Search results

  1. concordile 101

    Nauza maharage ya njano-Dar

    Nauza maharage ya njano, yapo Dar kwa bei ya 1650 kwa bei ya jumla. Ya yale gololi ndogo. Mawasiliano 0657561168
  2. concordile 101

    Nakaribisha partner kwenye biashara

    Nakaribisha mtu yeyote ambaye angependa kufanya biashara ya kusindika unga wa sembe nje ya tanzania aje tuunganishe nguvu. Sifa Awe tayari kurellocate Awe na passport mpya na awe tayari kulipia business Visa Mtaji ntampa asilimia 30 ya umiliki Kama hisa ie.aongeze million 20 Awe mwaninifu na...
  3. concordile 101

    Nimekosa amani mwanangu anakohoa kifua kikavu na hapati nafuu

    Ni siku kama ya tatu mwanagu wa mwaka mmoja anakohoa kikohozi kikavu na usiku anapata taabu ya kupumua. Mimi ni mfauatiliaji wa thread ya Coronavirus humu, nimekosa raha kabisa na isitoshe niko mbali nao. Yaani kila nikifuatilia habari ya wataliii Arusha natamani kulia kwa jinsi serikali...
  4. concordile 101

    Natamani kuongeza mke nami ni mkristu

    Mimi ni Baba wa watoto wawili na Nina ndoa ya kukatoliki iliyodumu Kwa muda wa miaka mitano. Kwa ujumla mke wangu nampenda Sana maana no mke ambaye niseme waz kwangu nimepata. Ananipenda kuliko kiwango. Ni mwanamke ambaye akikosea hajivungi kusema samahn lazizi. Tukija upande wa pili wa huyu...
  5. concordile 101

    Baada ya leo bodi za taaluma kama CPA,CPB,PSRTB na kadhalika zinaenda potea

    Msiniulize kwanini, ila yaleyale kama ya korosho yanaaenda tokea. Kwenye ukaguzi inajulikana unatakiwa usiwe na kundi ila chunguza na toa ushauri tu, haijalishi una maamivu gani. Kwa tunayoyaona sasa na hili la CAG tujiandae kupata CAG atayekuwa na mlengo wa kisiasa na hawataishia hapo hata...
  6. concordile 101

    Baada ya bureau de change masonara mjiandae kupokwa

    Naomba msiniulize kwanini, ila jueni tu baada ya bureau mnaofuata ni nyinyin hapo maana inasemekana sasa hivi watu wamebadili style ya kuchange pesa. Kuna watu kibao baada ya kushindwa kuhamisha mitaji yao kwa kuchange hela ili wasepe wamehamia kwenye kubadilishana madini. Iko hivi mtu...
  7. concordile 101

    Leo nimejiuzuru kuwa mwanaume wa dar bora nikawe matonya dodoma

    Kiukweli kwa tukio la leo la kumuuga mshikaji wetu wa soga za kitaa pale krmjee, ni wazi kuwa mwanaume wa dar ni aibu. Mimi nimezoea wanawake tu ndo wanalia kwenye misiba na kufika hatua ya kushikwa na sisi wanaume zetu pale nikusindikiza tu nakuangalia manzi gani mpya tumsalandie. Sasa kwa...
  8. concordile 101

    Hivi ni halali wazazi ama ndugu kuingilia uhusiano wa mtoto wao

    Kuna ishu imetokea hapa kwa jirani yangu. Yeye na mke wake wanaishi nchi mbalimbali mmoja yupo tanzania(mke)mwanaume yuko kenya. Mwanaume ni mtu mzima wa miaka 33 anaipenda na anaihudumia familia yake kwa kila jambo tena muda mwingine anajinyima mpk mahitaji yake ya msingi kama nguo. Sas kama...
  9. concordile 101

    Kunasehemu nahisi tumewekewa pandikizi toka nchi jirani

    Ukifuatilia matukio yanayoendelea sasa hivi Tanzania ni wazi kuna sehemu ndani ya ofisi zetu nyeti tumewekewa pandikizi ili uchumi wetu uyumbe kwa manufaa ya maendeleo ya nchi nyingine. Ukifuatilia kuanzia matukio ya uuzaji wa mahindi, madini na hapo juzi tu korosho, ni wazi kuna nia ya dhati...
  10. concordile 101

    Aliyekuwa Mkuu wa usalama wa Taifa Botswana akamatwa wakati akitoka Ulaya

    Aliyekuwa Mkuu wa usalama wa Taifa Botswana na rafiki mkubwa wa Rais mstaafu Khama, ametiwa Pingu Jana Airport akiwasili kutokea Europe. Ni vizuri viongozi wa leo wajifunze uongozi ni dhamana ya muda tu! ------- Isaac Kgosi has vehemently denied his involvement in any criminal activities...
  11. concordile 101

    Kuwa Mzalendo,Kula Korosho Kwa Afya yako

    Nawashauri yale magar yetu yakifika mbagala tujitokeze kwa wingi ili kupunguza wingu la kusemwa. Hivi hamjiuliz kwa nin wamakonde inabid wachezwe ngoma? . Ni kwa sabab imedhihirika wanawake hawawez kuhimili mipigo ya baba za kimakonde kisa korooooooosho === Korosho, ipo ktk kundi la...
  12. concordile 101

    Nyumba inahitajika Dodoma

    Natafuta nyumba ya vyumba viwili na sebule. Choo cha kujitegemea. Yenye tiles. Iwe eneo ningependelea ilazo, kisasa au nkungu. Kama sio basi iwe hata nje ya mji ila sio uswahilini. Nyumba shart iwe na maji. Bei isizidi 160000 kwa mwezi. Kwa mawasiliano 0713263659 au watsapp tu 0657571168
  13. concordile 101

    Kuna mtu tumempa ajira ila anatuhujumu waziwazi

    Kwa dalili zilizopo nchini mwetu kuna mtu kwa sisi kutotambua, tumempatia ajira ila anatuhujumu waziwazi. Ukifuatilia vita inavyoendelea mara utekaji mara, wa faini za hapa na pale, ni wazi kama taifa tumekosea na inapaswa tujitafakari na kuanzan upya. Ni ngumu sana kuamini kuwa baadhi ya...
  14. concordile 101

    Sukuma ndani tu!

    We sukuma ndani tu usiulize maswali mengi
  15. concordile 101

    Msaada; mwenye uzoefu na incubator za kichina

    Wadau Nina shida ya kuanzisha hatching business. Eneo nililopo kuna uhaba wa kupata vifaranga pia ni mkoa ambao hakuna MTU au kama wapo ni wachache sana wanaofanya hii business. Nimekuwa interested sana na incubator za kichina kutokana na bei take kuwa chini. Target yangu ni kuwa na incubator...
  16. concordile 101

    Natafuta kampuni MTU au kampuni inayojishughulisha na uaandaji business plan.

    Nahitaji MTU ambaye ataweza kuniaandalia business plan ya kuombea mkopo bank. Siko Tanzania kwa sasa na shughuli zangu hazipo tanzania, eneo nililipo sijapata MTU was kuweza niandalia iliyoshiba. Namba watsap +258872513375. Email. N;B. NINGEPENDA KUONA KAZI ZAKE NYUMA. GHARAMA YAKE IWE YA...
  17. concordile 101

    Compressor ya kujazia upepo inahitajika

    Mwenye kuwa nayo au kujua duka linalouza compressor kubwa za kujazia upepo magari makubwa na mashine ya car wash ya kupulizia maji. anitafute kwa watsapp 0657561168.
  18. concordile 101

    mala sasa makadirio ya watu 100000 wamepoteza kazi zao

    Toka mwaka 2015 kulingana na sera Mpya ya uongozi wetu na Kwa utafiti wangu binafsi, ni kuwa kuna idadi ya watu zaid ya 100000 wamepoteza Ajira Zao na idadi kama hiyo wamepoteza biashara zao. Toka uongozi huu uingie imekuwa ni mwendo wa kutumbua tu kutoa mara nyingi ajira Zach...
  19. concordile 101

    ATCL, ni jinsi gani Rais Magufuli anaweza kukuza fleet ndani ya mwaka

    Mwakan nadhan mwez wa sita atcl inatarajia kupokea boeing 787 moja. Nataka nifafanue ni jinsi gani hii pesa ingetumika na kuweza kupata ndege zaidi 8kwa wakati mmoja. Ukiangalia trend ya abiria ni waz atcl haijawa na uwezo wa kuzaja abiria 200. Na ukiiingalia hii b787 ni special longdistance...
  20. concordile 101

    cpa. msaada level ya kuanzia kwa degree ya accounting

    Nina degree ya accounting ambayo toka nimemaliza ni zaid ya miaka mitano. Niko mkoani nimejaribu kuuliza nambiwa kwa kwa wadau wananiambia itabid niende foundation lakin nikisoma syllabus naona kuwa kwa ngazi ya degree ya accountin inabid kuanzia intermidiary. Naomba msada wa kuelimishwa je...
Back
Top Bottom