Search results

  1. PROSPER 05

    Wabunge Wameonyesha UDHAIFU Kuhusu TAIFA STARS Wakati Mwingine Wasialikwe Kambini Wakati Wa Mashindano

    Anaandika SALEH ALLY (wa salehjembe blogspot) WABUNGE walitaka kumtoa roho CAG, kisa aliwaita dhaifu, tena aliyeongoza vita hiyo ambayo wao waliita ni dharau ni Spika Job Ndugai. Huenda lilikuwa ni suala la matamshi akiwa na maana wao si imara, liliwaudhi hadi CAG akaitwa bungeni na kujadiliwa...
  2. PROSPER 05

    Nauza PLAYSTATION (PS 2) Zimechipiwa Bei poa

    Halo, Nauza Playstation 2 Zipo 4. ni ps 2 Phat zile nene ambazo ni ngumu na zinafaa kwa Biashara Kila ps inakuja na waya zake.(kama unataka Games na Pad na Memory tutaongea) Bei: PS2 Moja Tsh 150,000 (utasave 50,000 Kawaida huuzwa tsh 200,000) PS2 Mbili Ths 250,000 (utasave tsh...
  3. PROSPER 05

    ‘Kamati ya ufundi’ ilizuia Simba kuvaa jezi Nyeupe Shinyanga

    Baada ya Stand United na Simba kuvaa jezi zinazolalamikiwa kufanana wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliochezwa jana Jumapili, October 1, 2017 kwenye uwanja wa Kambarage, ShaffihDauda.co.tz imefanya utafiti kwa nini timu hizo ziliruhusiwa kucheza huku jezi zao zikiwa zinafanana kwa...
  4. PROSPER 05

    Yanga walienda kumjulia hali au kumlilia hali Manji katika Mahakama ya Kisutu?

    Suala la nahodha wa Yanga, Nadir Haroub Ally maarufu kama Cannavaro kukutana na Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Yusuf Manji limezua mjadala mkubwa. Wako wanaoamini kuwa Cannavaro ambaye aliongozana na benchi la ufundi, walikwenda kumjulia hali Manji katika mahakama ya Kisutu. Wako Wengine...
  5. PROSPER 05

    Azam FC kucheza mechi zake za nyumbani dhidi ya Simba SC na Yanga SC katika uwanja wa Azam Complex

    Mabadiliko ya ratiba mpya ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) yaliyotolewa muda mchache uliopita(leo Jumatatu 4/9/2017) na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) yanaonyesha kuwa mechi zote za Azam FC za nyumbani dhidi ya Simba na Yanga zitafanyika kwa mara ya kwanza ndani ya Uwanja wa Azam...
  6. PROSPER 05

    Nitakuchapishia APP/GAME Yako katika GOOGLE PLAY STORE Ndani ya masaa24 save 20$

    Vipi Mambo! Je una APP file (apk) na ungependa ku list katika Google play? NITAKUSAIDIA Mimi namiliki Google Developer akaunti ambayo ni trusted by Google GOOGLE HUCHAJI 25$ Kuchapisha App ktk playstore Mimi Nitapublish APP Yako ktk akaunti yangu kwa 5$ tu hapo utakuwa umesave 20$ App itakuwa...
  7. PROSPER 05

    SOFTWARE Nakuchapishia APP/GAME Yako katika GOOGLE PLAY STORE Ndani ya masaa24 save 20$

    Vipi Mambo! Je una APP file (apk) na ungependa ku list katika Google play? NITAKUSAIDIA Mimi namiliki Google Developer akaunti ambayo ni trusted by Google GOOGLE HUCHAJI 25$ Kuchapisha App ktk playstore Mimi Nitapublish APP Yako ktk akaunti yangu kwa 5$ tu hapo utakuwa umesave 20$ App itakuwa...
  8. PROSPER 05

    Pluijm Rasmi Singida United!

    Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga Muholanzi Hans van Pluijm. Ameanguka Saini ya Miaka Miwili Kuifundisha Timu iliyopanda Daraja (VPL) Mwaka huu Singida United. Nafikiri huu utakuwa ni Mpango wa Muheshimiwa Kutoka Singida kwani yeye ndiye aliyemrudisha Pliuijm Yanga baada ya Kocha huyo kujiuzuru...
  9. PROSPER 05

    Yaliyojiri: Simba Vs Mbeya City Uwanja wa Taifa VPL 4/3/2017

    Fuatilia Live Update ya Mechi Kati ya Simba Na Mbeya City (Full Time Mbeya city 2 Simba 2) MPIRA UMEKWISHAA -Agyei anaokoa vizuri mpira wa kona na kuwa kona tena.Ungeweza kujaa moja kwa moja, inachongwa tena, anaokoa tena Agyei -Anaingia Semtawa lakini Simba wanaokoa inakuwa konaaa -Nchimbi...
  10. PROSPER 05

    Free ACCA/CPA Books and Exam Reviews Materials-Direct Download

    I found this Huge Collection of Latest Materials to share with you Guys! Materials include Books and Exam Practice and revisions from F1 to P7 Governance risks and ethics Audit and assurance Taxation Corporate and business Law Cost accounting Management Financial reporting Accounting Etc...
  11. PROSPER 05

    Mpambano kati ya Yanga na Ngaya Uwanja wa Taifa Dar es salaam

    TV Gani inaonyesha pambano kati ya Yanga na Ngaya Uwanja wa Taifa. Dakika 25 Ngaya wanapata Bao. Ngaya 1 yanga 0 Kuna kitu kinatolewa katika goli la Ngaya.. sijui ni uchawi au nini Chirwa anakosa Goli Yanga wamekuwa Wazito sana Dk 32 Saidi Achimu Anapiga krosi inamtoka Dida ni hatari...
  12. PROSPER 05

    16 bora Kombe la Shirikisho: Azam v Mtibwa, Simba v A. lyon, Yanga vs..

    BAADA ya kupenya kwenye raundi ya 16 ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup), Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati,Ngao ya Jamii na Mapinduzi Azam FC, imepangiwa kucheza na Mtibwa Sugar katika kuwania robo fainali ya michuano hiyo. Mechi nyingine za ASFC; Februari...
  13. PROSPER 05

    RASMI Serengeti Boys Yarejeshwa AFCON

    HATIMAYE timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Tanzania, Serengeti Boys imerejeshwa kwenye michuano ya Mataifa ya Afrika kwa vijana wa umri huo. Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi akiwa mwenye furaha kubwa amesema jioni ya leo; "Timu ya Taifa ya vijana umri...
  14. PROSPER 05

    Mnahesabu LAKINI?..1,2,3...

    Ubingwa wa Mapinduzi unaifanya Azam FC kufikishaTAJI LA PILI msimu huu na hii ni baada ya Agosti mwaka jana kutangulia kwa kutwaa Ngao ya Jamii kwa kuifunga Yanga kwa mikwaju ya penalti 4-1 kufuatia sare ya mabao 2-2 ndani ya dakika 90 Hii ni Rekodi ya pili mfululizo kwa Azam FC KUTWAA TAJI...
  15. PROSPER 05

    Tunajua namna ya kupata matokeo dhidi ya Simba - Cheche

    KUELEKEA fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi keshokutwa Ijumaa, Kocha Msaidizi wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Idd Nassor Cheche, ameweka wazi kuwa wanajua namna ya kuikabili Simba na kupata matokeo mazuri kwenye mchezo huo. Cheche ametoa kauli hiyo kwenye mazoezi ya...
  16. PROSPER 05

    Huyu Ndiye Kocha Mpya wa AZAM (WANA 4G) Iddi Cheche Nae Ala Shavu!

    KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, mchana huu imemtangaza, Aristica Cioaba, kuwa Kocha Mkuu wa kikosi hicho. Cioaba, 45, anakuja Azam FC kurithi mikoba ya Mhispania Zeben Hernandez, aliyesitishiwa mkataba pamoja na benchi lake zima la ufundi. Kocha huyo atasaidiana na makocha...
  17. PROSPER 05

    Rais Magufuli apiga simu tena Clouds 360, awapongeza kwa kazi nzuri

    Leo Rais Magufuli kapiga simu akitokea Chato akiwapongeza kwa kazi nzuri. Pia amewapongeza wadau mbalimbali waliokuwepo live katika kipindi hicho kilichokua kinaruka live kutoka White Sands Hotel. Wadau waliokuwepo katika kipindi ni ATCL, Vodacom, Bima, NHC, Jambo etc.
  18. PROSPER 05

    Azam FC imewatimua makocha wake wote raia wa Hispania

    Uongozi wa Klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati AZAM FC Leo Limesimamisha Benchi zima la ufundi la Timu hiyo linaloongozwa na Kocha mkuu Mhispania Zeben Hernandez kutokana na Mwenendo mbovu wa Timu. Wakati huu ambapo uongozi wa Azam FC upo katika mchakato wa kusaka kocha mpya, kikosi hicho...
  19. PROSPER 05

    CAF Confederation Cup Aazam yarushwa hadi round ya kwanza

    Draw iliyofanyika Misri Leo inaonyesha Kuwa AZAM FC wana Lambalamba ni moja kati ya timu 12 Zitakazoanzia Round ya Kwanza ya Michuano ya CAF Confedaration Cup 2017. Timu zingine 40 zitaanzia na stage ya Mtoano (preliminary stage) Azam itacheza Mechi ya Kwanza Tarehe 10–12 March 2017 na mshindi...
  20. PROSPER 05

    Yanga inyang’anywe point zote kwa kumtumia Kessy - Rage

    Mwenyekiti wa zamani wa Simba Ismail Rage ameitaka klabu ya Simba kwenda mbele zaidi kudai haki yao na si kukubali kiasi cha shilingi milioni 50 kama fidia kama livyoamriwa na Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji. Katika hatua nyingine Rage amesema, Yanga inatakiwa kupoteza pointi...
Back
Top Bottom