Search results

  1. K

    Uchaguzi 2025, huyu mzee anazidi kumtia makamu tumbo joto

    Mzee wa kobaz unahangaika sana na wakatoliki,walikufanya nini?au walikuzalisha wakakutelekeza?achana na udini kenge wewe
  2. K

    Joseph Haule (Prof. Jay): Sasa nipo Imara, Namshukuru Rais Samia, Mbowe, Watanzania na Familia. See you soon

    Unataka kusema alikuwa anakunywa pombe katika kipindi chote cha mwaka mzima akiwa kitandani?. Kwa nini usiseme dawa zimemfanya mdomo kuwa hivyo? Tuache ujuaji
  3. K

    Rais Mwinyi anavunja katiba ya Tanzania?

    Unadanganya kwa manufaa ya nani wewe alshabaab? Kwa majaliwa ndiyo lakini sio kwa Hussein
  4. K

    Rais Mwinyi anavunja katiba ya Tanzania?

    Sio kweli. Mke wake ni Muislamu lakini pia Hussein ana kaudini fulani. Kuna mdau kaniambia kuna wakati akiwa wizara ya afya alimpitishia maombi fulani mdau mwenye jina la kiarabu akijua ni dini yake kumbe jamaa ni mgalatia,alisikitika.
  5. K

    Uhuru wa dini nchini uko sawa kwa dini na madhehebu yote?

    Du mwarabu mweusi nawe umetia neno,awamu yenu hii bana
  6. K

    DOKEZO Ngorongoro: OCD Peter Lusesa, awaweka ndani Wananch 17 wa kisangiro kwa siku 8 na kuwatesa, kwa kosa la kwenda Dodoma kuonana na Waziri Mabula

    Kifo cha ocd wala hakijasababishwa na huu mgogoro . Jamaa kaungaunga sana matukio kwa interest zake binafsi
  7. K

    DOKEZO Ngorongoro: OCD Peter Lusesa, awaweka ndani Wananch 17 wa kisangiro kwa siku 8 na kuwatesa, kwa kosa la kwenda Dodoma kuonana na Waziri Mabula

    Umeandika uwongo mtupu. Chuki zako za kisonjo dhidi ya wamasai wa loita ndizo zinazokusumbua. Utawaitaje wamasai wa engusero sambu ni wakenya??? Poor,poor. Na mkamatwe tena
  8. K

    Kenya kesho labda kwa busara za Museveni siyo za Gachagua

    Huyo ndio hakuna kitu kabisa
  9. K

    Ijue siri na sababu za malalamiko ya Teuzi kwa hoja za Udini katika Awamu hii ya Sita

    Wewe utakuwa umejengewa nyumba maana sio kwa hao ndugu zako wa imaan wanavyopenda kuongeza idadi
  10. K

    Ijue siri na sababu za malalamiko ya Teuzi kwa hoja za Udini katika Awamu hii ya Sita

    Mmepewa ninyi sasa,shule zenu za madrasa ziongoze mpaka mia bora,isiwepo hata ya wagalatia hata moja
  11. K

    Ijue siri na sababu za malalamiko ya Teuzi kwa hoja za Udini katika Awamu hii ya Sita

    Nawe ulimpinga magu kwa dini yake,naona mnajitekenya tu. Wadini ninyi nyote hamfai
  12. K

    Baada ya Act wazalendo kuwapiga bao Chadema kisiasa. Chadema wanaeneza uongo kuwa wamejenga ofisi mikoani.

    Tukubali kukosolewa,ni aibu kuendelea kupangisha ofisi za makao makuu. Tuendelee mpaka lini kutegemea michango ya maskini watanzania kwenye kujenga ofisi? Fedha za ruzuku hakuna percent za kujengea ofisi? Viongozi waache ubinafsi
  13. K

    Chadema mmejiandaa vipi na Serikali yenu ijayo, mda unaenda miaka mitatu sio mingi

    Mtaishia kwenye majimbo,nchi bado hamna mikakati ya kuichukua. Bado,bado bado sana. Na hata hayo majimbo mkikaa vibaya napo mtapoteana kama TLP. CCM imechokwa lakini upinzani wa maana Tanzania hakuna. Kenya wametuzidi pakubwa
  14. K

    ACT Wazalendo kuzindua makao makuu mapya

    Lengo la mada ni chadema. Ila kweli katika yote chadema kwa hili la kuendelea kupangisha ofisi za makao makuu mmefeli pakubwa. Ni kama vile hakuna anayetaka kujenga makao makuu atakayokuja kutumia kiongozi mwingine. Huu ni ubinafsi wa hali ya juu. Kwa hili,mi kama mfuasi wenu wa muda mrefu...
  15. K

    Miguna kosa kubwa karejea Kenya, Lissu na Lema kunani?

    Raila na Miguna walishatofautiana kitambo sana na ndio maana alipelekwa exile
  16. K

    Miguna kosa kubwa karejea Kenya, Lissu na Lema kunani?

    Miguna aliondoshwa baada ya kutofautiana na Raila na sio vinginevyo
  17. K

    Tuhuma za Kabendera dhidi ya Magufuli na ukimya wa Kikwete. Je, tuamini ni kweli?

    Na wewe umeamini huo utopolo wa Kabendera? Hata kama Magufuli alikuwa dikteta lakini kwa hili atakuwa anasingiziwa. Kwani katiba ya kutoruhusu Rais mstaafu asishtakiwe ingebadilishwa? Kwa hili tu,nadiriki kusema huu ni utopolo.. Hata hivyo sio kila kitu ni cha kujibu kwa watu wakubwa kama kina...
  18. K

    Raphael Chegeni, ulijidai chawa na kutoa kejeli kwa Magufuli naona leo umeyapata majibu!

    Ndiyo,Msukuma aliyeloea Uvinza(Kigoma Kusini)
Back
Top Bottom