Search results

  1. concordile 101

    Natamani nirudi nyumbani Tanzania nianze maisha mapya, lakini sijui nitaanzaje?

    We Rudy tu ila usikae karibu na home mwenzio July alichemka kama wewe alitoka na dollar 1000 sasa hivi Yuko geita. Mozambique sio kama zamani hakuna ishu.
  2. concordile 101

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    The purchasing power of Asian countries has been growing for a number years now, also due to the growing population in Asian countries versus the dwindling population in europe, Russia is to benefit in the long-run aas compared if it could have stuck with the European market
  3. concordile 101

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Huyu jamaa Huyu jamaa waendelea kumshikiria tu siku wakimpa nafasi ya kukaimu hata msaa mawili tutajuta
  4. concordile 101

    Tozo za miamala ya simu mlituambia mnajenga madarasa. Je, hizi za akaunti za benki mnajenga vyuo vikuu?

    Serikali ya kipigaji hii wameongeza per diem kwa karibia mara mbili ya kiwango Cha mwanzo huku wakielekeza kuwa hakuna kubadilisha bajeti huku wakijua zile per diem wasafuri ni wakubwa wenyewe
  5. concordile 101

    Low IQ Tanzania, wanafurahia Polisi kuondolewa barabarani!

    Gharama ya kuweka camera na kuajiri polisi , Bado camera ni nafuu zaidi, pia tulikuwa tushaaanza kuziweka ila polisi wenyewe ndo wanazichezea Ili kuendelea kuwepo barabarani. Mfano mdogo ukisema uweke askari trafiki 2000 barabaran kwa nchi nzima na msharahara wa 550000 utahitaji uwe na 13.2 Kila...
  6. concordile 101

    Mtu gani umepotezana nae na unatamani hata sasa umuone tu hata mara moja?

    Matiam we ticha wa mwanza yaani nilipenda mpaka kufa ingawa ushazalishwa watoto wanne ila Kila nikiona picha nahsi kuzima mtoto wa kitanga
  7. concordile 101

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Wengine duuh kaka hata hauko comfortable ila Kuna wengine huwa wako comfortable kumuheshimu mtu aliyemzid maarifa flani. Usikatae cheo bro kwa mchango unaotoa binafsi likubali jina tu
  8. concordile 101

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Duuh kwahiyo Putin kaamua liwalo na liwe maana karudi tena kiev
  9. concordile 101

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Jamaa naona kama achelewa kupost tu yaan anashusha vitu mpaka unasikia roho inasuuzika
  10. concordile 101

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ishu sio kwamba Russia kashindwa kutawala anga la ukraine, ila ni kuwa hakuna haha kupeleka midege ya kivita na kuchoma mafuta ya kumwaga wakati unaweza rusha kombora ukiwa mahome
  11. concordile 101

    Estonia (mwanachama wa NATO) yahofia kushambuliwa na Urusi muda wowote; yasema Urusi inafanya missile simulations dhidi yake (Estonia)

    Hakuna nchi itayonyNyua mdomo kujiingiza kwenye vita urusi kwa ajili ya nchi nyingine. Hiyo NATO ipo kwa ajili ya vinchi vidogo ila kwa Russia hata marekani yenyewe haitaingia
  12. concordile 101

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mhh jamani hii Jana SI ilikuwa 54 yaan ndani masaa kadhaa tu ishashuka Tena
  13. concordile 101

    INAUZWA Motor inauzwa kwa matumizi ya viwandani

    Hiyo mota huwez uza kwa bei hiyo 30hp auto sokoni inacheza 1.5mil mpya
  14. concordile 101

    Kodi ya malori ni kodi gani?

    Kodi ya mapato ndo wamewekewa 3,500,000 kwa mwaka zamani ilikuwa asilimia 30 ya faida yao hapa wengi walifoji.
  15. concordile 101

    Hii bajeti ni nzuri kuisikia lakini haitekelezeki hata kwa asilimia 50%

    Tumefikia tr21 tukiwa hii, uchumi ukiwa umedorora, sekta utalii ikiwa imekufa kabisa, mahoteli yakiwa yamefungwa , Kila kitu kikiwa shaghala baghala ila kwa dizain aliyokuja nayo at least tunaweza nyanyuka
  16. concordile 101

    Hii bajeti ni nzuri kuisikia lakini haitekelezeki hata kwa asilimia 50%

    Tukiamua kukusanya kweli tunaweza fika ishu ni kuwa mapato hayakusanywi
  17. concordile 101

    Hii bajeti ni nzuri kuisikia lakini haitekelezeki hata kwa asilimia 50%

    Kuna mazingira ambayo yamewekwa Ili bajeti iweze kutimilizika. Kama ukifuatilia kwa asilimia kubwa wamepunguza ushuru wa forodha kwa ajili ya malighafi kadha wa kadha Ili kustimulate uchumi. Kuna Kodi kama Kodi ya mapato kwa Kila lorry na basi na kufanywa flat rate ya 3.5mil kwa mwaka. Hiii...
  18. concordile 101

    Wizara ya Nishati fanyeni homework, bei ya mafuta itamgharimu Rais Samia

    Kwanini tusinunue urus kwenye Bei chee
Back
Top Bottom