Search results

  1. UMASIKINI BWANA

    Nitauzaje ng'ombe hamsini na tano kwa Jumla?

    Ni Kwamba nahisi watafikiria kufanya kama kile cha MZEE aliebomoa nyumba mbili kuepusha balaa
  2. UMASIKINI BWANA

    Nitauzaje ng'ombe hamsini na tano kwa Jumla?

    Habari zenu. Nina watoto wananichanganya akili kila siku wanagombania kukamua Maziwa kelele mpaka mtifuano wa ngeu. Nahisi wataniombea speed ya Kwa sir God[emoji16]
  3. UMASIKINI BWANA

    Video ya Wanaoitwa DungaDunga kwenye daladala

    Dinga dunga maana yake nn Kwa kiswahili rahisi?
  4. UMASIKINI BWANA

    Katika bara la Antarctica kuna vitu vinafikirisha

    Wanasayansi wameshindwa pia kufanya satellite dish kufanya kazi likiwa linajongea mfano dish la Azam ulifunge kwenye Gari yako huku unaangalia channels Gari ikitembea
  5. UMASIKINI BWANA

    Tanzania yapokea Msaada wa Dawa ya kufubaza COVID-19 kutoka Madagascar

    Sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. UMASIKINI BWANA

    Maoni ya Director General wa WHO kuhusu lockdown kwa nchi masikini kama Tanzania

    Uhai ni bora zaidi Kwa maslahi ya maendeleo ya nchi lockdown ni muhimu Kwa nchi yetu hakùna atakae kufa njaa Kwa mwezi mmoja hata miwili na hapo gojwa litayeyuka lenyewe maisha yataendelea Sent using Jamii Forums mobile app
  7. UMASIKINI BWANA

    Housegirl wa Rais Karume alivyoniokoa soko la Sabasaba Morogoro wakati tunatoka Malawi. Dada, barikiwa popote ulipo - uliniokoa

    Najua siri zote za mji huo bila kuacha hata chembe Sent using Jamii Forums mobile app
  8. UMASIKINI BWANA

    Bango dogo la biashara isiyozidi 300,000 linalipiwa barabarani?

    Ndio nauza bolt mtaji wake hauzidi laki 3 Sent using Jamii Forums mobile app
  9. UMASIKINI BWANA

    Bango dogo la biashara isiyozidi 300,000 linalipiwa barabarani?

    Habari ndugu zangu, kama bandiko linavyo someka kuwa Bango dogo la biashara isiyozidi 300,000 linalipiwa barabarani? Kwa mwenye kujua anijuze. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. UMASIKINI BWANA

    Walimu "WADODA" na barua zao za kupanda vyeo tangu mwezi Mei bila kurekebishiwa mishahara yao

    Kumbe kuna waliopata barua[emoji15] Lakini naamini watasikilizwa muda si mrefu maana kupata barua tu ni ishara kua wamekutambua hata hivyo barua tu inaleta morality kiasi Fulani wife akiiona barua anafurahi[emoji2] [emoji4]
  11. UMASIKINI BWANA

    Nasalimiwa na watu wakubwa kulikoni?

    Sawa bana kama umasikini huombwa na kupendwa[emoji120]
  12. UMASIKINI BWANA

    Nasalimiwa na watu wakubwa kulikoni?

    Asante #troublemaker[emoji120] [emoji41]
  13. UMASIKINI BWANA

    Nasalimiwa na watu wakubwa kulikoni?

    Nasalimu kila MTU sina sifa hizo[emoji41]
  14. UMASIKINI BWANA

    Nasalimiwa na watu wakubwa kulikoni?

    Mavazi yangu ya kiujana kabisa navaa raba na modo[emoji41]
  15. UMASIKINI BWANA

    Nasalimiwa na watu wakubwa kulikoni?

    Mkuu ndo nazeeka kumbe[emoji41] duu
Back
Top Bottom