Search results

  1. P

    Msaada WINDOWS 8 PLEASE

    Naomba mwenye link iliyopo humu ndani ya jamvi inayohusu hii Windows aniwekee hapa sabau mimi sifahamu jinsi ya ku-search thread zilizopita. Nikipata na ile ya Windows 7 itakuwa vema wakuu. Natanguliza shukrani
  2. P

    Msaada Mashairi Haya!!!

    Moja ya mashairi yake yanasema: Kama ni watoto fika kwetu posa, utawaona,utawaona, usifike kwangu utaleta fujo, na mpenzi wangu wa sasa tulitalaka na wewe bila kuleta kitu kwetu... Simjui muimbaji wala jina la wimbo niliusikia kitambo kidogo nikaupenda msaada mwenye nao au anayefahamu...
  3. P

    Msaada kwa Mwenye Kufahamu wimbo huu

    Wakuu wana JF kuna wimbo niliwahi kuusikia miaka ya nyuma kidogo niliupenda ila simkumbuki Msanii wala Jina la Wimbo ila maneno haya yaliimbwa humo: Kama ni watoto, fika kwetu posa, utawaona,utawaona usifike kwangu utaleta fujo, na mpenzi wangu wa sasa,tuligombana na wewe, bila kuleta kitu...
Back
Top Bottom