Search results

  1. N

    Wanawake Ni Wasanii?

    [/B][/SIZE] Ndugu yangu huyo dada alikudanganya na inawezekana hata mimba hajawahi kushika,hivi mjamzito kutembea na kopo la kutemea mate kila aendako ni makusudi kweli? kula udongo, kuvimba miguu, na mengine mengi ambayo hawatuambi!!! ni makusudi!! sidhani.tuwape hongera kwa kazi nzito ya...
  2. N

    SIPENDI WATU hawa

    sasa nimekuelewa Emma ndio maana ukawa senior member!! Hongera kwa Tungo tata yako...
  3. N

    SIPENDI WATU hawa

    Nami pia siwapendi watu kama wewe wasio malizia kitu wanacho taka kusema....
  4. N

    Uwepo muda wa kuwatunza viongozi wetu?

    Ndugu zangu wapendwa, nimekuwa na mawazo tofauti kuhusu serikali kuendelea kuwatunza viongozi wetu Raisi na Waziri mkuu pale wanapoondoka madarakani.Kwa mujibu wa sheria wanatakiwa kutunzwa hadi mungu anapo wachukua (wanapo fariki) dunia,mimi naona kwa sasa utaratibu huu ubadilishwe wawe...
  5. N

    Faida za kujiweka wazi (disclosure) ukiwa umeathirika na virusi vyaUKIMWI

    Ni kweli dada yangu, kunafaida kubwa sana kama ukijua leo una ukimwi kuliko ukijua kesho.lakini bado siungi mkono kujiweka wazi ukiwa umeathilika kwa sababu bado jamii haijaukubali ugonjwa huu wa ukimwi,hivyo unapojiweka wazi kwa nia nzuri tu jamii inakutenga, hilo ndio tatizo la sasa.Lakini...
  6. N

    Moja ya stoo za creti kiwanda cha bia (TBL) imeungua moto

    Ni bora kiteketee kabisa, maana pombe imerudisha maendeleo ya watu wengi nyuma Tanzania!!
Back
Top Bottom