Search results

  1. PROSPER 05

    Wabunge Wameonyesha UDHAIFU Kuhusu TAIFA STARS Wakati Mwingine Wasialikwe Kambini Wakati Wa Mashindano

    Anaandika SALEH ALLY (wa salehjembe blogspot) WABUNGE walitaka kumtoa roho CAG, kisa aliwaita dhaifu, tena aliyeongoza vita hiyo ambayo wao waliita ni dharau ni Spika Job Ndugai. Huenda lilikuwa ni suala la matamshi akiwa na maana wao si imara, liliwaudhi hadi CAG akaitwa bungeni na kujadiliwa...
  2. PROSPER 05

    Simba kupata bao kwa Nkana sio shida, shida ni kuwazuia nao kupata bao

    Kupitia ukarasa wa mtandao wa kijamii wa Facebook, uongozi wa Nkana FC umewaomba mashabiki wa Yanga kuisapoti timu hiyo katika kampeni yake ya kuiondoa Simba kwenye Ligi ya Mabingwa kutokana na uwepo wa Kessy aliyewahi kutumikia timu yao. Taarifa hiyo ilisema kuwa: “Wapendwa mashabiki wa Yanga...
  3. PROSPER 05

    Serikali yapiga marufuku Walimu kutembea na viboko na kuchapa Wanafunzi kinyume na sheria

    Kulipa zaidi ya Milioni 4 na Kufukuzwa ukipata chini ya wastan ni zaidi ya bakora....Lazima uwe na nidhamu
  4. PROSPER 05

    Ujenzi wa Uwanja wa Simba SC wazidi Kunoga

    Isije ikawa Ni Mapichapicha ya UCHAGUZI..... Maana Simba na Yanga ni Pasua Kichwa. Toroka uje Azam fc!!!
  5. PROSPER 05

    Kiungo Himid Mao asaini mkataba wa miaka 3 Klabu ya Petrojet ya Misri

    Kocha alimpanga akiwa hayuko fiti.
  6. PROSPER 05

    Yanga SC kushuka daraja mwakani!

    Acha Kupotosha AZAM FC Hatuna Undugu na MIKIA.... pamabneni na hali zenu..
  7. PROSPER 05

    Willian anasema Ronaldinho ni kiboko kuliko Messi, unakubaliana nae?

    NDIO Umeandika nini? Hebu soma tena.......... QUICK TURN AND SPEED ni sehemu ya techniques. Plus Messi ana Uwezo wa Kutengeneza Magoli na Kufunga, pia Kwa maneno ya Leo ferdinand Messi haruhusu beki kugusa Mpira wala Mguu wake...
  8. PROSPER 05

    Nauza PLAYSTATION (PS 2) Zimechipiwa Bei poa

    Thanks Thanks, Zimebaki 2
  9. PROSPER 05

    Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Fursa hiyo kwa wanaotaka kujiendeleza The Julius Nyerere Masters Scholarship will cover tuition fees, living costs of £10,000, and a return flight from Tanzania to the UK. The scholarship is tenable for one academic year. In addition to their studies, the successful applicant will be expected...
  10. PROSPER 05

    Nauza PLAYSTATION (PS 2) Zimechipiwa Bei poa

    ni kweli, but ps2 is good for business....
  11. PROSPER 05

    Nauza PLAYSTATION (PS 2) Zimechipiwa Bei poa

    Hapana Sina na sina uhakika maana sijawahi kucheza hilo Game
  12. PROSPER 05

    Nauza PLAYSTATION (PS 2) Zimechipiwa Bei poa

    Yah Unaweza Kucheza Check Video hapo chini
  13. PROSPER 05

    Nauza PLAYSTATION (PS 2) Zimechipiwa Bei poa

    Nimesha kuPM with my best offer Bro...
  14. PROSPER 05

    Nauza PLAYSTATION (PS 2) Zimechipiwa Bei poa

    Ongeza Ongeza Kaka ha ha haaaa
  15. PROSPER 05

    Nauza PLAYSTATION (PS 2) Zimechipiwa Bei poa

    Kwa waliouliza Pia Nina PS 3. bei 370,000. ina gemu 5 ndani na ina Padi 1
  16. PROSPER 05

    Nauza PLAYSTATION (PS 2) Zimechipiwa Bei poa

    Halo, Nauza Playstation 2 Zipo 4. ni ps 2 Phat zile nene ambazo ni ngumu na zinafaa kwa Biashara Kila ps inakuja na waya zake.(kama unataka Games na Pad na Memory tutaongea) Bei: PS2 Moja Tsh 150,000 (utasave 50,000 Kawaida huuzwa tsh 200,000) PS2 Mbili Ths 250,000 (utasave tsh...
  17. PROSPER 05

    Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Jaribu kupitia Site hii (scholarshipHome.com), inaweka scholarships mpya kila siku Tazaa Link hizi Scholarships for African students list of Tanzania scholarships
  18. PROSPER 05

    Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Halo check this scholarship opportunity The Haven of Peace Academy is awarding a small number of merit scholarships for Tanzanian students. Scholarship worth up to 100% of the tuition fees for the school’s AS and A level programme. Scholarship can be taken in Tanzania Application deadline...
  19. PROSPER 05

    USHAURI: Zanzibar Heroes iwe ndio timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars)

    Hata mimi nawaza Hivyo. Waboreshe kidogo tu. Waongezwe samata na Msuva Pale mbele, Himidi Mao hapo kati na Manula asaidiane Golini na huyo kipa wa Zenji......
Back
Top Bottom