Search results

  1. K

    Maoni ya Zitto kufuatia Taarifa ya Kamati ya Mruma kuhusu Mchanga wa Dhahabu

    Hatuitaji mchango wake watanzania ,tumempata rais mzarendo basi inatosha ,hwa wanasiasa maslahi hatuwaitaji,
  2. K

    Maoni ya Zitto kufuatia Taarifa ya Kamati ya Mruma kuhusu Mchanga wa Dhahabu

    Tzitto tangu chadema walipomuita msalit hajawai kuwa msafi ,unafiki umemjaa kwa kila namna,hana jipya
  3. K

    Maoni ya Zitto kufuatia Taarifa ya Kamati ya Mruma kuhusu Mchanga wa Dhahabu

    Huyu zitto ni kama mwezi sasa kuna habari kuwa anaongwa na mataifa ya nje kuhujumu nchi na kwenye ili LA mchanga amepiga diri ,achungzwe huyo
  4. K

    Zitto Kabwe: Nitajiuzulu Ubunge kama Serikali itanionyesha tani milioni 1.5 za Mahindi

    Taifa limezalisha viongozi wapiga kelele bila kuwa na mchango kwa taifa, Nauliza Taifa na watanzania wanafaidika ka kuchokonoa serikali au ktk njaa au kuonyesha wewe ulilima kiasi gani na kuwasaidia wananchi ktk HALI hii ya ukame, Viongozi walalamikaji hawana tija kwa taifa,
  5. K

    Zitto Kabwe kupeleka Bungeni hoja binafsi ya kutokuwa na Imani na Rais Magufuli

    Tutaanza na wewe jimboni kwako umelima kiasi gani cha kuwasaidia watu wako,kazi yako uvuvuzera
  6. K

    Zitto Kabwe kupeleka Bungeni hoja binafsi ya kutokuwa na Imani na Rais Magufuli

    Zitto,akili zake ni hewa, 2/3 ya wabunge kukubali anaitoa wapi akawambie malofa
  7. K

    Zitto Kabwe kupeleka Bungeni hoja binafsi ya kutokuwa na Imani na Rais Magufuli

    Unaita,tangu chadema wafukuze msalit huyu ,rahana hii bado iko kichwani,
  8. K

    Zitto: Malipo ni hapa hapa duniani, Viongozi wastaafu wapo wapi wamuonye rais Magufuli?

    Kabla ajamsela rais kwanza ataje tangu amechaguliwa umefanya nini jimboni kwake ,hata kiwanda cha mawese kimekushinda unamkosoa rais ,
  9. K

    Zitto: Malipo ni hapa hapa duniani, Viongozi wastaafu wapo wapi wamuonye rais Magufuli?

    Kizazi cha wapiga diri hicho ,kitanyooka tu rais anasema watu wafanye kazi yeye anasema nini?
  10. K

    Agizo la Rais Magufuli kwa Lwakatare liwe fundisho kwa wabunge wote kuhusu viwanda,

    Taifa letu limekuwa na wimbi LA viongozi wapiga domo tu na walalamikaji badala ya wao kama viongozi kutoa mchago wa moja kwa moja kwa wananchi. Mfano: Wabunge wetu kila siku utasikia serikali haijengi viwanda, hakuna viwanda, serikali haijafanya kitu, Maswali kwao: 1, Viwanda vinajengwa na...
  11. K

    Rais wa kwanza kutoka upinzani Tanzania atakuwa Mnyika, Lowassa unasafisha njia tu

    Zipi sababu za MTU bora kabisa kutoka upinzani mwenye sifa za kuwa Rais wa nchi hii kuwa ni Mnyika peke yake, kwa vigezo vyote, ukimuangalia usomi na hata uwezo wake na weredi wake. Sijui ni lini atapewa nafasi hii lakini natembea kwenye njozi hii, Lowasa ni msafisha njia kama Dr slaa na...
  12. K

    Lowassa: Waliniombea kifo, asema mabadiliko hayazuiliki

    Babu mabadiriko anajua maana ni yeye kuingia ikulu kumbe yeye sio wa muhumu sana , mungu hawezi kufanya mabadiriko ya kumuingiza shetani madhabauni utangaika sana adi mwisho wako,
  13. K

    Lowassa: Waliniombea kifo, asema mabadiliko hayazuiliki

    Hata kinyonga uwa anafanya mabadiriko lkn tabia yake ni ile ile,kinyonga tu ,na lowasa umebadirisha chama lakini bado ni lowasa yuleyule wa madiri, Utaishia kuota ikulu,
  14. K

    Waliosema Wapinzani watakosa hoja kipindi cha Magufuli wako wapi?

    Upinzani ulikuwa wa Dr SLAA sasa kuna genge LA lowasa lililoanzia ccm lililofukuzwa kwa kuitafuta ikulu sasa limeamia chadema na kuendeleza harakati hizo,hakuna hoja ya wanyonge,
  15. K

    Waliosema Wapinzani watakosa hoja kipindi cha Magufuli wako wapi?

    Kwa hoja za upinzani sasa hivi ni zipi KWA sasa zinazogusa maisha yetu ? Zaidi ya kelele tu za democraisia za kuzunguka tu,
  16. K

    Waliosema Wapinzani watakosa hoja kipindi cha Magufuli wako wapi?

    Kwa takribani miaka kumi hoja za upinzani nilikuwa kama zifuatazo 1, ufisadi,( hii ndo babu kubwa) 2, uzembe na ulegevu wa kusimamia serikali Haya ndo hoja zao kubwa lini umesikia walisema?
  17. K

    Mbatia: Uhakiki wa vyeti feki uanzie kwa Rais na viongozi wengine

    Huyu dawa yake halima mdee mfano Yale maneno ya 2010 wakati wa uchaguzi
Back
Top Bottom