boy

    Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais Samia kwa kutembelea nchi 22 kwa awamu 25 kwa muda mfupi ndio sababu ya kuimarika huku kwa Uchumi wa Tanzania

    Ila lile swala la kusaini mikataba zaidi ya 10 kwa siku lina walakini, Ni kweli imesomwa kwa kina kwa muda stahiki?? au ni kumwaga wino tuu bila kujua baadae kitatukuta nini
  4. da irritant boy

    Ni week sipo sawa baada ya mpenzi wangu kuyaona makalio yangu

    Wanaofanya elimu ionekane haina maana ni watanzania wa kariba ya mtoa mada
  5. da irritant boy

    Mufti Mkuu asema "Punguzeni dhambi mvua zinyeshe"

    [emoji23]Kwani wazinzi wanasikiaga kizembe namna hii
  6. da irritant boy

    Nafasi ipi ni ngumu kuicheza katika soka?

    Yani point kubwa ni kwamba inategemea na mfumo wa mwalimu, Ila sita ni position ya muhimu sana ambao wanakuwaga hawaonekani sana ukubwa wa kazi zao ila ndio muhimili wa timu
  7. da irritant boy

    Nafasi ipi ni ngumu kuicheza katika soka?

    Namba 6 ni namba ngumu kama timu inatumia kiungo mkabaji mmoja, kwa sababu inatakiwa ushuke kwa namba 5 na 4 wakat wa kukaba kisha uchukue mipira wakat wa kutengeneza mashambulizi kisha umuangalie namba nane kumi au mawinga, Yani unakuwa kama punda timu ikiyumba tuu duarani lawama kwako Namba...
  8. da irritant boy

    Msaada wataalamu wa humu

    Haya madude yametapakaaa mitaani kibao mikoa mingi watu wanapigwa za uso na hamna kitu watafanya [emoji23][emoji23]
  9. da irritant boy

    Domant phone numbers wanazogawiwa wateja wapya

    Namba yangu mpya ya airtel zinaingia mesej za bili za maji na wamama wanapiga kuulizia ratiba za jumuia vikundi na mikopo,,,,,, Nimeifunga nimeachana nayo Ningejua bora ningetumia mbinu ya mshana Jr nawaambia karibu Mochwari tukuhudumie
  10. da irritant boy

    Jihadhari: Utapeli mpya kwenye ununuaji wa ardhi

    Mkuu na ule utapeli wa kuuziwa kiwanja afu wanakuroga unasahau kila kitu kuhusiana na kiwanja chako, siku ukikumbuka unasema ntafuatilia kesho siku ukisema uende eneo ulilouziwa hukumbuki hata njia ya kuingilia hadi namba za dalali unasahau ulisave vipi[emoji24]
  11. da irritant boy

    Twaha Kiduku Vs Abdo Khalee | Ubabe Ubabe 2 | Nangwanda Sijaona, Mtwara | 24.09.2022

    hili pambano la paschal goba na joseph mchapeni ni next level
  12. da irritant boy

    Kufutwa kwa tozo kumeonesha udhaifu wa wabunge

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila hii kutufanya wajinga,, mnatengeneza tatizo mbele za watu halafu baadae mnakuja kulitatua muonekane mashujaa [emoji1787][emoji1787]Hii nchi drama haziishi
  13. da irritant boy

    Tuwe makini na taarifa za mitandaoni

    Hivo akili za wataalam wetu tulio nao zimekosa namna nyingine ya kubuni miradi itakayoiingizia serikali vipato maradufu zaid ya kuchukua tozo kwa wananchi ambao hawawekewi mazingira rafik yakupa hata hizo tozo wanazokamuliwa???
  14. da irritant boy

    Mke wangu kapata kazi Mkoani!

    Kama mchongo ni wa pesa ndefu bhas na ww hamia nae huko kisha utatafuta mchongo huko[emoji28]
  15. da irritant boy

    Tulio wahi kunusulika katika ajali za vyombo vya moto tushee hapa na wenzetu

    Lengo kubwa la uzi ni kutaka kutoa experience ya matukio ya kunusulika ajali na yamkini kutoa tahadhari kwa wengine ambao hawajawah kupitia visa hivo. Binafsi nimepitia visa vingi vya kupona ajali za vyombo vya moto vingine nikiwa mm ndo dereva na vingine nikiwa kama abiria lakini siwezi...
  16. da irritant boy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    watu wamekula umeme huko na goli limefutwa[emoji23][emoji23]
  17. da irritant boy

    Ushauri kwa Serikali: Mtu anayepinga tozo na kodi kwa maendeleo ya Taifa akamatwe

    Emb kamuulizen jakaya aliwezaje mpaka kulipa mishahara hewa bila tozo na kodi zisizo na kichwa wala miguu
Back
Top Bottom