Search results

  1. kipipili

    Niunganishe na kazi ya umeme ujipatie kamisheni ya asilimia 30

    Ndugu wadau, Kwa yeyote mwenye connection ya kazi ya umeme ya size ya chini na ya Kati, iwe ya nyumba au kiwandani, akiweza kuni connect nitakupitia 30 percent ya value ya kazi ukitoa materials. Kazi yote nitaifanya kwa ufanisi mkubwa. Kumbuka na risiti ya efd inatolewa inapohitajika. Please...
  2. kipipili

    Niunganishe na kazi ya umeme upate kamisheni ya asilimia 30

    Ndugu wadau, Kwa yeyote mwenye connection ya kazi ya umeme ya size ya chini na ya Kati, iwe ya nyumba au kiwandani, akiweza kuni connect nitakupitia 30 percent ya value ya kazi ukitoa materials. Kazi yote nitaifanya kwa ufanisi mkubwa. Kumbuka na risiti ya EFD inatolewa inapohitajika. Please...
  3. kipipili

    Salini ndugu

    Salini ndugu, ili sadaka yangu na yenu ipokelewe na Mungu Mwenyezi
  4. kipipili

    Mkandarasi wa umeme (electrical contractor) anapatikana

    wana JF naombeni kazi tafadhali. kazi za ukandarasi wa umeme majumbani na viwandani tulegeze vyuma. kwa mawasiliano simu 0715050539 karibu sana na kongole sana Our services include but not limited to; a.switchgear services b.testing and inspections c.substation construction d.machinery...
  5. kipipili

    Natafuta mpenzi wa kike

    jamani natafuta mpenzi wa kike miaka 30 mpaka 40 tule ujana.karibu
  6. kipipili

    Kufungua akaunti benki ya dunia

    Wakuu naomba kuelekezwa wapi naweza kufungua akaunti ya akiba benki ya dunia?
  7. kipipili

    Plot nzuri inauzwa Kerege Bagamoyo

    Wakuu eneo la ekari 1.5 linauzwa kerege matumbi bei mil 45 taslim katika eneo hilo kuna banda la sqm 150 lililokamilika na jingine kama hilo halijakamilika. Pia kuna banda la sqm 55 na banda la vyumba 2 kwa ajili ya kuishi eneo linamilikiwa kihalali lakini halina hati eneo lipo kerege matumbi...
  8. kipipili

    Wapi nijifunze kuimba dansi

    Mimi ni mpenzi wa muziki wa dansi wa bongo na Kongo Niko determined kujua kuimba nyimbo hizo just for fun. ni wapi naweza kujifunza na kufanya mszoezi? batoOl balobi wenge musica ezokende na mayi
  9. kipipili

    Nahitaji kukodi Suzuki Carry

    Jamani mwenye Suzuki carry anikodishe kwa mwezi nipo Mbeya.
  10. kipipili

    Msaada: Nimeibiwa ndege yangu Airport

    Wanajukwaa nimechanganyikiwa. Ndege yangu aina ya Dash 8 imepotea katika mazingira ya kutatanisha, niliipaki Airport ya Uwanja wa ndege. Mwenye taarifa anipm tafadhali.
  11. kipipili

    Valentine day tarehe 15 2 2014

    wadau nasikia mwaka huu valentine day imepangwa kuwa tarehe 15 feb badala ya 14 feb. je ni nini kimesababisha mabadiliko hayo au ndiyo yaleyale ya CCM kusherehekea tarehe 2 badala ya 5 feb.
  12. kipipili

    Huyu ni nani?

  13. kipipili

    Vifaa madhubuti vya umeme

    Ndugu wanajamii, kwa anayefahamu sehemu inayouza vifaa madhubuti vya umeme kwa ajili ya installation za majengo tafadhali anijuze. Na je ni cable za kiwanda /brand/maker gani ni imara kwa commercial installations? Asanteni na karibuni.
  14. kipipili

    Electrical Engineer wa kujitolea

    Ndugu wanajamvi, Mimi ni mhandisi umeme mwenye uzoefu wa miaka zaidi ya kumi (10) katika viwanda na migodini. Ninahitaji kufanya kazi katika construction industy kwa kujitolea ikiwa ni sehemu ya kuongeza uzoefu (niliwahi kuwa katika sector hiyo kwa miezi tisa siku za nyuma) vilevile katika...
  15. kipipili

    nahitaji suzuki carry haraka tafadhali

    jamani nahitaji suzuki carry au gari inayofanana nayo au pick up tafadhali anayeuza ajitokeze
  16. kipipili

    KORA All Africa Music Award:What is not happening?

    nakumbuka enzi zake kina kofi olomide, defao, awilo walitamba sana kwenye tuzo hizo.lady jaydee aliwahi perform na wimbo wake wa machozi:nailazimisha furaha ingawa moyoni na majonzi nani wa kunifuta machozi.., was so great.nini kilitokea mpaka ikawa kimya?
  17. kipipili

    Baba paka nyau

    jamani kama kuna mtu anaukumbuka ule wimbo tulikuwa tunapiga kwenye gwaride la shule ya msing enzi ya mwalimu Kajiba. wimbo wenyewe ulikuwa wa mwndo wa pole. unaitwa baba paka nyau, please!
  18. kipipili

    Natafuta chumba cha ofisi

    Ndugu wanajamii, salaam. Kwa mwenye kuweza kunisaidia kupata chumba kwa ajili ya ofisi namkaribisha. Nahitaji chumba cha ofisi kwa ajili ya kijikampuni changu. Mahali-Dar es salaam Eneo-kuanzia mwenge-mikocheni-ubungo mpaka city centre Chumba kinaweza kuwa ghorofani ila isizidi ghorfa ya 3...
  19. kipipili

    Natafuta vitz au corolla

    Wadau kama kuna mtu anauza vitz au corolla tuongee biashara. Gari iwe katika hali nzuri na bei iwe poa. karibuni tafadhari.
Back
Top Bottom