Search results

  1. Swenti

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Shida inaanzia hapo, "tyuuh" ndio nini? Kwamba ndio hormone imbalance au?
  2. Swenti

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Haijalishi, na hayo mambo yapo kila sehemu BUT kuzaliwa familia masikini hakukuforce wewe uwe masikini pia ilhali unauwezo wa kujitajirisha. Ilimradi umekua na umepata akili... zuri na baya unalijua then baya achana nalo.
  3. Swenti

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Hormones imbalance wala sio ushoga, mimi nazungumzia ushoga. Kuzaliwa namna yoyote sio kosa. Mashoga wengi mnaowaona wala hawana hormones imbalance isipokuwa tabia tu za kujizoesha ndo zinawafanya wawe hivyo. So hakuna namna yoyote ya kuwatetea mashoga kwa hoja ya hitilafu za hormones.
  4. Swenti

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Wazungu wamejua hilo ni tatizo lakini wamelipenda ndo maana wanapromote, sisi tumejua pia ni tatizo kubwa lakini hatulipendi na hatutaki hata kusilikia. Yaani mtu azaliwe na tabia za kiwizi wizi ndo tumchekee tu kwamba ndo tabia yake binafsi???
  5. Swenti

    Mashindano ya kumtafuta bingwa wa draft Tanzania 2022

    Officially huitwa Russian checkers (shashki). Hiyo kuita French sijui Wabongo wametoa wapi.
  6. Swenti

    Mashindano ya kumtafuta bingwa wa draft Tanzania 2022

    Actually hizo ni Russian rules sijajua nani alianzisha kuita hizo sheria zake French rules!!!!!!!!!!
  7. Swenti

    Mwanaume tafuta hela, acha kusema wanawake wanapenda hela hizo ni hasira za umasikini

    Pesa mnatafuta nyinyi halafu mwisho wa siku mnakuja kushare na mafundi dishi bure. Wanawake unawajua au unawasikia. Omba upate mwaminifu kwanza kisha tafuta hela.
  8. Swenti

    Kama Marekani ni nchi ya Kishetani ni kwanini mamilioni ya watu duniani hutamani kuishi Marekani?

    Kwahiyo unajaribu kuniconvice mimi sio, kisa uko addicted. Haahah! Hivyo vitu ni kwa ajili ya wafuasi wa shetani sio mimi.
  9. Swenti

    Kama Marekani ni nchi ya Kishetani ni kwanini mamilioni ya watu duniani hutamani kuishi Marekani?

    Wewe huwezielewa sababu umedatanayo. Halafu si unajua ushetani unanguvu kuliko breakdown
  10. Swenti

    Kama Marekani ni nchi ya Kishetani ni kwanini mamilioni ya watu duniani hutamani kuishi Marekani?

    Shetani ni kiumbe mtenda maovu hata binadamu anaweza kuwa shetani kama mfumo wake wa maisha alioichagua ni wa laana tupu. Kwahiyo kama hujawahi muona tafadhali omba hivyo hivyo usimuone.
  11. Swenti

    Kama Marekani ni nchi ya Kishetani ni kwanini mamilioni ya watu duniani hutamani kuishi Marekani?

    Muulize mtoa post usiniulize mimi. Mimi nimejibu kulingana na swali. Yeye ndo amesema ya kishetani na mimi nimejibu kulingana na vitu vingine vya kishetani vinavyopendwa kama "beer" nk.
  12. Swenti

    Kama Marekani ni nchi ya Kishetani ni kwanini mamilioni ya watu duniani hutamani kuishi Marekani?

    Jibu rahisi tu. Mambo ya kishetani ndiyo yenye kuvutia zaidi watu hapa duniani. Si unaona hata night clubs....
  13. Swenti

    Israel yawashambulia Wakristo Jerusalem, makumi wajeruhiwa

    Eh! Na huko Ujerumani na nchi zingine za wazungu wenu ambako wamerusu fully ndoa za jinsia moja majina yao yakoje?? Majina matano tu yanatosha.
  14. Swenti

    Vita yetu dhidi ya ushoga ni dhaifu sana

    Kwanza ni kuhakikisha Tz hakuna mtu yoyote anayesapoti hivyo vitu kushika aina yoyote ya uongozi au madaraka, hata kama msemaji wa familia wala MC. Wasipate nafasi yoyote ya wadhifa katika jamii. Kwasababu watu kama hao wakishika madaraka ni rahisi kuruhusu hivi vitu kwakuwa wao wanavipenda au...
  15. Swenti

    Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

    Ikiwa wewe unaona ni mungu tufauti ...kama nilivyosema haya ni mambo ya kiimani halazimishwi mtu, ukitaka kuchambua kukinzana kwa aya zilizopo kati ya vitabu vyenu vya sasa na Quran ni kweli utakuta tofauti nyingi na ndo maana sisi hatufuati hizo modified copies. Mi sikulazimishi na wala wewe...
  16. Swenti

    Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

    Sasa wewe unatafuta darasa lingine, hapa tunazungumzia msimamo wa Qatar na kuhusu maandiko kuibwa au kutoibwa. Halafu umejijibu mwenyewe. Haijalishi yawe yameandikwa kwa mkono au la ila mwisho wa siku yameshushwa kama ulivyosema kutoka kwa Mungu kupitia malaika wake labda terminology ya...
  17. Swenti

    Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

    Shida ni hilo neno kuiba, japo hatujui unamaanisha nini in deep mind ila ukweli ni kwamba Mungu wa Taurat na Injili, Quran nk ni huyohuyo mmoja isipokuwa kutokana ni upotofu wa binadam hizo injili zilikuwa corrupt katika baadhi ya vipengele hivyo ikashushwa Quran ili kuweka bayana. Anyway kama...
  18. Swenti

    Je, hili limewahi kukutokea?

    Basi poa jaribu tena.
Back
Top Bottom