Search results

  1. K

    Fahamu jinsi ya Kulink/ Kuregister Paypal account Tanzania

    Asante mkuu inasaidia sana yani nilikuwa nahangaikia apo kwenye internet banking
  2. K

    Hivi airtel bado wanatuhurumia kwa usiku au?

    kawaida ni mpaka ifike saa sita kamili...
  3. K

    Ninawezesha Playstation 3 iweze kucheza Game kwenye HDD

    ok hiyo sawa unaweza hack lakini sasa weweeeeeeee??iyo hack ni ya Zamani braza mbona mnashindwa kuelewa?AHHHH Wallahy wale watu wanaojua kweli ps3 hacking waambieni hawa hawaelewi kwamba ile software method haifanyi tena kazi kama umeupgrade zaidi ya 3.56 lakini bado inapost mi method yao tu...
  4. K

    Ninawezesha Playstation 3 iweze kucheza Game kwenye HDD

    Hauwezi Downgrade ps3 firmware version 4.00 mpaka uwe na hardware flasher kama teensy++ ambayo mimi ninatumia kuflash ps3 motherboard then ili iweze cheza Game backups kama unadownload from internet bure halafu unacheza tu. ila ninaprice ninatoza sio bure manake hii jailbreak sio ya...
  5. K

    Ps3 iko sokoni.

    PS3 ata siku moja haina 4gb of ram halafu hakuna mtu anakujibu all this time......ahhh disgrace! Anyways PS3 humuuzii mtu apa kwa laki 8 soo sorry bro rabda laki 6 na bado wateja haupati apa jamii forums no ones interested in buying.....
  6. K

    Modem mpya za tigo airtel na safaricom permanetly unlocked.......kwisha

    baba hii ya kuhitaji BoX ilikuwa ipo muda sasa watu wanafanya kariakoo 20000! mimi nilijua umetupatia maujanja bure kabisa bila ya kuhitaji boxi
  7. K

    Playstation 3

    kama ps3 yako umezidi firmware version 3.55 basi kuwezi kuJailbreak yaani kuihack hadi ui Flash ps3! mimi ninaweza iyo PM for that. you can download games off the internet and play for free
  8. K

    Apple to Announce new iOS and MAC OS X in WWDC 2012 event

    woww just seen the new iOS for my iphone 4 but video is not available yet soo sadd...am an apple fan too!
  9. K

    Ninawezesha Playstation 3 iweze kucheza Game kwenye HDD

    bado haijatoka bro mpaka october inshallah
  10. K

    Ninawezesha Playstation 3 iweze kucheza Game kwenye HDD

    1.samahani sana mimi sijamtukana mtu apa unanita mimi nyani?? 2.Kama ps3 taka wewe unafanya nini kwenye thread hii??usingekuja kabisa!! maanayake hayakuhusu na hujui yanayo ongelewa! 3.Mimi nimesema na ninasema tena ninatumia njia ya hardware ya kudowngrade ps3 sasa nimeamua kuwaonesha watu...
  11. K

    Ninawezesha Playstation 3 iweze kucheza Game kwenye HDD

    mimi sifanyi hacking iyo njia ulioionesha hapo! iyo ni njia ya zamani na haifanyi tena kazi kwa firmware mpya ambayo zaidi ya 3.56 !!! jamani kama kuna mtu yoyote mwenye kujua kuhusu ps3 hacking awaambie hawa wananchi ambao hawaelewi wanachoongea!! PS3 firmware starting 3.56 to 4.11 is not...
  12. K

    Ninawezesha Playstation 3 iweze kucheza Game kwenye HDD

    mimi nimeona comment zenu zote ni WRONG! yani hakuna ata mmoja anaejua the real ps3 hacking scene tafadhalini emu fanyeni Google search kwanza kabla ya kupingana na mtu kama hujua anachoongelea!!!
  13. K

    Ninawezesha Playstation 3 iweze kucheza Game kwenye HDD

    mbona mnaongea vitu ambavyo amuelewi????eti ameingia mitini !!! hehehe ilikuwa ninawatazamaa watu walivyo kuwa wajinga!
  14. K

    Ninawezesha Playstation 3 iweze kucheza Game kwenye HDD

    Enginneerr yupo in TOWN! wahi sasa unapata na free FIFA 12 ya ps3 installed in your ps3
  15. K

    Ninawezesha Playstation 3 iweze kucheza Game kwenye HDD

    Kama kuna mtu yoyote anataka kudowngrade and kuwezesha ps3 yake iweze kucheza games za kudownload Wasiliana na mimi.. Ps3 yako haijalishi iko firmware gani mimi ninahack ps3 aina zote!! let me know through PM
  16. K

    Msaada plz

    ok a bit offtopic:) OYAAAAAAAAAAAAAAAaaaaaa mazeee wako wapi?wataalamu vipi?tangu 12th may mbaka leo hamuonekani?
  17. K

    Wireless works well with ubuntu but not in windows

    Check kama una firewall yoyote iko on try disabling the firewall.
Back
Top Bottom