Search results

  1. K

    Zitto: Mshahara wa Rais wa JMT ni sh 384/= mil kwa mwaka

    2015 atakua na billioni 4 za halali bado magamu duu......
  2. K

    Dr. Slaa: Kwa VILE CCM na Kikwete Hawajui Kwa nini Watanzania ni Masikini- Chadema Ina Jibu !

    We buku 70izo ni legacy za mkapa ilan ya ccm ya mwaka 2000 na barabara nyingi zilikua zimeshaanza kujengwa uyu barabara zake ni nzega tabora dodoma-tabora,dodoma-mbeya,mpanda kigoma,tabora kigoma,lindi mtwara, arusha-mara,tabora-mbeya aya izo zote tafuta iliyo kamilika usidanganye watu we are...
  3. K

    Dr. Slaa: Kwa VILE CCM na Kikwete Hawajui Kwa nini Watanzania ni Masikini- Chadema Ina Jibu !

    Kaka achana nae atasema lowassa aliomba msamaha wakati aligeukwa na wezi wenzake akatoka kwa kisilani cha kimasai watu wa katavi tunasema aliwaziria arafu uyu kilaza anauita msamaha......mtu gan toka tisini mpaka leo we bado mbunge zen unataka uraisi aya miaka ishirin na tano umefanya nn kwa...
  4. K

    Zitto ataja mawaziri mizigo

    Mkuu wambie uhamiaji wa mrudishe kwao si unaushahid au ukuona wenzio wa morogoro jana au "unaongea on air like a kindagaten student" jifunze kua na credible talks itasaidia ata chama chako cha magamba ku-restore trust
  5. K

    Mafisadi na waharifu kufaidi BRN, masikini kukiona picha kamili hii hapa

    Uko sahihi mkuu manurse baadhi wamekula ela ndefu kwenye semina bt mi navyoelewa sector ya afya tatizo ni vitendea kazi ari ya kufanyakaz imeshuka sabab ya mazingira sio rafik ivo vingin ni temporaly thing never work...ayo ndo maCCM yanapenda kuonekana kuliko kutoa matokeo chanya kwa ordinary...
  6. K

    African Dictators meet in Addis Ababa

    Mkuu bush nchi yake aikuunga azimio la kuanzisha mahakama io na sio mwanachama kwa iyo awez shitakiwa
  7. K

    Philemon Luhanjo ni Mwizi-Norway’s newspaper

    Mkuu kumbe naww umegundua kua ssm sio political party tuu pia ni chama cha akina masogange na wazee wa tembo tehtehteh
  8. K

    Hamis Kigwangalla: Nashauri Rais asisaini muswada

    Wewe muda wa kuchangia mjengon ulitumia kumponda mbowe na tundu lisu zen ukaunga mkono mswada huo upite 100 leo unasema nn au ndo phd zetu za ckuizi au ni fake politics,nzega we need change goodbye no mercy this time rudi hospital
  9. K

    Pinda afuta amri ya Waziri Magufuli

    Mwigulu anae ku-remote ww uhaibun anatumia ela za nan? Na atakua na yule mke wa mtu wa igunga....tehtehtehe
  10. K

    Pinda afuta amri ya Waziri Magufuli

    Akijiuzuru magufuli kesho naeenda lumuba kuchukua kadi ya ccm
  11. K

    Nini hatima ya Ofisi ya Spika iliyojengwa Urambo?

    Focus on issue not personality
  12. K

    CHADEMA yaisambaratisha CCM Kyela

    Sasa ivi unajadili katiba mpya unafikiri ilitoka kwenye ilan ya chama gan? Magamba wanaweza kua na mtazamo wa namna iyo that's y tunawashauli wajiandae kuwa shupav ili watoe constructive idea
  13. K

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Wadau ningependa kujua njia za kupitia ili kuacha pombe kwa mtu ambaye ni adicted
  14. K

    Mtanzania: Hali si shwari Zanzibar; Pemba yataka uhuru kamili

    Ayo mambo ya nyerere alisemaje bila kuangalia alisema kipindi gan ni akili za kuazimwa cha msingi je kwa sasa kuna aja ya kuendelea na muungano? Mm nasema no need mosi wanasiasa wetu wameproove kuwa kwa ukubwa wa tanganyika tuu ni kazi kutimizi mahitaji ya wananchi wote kumbuka ukichukua...
  15. K

    CHADEMA yaisambaratisha CCM Kyela

    Mkuu asante kwa kutuletea uzi,magamba lazima wajifunze kua wapinzan shupav 2015
  16. K

    Here we Go-Mnyika na Nape live ITV

    Wewe mburula mnyika kasema watu wengi walisema wanataka mabadiliko makubwa ya mfumo wa uongozi na utawala pia mageuzi makubwa ya ki utendaji lakini walikataa vyama ving, sasa tume iliona mabadiliko wanayotaka watu yanaweza kuletwa na vyama vingi tuu na ikagundua watu wengi awaelewi maana ya...
Back
Top Bottom