Unafahamu kwa Dar es Salaam asilimia 79 ya vituo vya kutolea huduma za afya ni vya binafsi? Kama watoa huduma wa vituo wakiitikia wito wa huu mgomo kikamilifu madhara yake yatakuwa makubwa sana
Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Nijuavyo Simu iliyowahi kutengenezwa kwa ajili hiyo ni Sony experia Pro - 1 ,
Mojawapo ya vitu vya kipekee ilivyo navyo ni HDMI Port, hii ni simu bora kabisa kwa videography na ilitengenezwa kwa ajili ya professionals.
Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Ndoa sio ngumu ila umeolewa na mtu asie sahihi,sio kila Mwanaume ana sifa na uwezo wa kuwa mume na pia sio kila Mwanamke ana sifa za kuwa mke
Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Mojawapo ya makosa makubwa kwenye mahusiano ni kufanya ngono na mtu ambae una dhamiria kumuoa au kuolewa nae.
Kama mtakuja kuoana usitegemee huyo mwenza wako atakuamini kwa sababu anajua huna uwezo wa kudhibiti hisia na matamanio yako ya ngono.
Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Ndio mkuu,kwa mujibu wa miongozo ya kitaifa na kimataifa iliyopo (threshold) akitokea hata mgonjwa mmoja tu aliethibitika kuwa na surua tayari inachukuliwa kuwa ni mlipuko (Outbreak)
Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Usafiri wa UMMA ni huduma ya kijamii kama zilivyo huduma za Afya, Elimu,Maji na Masoko.Msingi mkuu wa utoaji huduma za Kijamii ni kuwasogezea walengwa huduma kwa kadri inavyowezekana,Uamuzi huu ni sawa na kusema wagonjwa wote wa Dar LAZIMA watibiwe Muhimbili au wanunue mahitaji yao...
pole kwa tatizo linalokusumbua, kwa maelezo uliyotoa naomba nikushauri kama ifuatavyo:
1. Tatizo la High blood Pressure halitibiki ,kinachofanyika ni kutumia dawa ili kuzuia uharibifu wa viungo vingine kama figo,moyo,macho na ubongo ( Stroke),
2.NI VIZURI UKIFAHAMU KUWA UNAWEZA KUTUMIA DAWA...
Pole sana kwa yaliyotokea, Ushauri wangu kwako :
1. Kubaliana na kilichotokea, amekuwa muungwana kukueleza ukweli ili ufanye maamuzi, ukitulia mtafute uongee nae kwa ajili ya closure, inawezekana na ni vizuri kuachana kistaarabu
2. Tafuta kitu cha kukushughulisha, kama huna kazi unaweza hata...
Kwa sababu sijui dawa aliyokupa daktari, nakushauri uendelee kuzitumia ulizopewa kwa kama ulivyo elekezwa na ufuate masharti na kuzingatia kurudi tena kumuona daktari wako kwa ajili ya follow up
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni jambo jema kuwa hatimae umegundua tatizo linalokusumbua, umefanya vizuri kuleta mrejesho, naimani daktari amekueleza matibabu ya tatizo lako
Sent using Jamii Forums mobile app
Zingatia huu ushauri, Umri wako bado mdogo sana,tafuta hela kwanza wanawake wapo wengi mno,don't be broke and heart broken, hutaweza kustahimili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana una tatizo la GERD ( Gastro Esophageal Reflux Disease) hili linafanana sana na vidonda vya tumbo japo matibabu yake ni tofauti kidogo, bado nashauri upate muda wa kumuona daktari bingwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana, kiuhalisia ni vigumu sana kutapika nyongo, kimaumbile nyongo (bile) inaingia kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kwenye utumbo mwembamba hivyo sio rahisi kutapika nyongo labda kama una tatizo la utumbo kuziba, nakushauri umuone daktari bingwa wa magonjwa ya ndani (Physician) nina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.