Search results

  1. neno1

    Uchaguzi 2020 Rais Magufuli ndiyo anaibuka kuwa atawaongezea mishahara wafanyakazi. Tunamwambia kuwa hatudanganyiki ng'oo

    Huyu acha dharau zake zimtokee puani. Uongozi wa nchi unahitaji uwe na heshima kwa unaowaongoza maana ndo waliokuweka hapo. Sasa acha akapumzike na mifeni yake.
  2. neno1

    Mwigulu Nchemba awapinga kwa hoja nzito wale wanaotaka mtu akiwa mwanachama wa CCM hapaswi kuwa mkurugenzi

    Kuna hoja gani zaidi ya katiba. Tatizo uvunjifu huu wa katiba na sheria za nchi zimezoeleka hadi watu tunawaona wanaoisemea kuwa wanapotosha. Refa hawezi toka kati ya wachezaji wa timu pinzni. Katiba ililiona hilo na kuliweka wazi. So Mwigulu hana hoja zaidi ya kutaka kuendelea kuvunja katiba...
  3. neno1

    Sakata la Masele: Kwanini Ndugai anamlinda huyu Rais wa Bunge?

    Kwa ufupi hili ni kundi la kwenda kinyume na wengine. Na kwa kuongozwa na kundi la watu kama hawa hatutaenda mbele maana wao mazuri hawayapendi.
  4. neno1

    Chato: CHADEMA yashinda wenyeviti wa vijiji Chato Mjini

    Sio mke tu hata yeye mwenyewe kwa ukichaa alionao atajikataa
  5. neno1

    Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

    Hapa yawezekena kuna kupima upepo au basi kiboko kimewaingia
  6. neno1

    Dhana ya usajili wa wanasiasa katika siasa za nchi yetu

    Kuna dhana iliyojengeka katika siasa zetu za kusajili wanachama hasa wenye majina toka chama kingine. Kibaya zaidi huwa haijalishi taswira aliyokuwa nayo huyo mwanachama kwa jamii alipokuwa upande mwingine. Tuliona Nape alipokuwa CCM kama katibu mwenezi na baadaye waziri, tulimlalamikia sana...
  7. neno1

    Uhamiaji watupe ufafanuzi

    Hili suala la watu wameshapokelewa maombi kabla ya uzinduzi halafu wanatakiwa kujaza upya ni utaratibu mbaya sana. Na kwa bahati mbaya hawapewi hata taarifa, wapo wanasubiri siku walizoambiwa kwenda kumbe huku utaratibu ushabadilika. Naomba mtaalamu wa NIDA atayepita humu anicheki kando ndugu...
  8. neno1

    Rais Magufuli ashangaa Majaji kwenda likizo Ulaya kwa gharama zao, amtaka Jaji Mkuu kuchunguza

    The only point missed by the head of the state and the government in general is to cover up all the gaps used by officials to get dirty money rather than spy lives of individuals. If they earn the money righteously why bothering to spy how they spend them. That's again the rules
  9. neno1

    Rais Magufuli ashangaa Majaji kwenda likizo Ulaya kwa gharama zao, amtaka Jaji Mkuu kuchunguza

    Mambo ya mtu kwenda likizo nje ya nchi ni maisha binafsi na si busara kuingilia. Tunapoona wazungu wanakuja kutalii sio kwamba ni matajiri ila wanajipanga hata kwa miaka 5 ili wapate exposure kitu ambacho sisi tunaona anasa. Kama anahisi wanaiba aache kuzunguka awachunguze na kuchukua hatua...
  10. neno1

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hii ni kimya kimya mkuu
  11. neno1

    Mawazo mgando: Unakataa kulima ili ukafue nguo Ulaya

    Kafue bana tena kule unafua kwa machine usikatishwe tamaa bure wakati hata yeye mwandishi anachofanya huko hatukijui
  12. neno1

    Mawazo mgando: Unakataa kulima ili ukafue nguo Ulaya

    Hii tabia ya kubagua kazi ndo maana watanzania wengi hatutoki. Wewe unayeona kufua au kulea wazee hakufai ukiwa bongo kulima utaona hakufai. Yaani kuna kasumba ya kuchagua kazi kitozi. Mtu analala njaa kisa akili yake imejipangia kazi za kufanya. Nadhani uhai wa binadamu ni kufanya kazi...
  13. neno1

    Bila kudhibiti uzazi, uchumi kukua itakuwa shida

    Nchi zetu hizi zinaendeshwa kwa kufanya vitu watu wengi tena walio wajinga au wavivu wa kufikiri wangependa kusikia. Haihitaji elimu kubwa kujua uhusiano wa idadi ya watu na maendeleo hasa katika hatua za mwanzo za kuendelea km tulizomo. China ina idadi kubwa lakini huko nyuma walitumia idadi...
  14. neno1

    Amekuoa lakini lazima asote kupata tendo la ndoa

    Nahisi huku kuna majini yanatamani wote twende motoni
  15. neno1

    Waijuao Tanga kiundani

    Tajeni na bei wandugu
  16. neno1

    Nitagombea Urais - Kisandu Deogratius

    Kwa kumpongeza mtu kama Zuma na kukubaliana na yanaoendelea hapa nchini enzi hizo hutapata kitu. Enzi za watu kama hao unaowasifia zinaishia hawa waliopo. Kwa hiyo nadhani ushachelewa, mwambie mkuu akukumbuke tu sasa angalau ukuu wa wilaya
  17. neno1

    Rais Magufuli azidi kuiandama mitandao ya kijamii

    Ameshapanic, na atakufa kwa presha ya mitandao . Mtu moja dhidi ya umma.
  18. neno1

    Madhara makubwa ya kumtisha Rais wa Nchi!

    Kule atatumia wajinga wajinga kama huyu na Bashite
  19. neno1

    Madhara makubwa ya kumtisha Rais wa Nchi!

    Huna lolote zaidi ya kuwa kundi moja na hao wenzio na hivyo unatetea chenu kwa kututisha
  20. neno1

    Ukimya wa Mwigulu ni ukomavu wa kisiasa

    Hiyo haina tofauti na unafiki na woga. Siku moja aonekane hakusema kitu wakati unakuta hafurahii kinachotokea. Toka adharani useme tujue uko upande wetu au wao. Yesu alisema atakaye mwonea aibu na yeye atafanya hivyo mbele ya Baba yake. Kwa hiyo hata hawa waliotuacha tuumizwe wao wakiwa pembeni...
Back
Top Bottom