Search results

  1. L

    Maswali ya Kisayansia yanayonitatiza

    Nakubalina na waliotangulia na kutaja umbo la ndege na uzito mwepesi kuwa ni vitu muhimu. Mie naongeza mambo mawili kiundani ya hayo 1. Kwa upande wa biologia wepesi wa ndege unatona na '' bone marrows" sijui kiswahili zinaitwaje ila kama nimlaji makini wa kuku na bata utaona utakinpasua mfupa...
  2. L

    NBC Bank hawana maana kabisa

    Inawezekana sio system tu, ila watu ndio wenye shida. mana nafikiri katika bank ambazo watanzania wamejisau kuwa wao sio makaburu ni NBC. Hata wao wenyewe kwa wenyewe wananyanya sana mie nishuhudia ni uonevu tu. Nikujisahau tu, Nawashauri tu wafanyakazi wa NBC msijishau sana dunia ni kijiji...
Back
Top Bottom