Search results

  1. Rich Pol

    CHADEMA watelekeza wafuasi wao 28 mahabusu kwa kukosa dhamana

    Wafuasi 28 wa Chadema wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka yao kisha kurudishwa gerezani kwa kukosa dhamana kwani ilikuwa wazi. Mapema wiki hii mh Mnyika alinukuliwa na vyombo vya habari akilitaka jeshi la polisi kuwafikisha mahakamani kuliko kuendelea kuwashikilia, tulitegemea...
  2. Rich Pol

    Baada ya kupata maendeleo mazuri ya Lissu, sasa tunaomba tujuzwe maendeleo ya matibabu ya dereva wake

    Habari za majukumu wana JF. Tunashukuru kwa kupewa updates za maendeleo ya matibabu ya Mh Tundu Lissu pamoja na gharama zake. Leo nimekuja na hoja ya kutaka kujua maendeleo ya matibabu ya dereva wa Mh Tundu Lissu, Kwa takribani miezi miwili sasa tangu aanze matibabu ya kisaikolojia huku...
  3. Rich Pol

    Habari mbaya kwa team Mondi

    Baada ya Diamond kuubana wimbo wake wa Zilipendwa kusubiri Ally Kiba atoe kibao chake cha Seduce me ndiyo autoe wimbo wake ili kuufunika wimbo wa Kiba, Kinachoendelea sasa ni kwamba jaribio limeshindikana. Mpaka sasa hivi wimbo wa Seduce me una viewers 4.2m na ni no 1 trending wakati Diamond na...
  4. Rich Pol

    Habari nzuri kwa wapenzi wa Arsenal

    Habari nzuri kwa wapenzi wa Arsenal ni kuwa dirisha la usajiri limefungwa muda huko England muda huu na Wenger amefanikiwa kufanya usajiri wa namba yake ya simu
  5. Rich Pol

    Baadhi ya marais wenye elimu kubwa Afrika, Rais Magufuli ashika namba tano

    Sio tu kwamba wana madaraka makubwa ya kisiasa nchini mwao, bali wana elimu kubwa kwenye fani mbalimbali jambo linalothibithisha usemi wa Kiingereza wa “readers are leaders,” yaani viongozi ni watu wenye hulka ya kusoma sana. Hii ni orodha ya wakuu wa nchi za Afrika wenye elimu kubwa zaidi...
  6. Rich Pol

    Msaada ku track namba ya mtu

    Poleni na majukumu wajuzi wa mambo Naombeni unijuze jinsi ya ku truck namba ya mtu vitu kama sms, location ikiwezekana na voice call Asanteni
  7. Rich Pol

    Wasichana wa chuo na mashauzi kumbe hawana kitu

    Pole na majukumu wana JF. Nimeona tu share hiki kisa nilikutana nacho mwanzoni mwa mwezi huu. Nilikuwa Mwanza airport kwa safari ya kurudi Dar. Baada ya kucheck in nikiwa nimekaa kusubiri kuingia kwenye ndege pembeni yangu alikuja akakaa bint mzuri tu akiwa busy na simu yake, hakunisalimia...
  8. Rich Pol

    R.I.P. club Billcanas

    Hatimae talk of the town imezolewa, tuliibiwa sana hapo.
  9. Rich Pol

    Rais wa Ghana aapishwa, hotuba yake a copy n paste hotuba za marais wa USA.

    Nana Akufo- Addo aapishwa kuwa rais mpya wa Ghana Nana Akufo- Addo ameapishwa leo kuwa rais wa mpya wa Ghana. Akufo-Addo ameahidi kupunguza kodi ili kufufua uchumi wa nchi hiyo kando na kuangamiza ufisadi serikalini Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 72, na ambaye ni wakili wa zamani wa...
  10. Rich Pol

    Kenya wadai daraja la Kigamboni ni lao

    Kama kawaida yao Wakenya wameanza kusambaza picha za daraja letu la Kigamboni lililoanza kutumika jana Kama picha inavyoiona hapo chini wamefika mbali na kuliita daraja letu pendwa lililojenjwa na mfuko wa jamii NSSF kuwa ni Gathara Bridge lililoko karibu na nyandalua primary school Watanzania...
  11. Rich Pol

    Elections 2015 Fredrick Mwakalebela kipenzi cha wana Iringa kuchukua jimbo.

    ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Fredrick Mwakalebela mwishoni mwa wiki iliyopita alichukua fomu ya kuwania ridhaa ya ubunge wa Jimbo la Iringa mjini na kuwatahadharisha wenzake kuacha siasa za majitaka zinazofanywa na baadhi ya watangaza nia. Mwakalebela ambaye mwaka...
  12. Rich Pol

    Nyota ya Lowassa yazidi kung'aa nchini

    Nyota ya Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa, imeendelea kung’aa baada ya Taasisi ya Samunge Social Sciences Research Center (SSSRC), kufanya utafiti na kubaini kuwa kiongozi huyo ni chaguo la kwanza kwa wananchi. Utafiti huo uliofanywa miaka miwili kuanzia 2013...
  13. Rich Pol

    Wajue ma rais 8 tajiri Africa

    Kuna tafiti mbalimbali zilizowahi kufanywa, lakini leo nimekuja na hii list ya Marais nane wanaoongoza kwa kuwa na utajiri mkubwa zaidi ya wenzao Afrika. Iko ishu ya Marais kung’ang’ania madaraka kwenye nchi za Afrika, kingine ni hii ishu ya kujilimbikizia mali, japo wapo wanaokuwa nazo kabla...
  14. Rich Pol

    Godbless Lema kunyang'anywa jimbo la Arusha

    KUMEKUCHA! Duru za kisiasa katika Jimbo la Arusha Mjini zinaeleza kuwa kuna uwezekano mkubwa wa mbunge anayeliongoza jimbo hilo kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Jonathan Lema kuangushwa katika uchaguzi mkuu ujao baada ya mfanyabiashara mkubwa (bilionea) mmoja...
  15. Rich Pol

    Zitto apokelewa kifalme Kigoma na kukabidhi Ambulance

    Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe leo March 14 ametoa gari mpya ya kubebea wagonjwa (Ambulance)kama moja ya ahadi zake alipokuwa kwenye kampeni ambapo aliahidi kabla ya kumaliza kipindi cha uongozi wake atatoa gari hiyo. Wakipokea msaada huo Michael Mwandezi ambaye ni Mkurugenzi...
  16. Rich Pol

    Group la chatting

    Hawa addicted na group la chatting
  17. Rich Pol

    Aunty Ezekiel ampiga dongo Lema

    Katika kipindi cha amplifier cha Millard Ayo Msanii wa filamu wa bongo movie amempiga dongo mbunge wa Arusha Godbless Lema kwa kile alichoda kuwa waziri wa maliasili na utalii mh. Lazaro Nyarando alikuwa anatanua Marekani na na aunty Ezekiel pesa za umma. ''Mtu mzima, mbunge mzima anakosa...
  18. Rich Pol

    Tanzia: Mfanyakazi wa ITV na mwanachama wa JamiiForums afariki dunia

    Tunasikitika kumpoteza member mwemzetu wa Jamiiforums. Jina lake halisi ni Subira Mbunda alikuwa mafanyakazi wa ITV. Marehemu aliugua ghafla siku ya Christmas 25 December 2014 akiwa kazini ITV usiku na kukimbizwa hospital lakini alfajiri kuamkia tarehe 26 mauti yalimkuta. Marehemu amezikwa...
  19. Rich Pol

    Millard Ayo ajimilikisha Jokate

    Hakika hata siku moja huwezi kuuficha moto, kwani moshi lazima utakuumbua tu. Baada ya kuumizwa na aliekuwa mpenzi wake Millard Ayo baada ya kumfumania live jiki Mwanza, Millard aliamua kukaa single kwa muda mtefu na kutokuwa na wazo la kupenda tena. Mapenzi yake kwa Jokate yalianza kwa kificho...
  20. Rich Pol

    Nyumba za wasanii wetu

    Jose cameleon
Back
Top Bottom