Search results

  1. Gwamahala

    Maisha haya, hayatutendei haki kabisa...

    Hao watoto wengine wanaweza dhani hako katoto ni malaika kabisa...
  2. Gwamahala

    Happy Birthday to me

    Ni siku njema sana ambayo Bwana ameifanya...karibuni wengine mliozaliwa siku kama ya leo tujumuike. Kipekee niwashukuru JF ambao wamekuwa wakinitumia wishes kila mwaka tokea mwaka 2009 nilipojiunga JF rasmi! Gwamahala.
  3. Gwamahala

    Msaada Tafadhali...!!!

    Heshima kwenu wadau, Kwa siku nyingi nimependa sana kuwa mtaalam wa ICT ila sijajua nisome kozi gani na chuo gani kwa hapa Tz ili hatimaye nitimize ndoto yangu. Napenda ushauri wenu ni chuo gani kizuri kwa hapa TZ kwa kiwango cha Diploma au Degree,namaanisha chuo ambacho hakiko "too theoretical"...
  4. Gwamahala

    Mpenzi wa kweli ni yupi???

    Wakubwa shikamooni,wadogo habari zenu. Wadau mi niko hapa kutafuta ukweli juu ya tabia za mpenzi aliye na mapenzi ya kweli.
  5. Gwamahala

    Nisaidieni dawa.

    Habari za jion waungwana, Mwenzenu ninaumwa kiuno jamani, mwenye kujua dawa anisaidie.
  6. Gwamahala

    Nampenda girlfriend wa binamu yangu,nifanyeje?

    Wadau poleni na shughuli za hapa na pale.Poleni pia kwa mikikimikiki ya mwisho wa wiki. Nina rafiki yangu kipenzi ambaye yeye sio memba wa JF ila siku moja moja huwa anapitia humu hususani hapa ktk Jukwaa letu tukufu la Mapenzi,na Mahusiano.Ishu yake ni hii: Jamaa ana binamu yake ambaye...
  7. Gwamahala

    Nipokeeni!

    Hello Jamii, Mimi ni mdau mwenzenu nipokeeni katika jamii yetu.
Back
Top Bottom