Search results

  1. S

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Sijahama kaka na kuna uwezekano wa kustahafia Pwani kwa dalili ninavoiona..
  2. S

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Kibiti-Pwani mm nije hapo Dodoma
  3. S

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwalimu wa secondary kama upo interested na Kibiti, Pwani pana umeme, maji na karibu sana na Dar... Nahitaji kubadilishana na mtu kutoka sehemu zifuatazo:- TANGA mjini MUHEZA mjini KOROGWE mjini PANGANI mjini DODOMA mjini MOROGORO mjini MWANZA mjini
  4. S

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nishachemka na kukata tamaa na hii mambo ya kubadilishana maana cpati mtu. Walimu wa SEKONDARI walopangwa Tanga hawataki kuja KIBITI-RUFIJI, haya kaeni nyie mfaidi lakini huko ni kwetu sie....
  5. S

    SHERIA MKONONI; Aliyedaiwa kuwa kibaka auawa na wananchi wenye hasira kali!!

    Wamalizwe wote coz Watu kama Hao ni warudisha maendeleo nyuma...
  6. S

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njooni Pwani huku Kibiti mie nirudi zangu Tanga jamani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! kuna umeme huku, maji, matunda, karibu na Dar, nauli kuja Dar ni 3500 tu na usafiri hadi saa 2 usiku........................mie nirudi zangu Tanga mjini jamani nimepamic hom ila ni kwa wale wa idara ya...
  7. S

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    humu jamiiforums namo mbona watu hawapo tayari kubadilishana vituo kiivo jamani khaaa?????????????????
  8. S

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Bumbuli upo idara gani ya msingi au sekondari na upo shule gani? kwehangala, Maduda au?
  9. S

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    naomba nitumie nambari zako za simu kwenye email yangu, tuongee na sidhani kama utapelekwa tofauti na hapo, mie ndo napatwa wasi na huko MORO.
  10. S

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mimi nipo Kibiti pana maji, umeme na karibu na dar usafiri kuja Dar ni lisaa limoja na nusu na unapatikana hadi saa 2 usiku kila siku. kwaiyo kwa wale ambao wangependa kuwa karibu na DAR au kuishi maeneo haya tubadilishane....mimi nipo idara ya sekondari na nina TSD namba, barua ya kuthibitishwa...
  11. S

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    kwa wewe wa Tanga mjini follow me kwny email yangu sheizashafi@yahoo.com ili uwe karibu na dar achana na moro njoo mjini mie nirudi home Tanga.
Back
Top Bottom