Search results

  1. D

    Vicky Kamatta: Dada mwenye mafanikio

    bashukuru wachangiaji wote ila nimempenda sana najma na thread yako unaweza kutupa ukweli zaidi ni chuo gani kiko wapi maana naona kuna contradiction hapa sasa , tafadhali
  2. D

    Vicky Kamatta: Dada mwenye mafanikio

    iyo ni habari kwenye gazeti ambalo nimesoma kuwa ni binti mwenye mafanikio. sababu amemaliza masters unchini uingereza, mfanyajkazi wa BOT na ni msanii mzuri tuu. but i gad i news kuwa uyu binti itakuwa anabebwa na sababu iyo masters inasemekana alifeli ila ana cheti cha masters ambacho...
  3. D

    Vicky Kamatta: Dada mwenye mafanikio

    VIKKY KAMATTA DADA MWENYE MAFANIKIO MAKUBWA Nimesoma kwenye gazeti moja hivi kwenye page ya katikati inaeleza kuwa uyu dada yeye anamafanikio makubwa sana kwaville amemaliza masters ya uingereza na kuafaulu vyema, na muimbaji mahili anaeijuwa kazi yake, na mfanyakazi wa BOT. ila nilipata NEW...
  4. D

    Vicky Kamatta: Dada mwenye mafanikio

    VIKKY KAMATTA DADA MWENYE MAFANIKIO MAKUBWA Nimesoma kwenye gazeti moja hivi kwenye page ya katikati inaeleza kuwa uyu dada yeye anamafanikio makubwa sana kwaville amemaliza masters ya uingereza na kuafaulu vyema, na muimbaji mahili anaeijuwa kazi yake, na mfanyakazi wa BOT. ila nilipata NEW...
  5. D

    Ndugu Mtanzania: Je unajua hili?

    :mad:maisha ya watanzania miaka ijayo yatakuwa mazuri sana kwa wale wa hali ya chini , ila yatakuwa mabaya sana kwa wale wa hali ya juu ,kwanini nasema hivyo kwavile wananchi wanaelewa hata wale na songomkole nini ufisadi,wapi upo na nani anahusika hata wale waliokuwa na mategemeo ya kufanya...
  6. D

    Kufa kwa umasida hosea, lowasa je nao washiriki

    hahahahhahaha...............hakuna lisilokuwa na mwanzo likakosa kuwa na mwisho????????????????? ukitaka kuongea UFISADI UMASIDA. itakuwa makosa kama utawasahau wale wakuu wa zile department 4 1. 2. 3. 4.
  7. D

    Ufisadi utaisha lini kama serikali inanyamazia kimya mafisadi

    kama tanzani tutaka kimya kuhusu mafisadi hatutaendlea kimaisha hata , kidogo, kwanini serikali inachukuwa mda mreru kutowa majibu ya kesi za ufisadi, kwanini rushwa aiishi kwa kutokomeza ufisadi kwanini,
Back
Top Bottom