Si kila neno unaloliona sehemu basi linamaanisha hivyo unavyoliona na kulijua, lile neno unaloliona kwenye dora yaani "in GOD we Trust" hiyo GOD ni Gold Oil and Diamond.
Sera na Mipango ya BRICS haifanani na G20 kwahiyo sidhani kama wao wataliangalia hili kwa kununa kama unavyosema, na BRICS kwangu naona inaichachafya zaidi EU na G7 kuliko G20.
kuzaa au kutokuzaa nadhani ni kuacha tu asili ichukue nafasi yake, ukiangalia sasa hivi ulaya wanawabembeleza watu kuzaa na hawaraki kwasababu ya hizi sera ambazo walizipandikiza kwenye vichwa vyao muda mrefu.
Watu wazaane tu, kwamba watahudumiwaje mazingira yatatuwezesha na tutapata maalifa ya...
Dunia hii kuna watu unavyowaona siyo kama walivyo...umaarufu wao nyuma ya pazia kuna kitu au watu wanaratibu sasa wakati mwingine hawa watu maarufu hukiuka makubaliano ya hivyo vitu au watu walio nyuma ya pazia ndo shida huanza kuwapata, inasemekana Michael Jackson yeye alichoka kuwa chini ya...
Nenda kafuatilie kazi ya Soyuz kwenye hicho Kituo, ndio kifaa Pekee ambacho hutumika kusafirisha wanaanga kwenda na kurudi, pia kwenye hicho Kituo kuna Soyuz nyingine ambayo ipo standby kama likitokea Lolote basi Kiweze Kuwatoa wanaanga kwa dharura
Futatilia sana Utajua ni Nani katumika sana kufanya safari za Huko, vyombo vya mrusi ndio vimetumika zaidi kuliko vya mmarekani....Hawa zaidi zaidi watapeleka mizigo tu ambapo napo ni kwa Nadra sana....
Unajua vitu vingine bwana vinachekesha sana.....kabla ya kuwalaumu Vatcan kwa kupunguza kwanza wapongeze kwa kukuletea biblia. Biblia ipi unayoijua wewe iliyokuwa na vitabu vyote hivyo mpaka useme walipunguza?
Kwa mujibu wa taarifa toka Ukraine wanasema kuwa Urusi inarefusha maksudi vita ili vifike majira ya baridi muda ambao wanaamini kuwa mataifa ya ulaya yatake yasitake yatalazimika kuzungumza na Urusi tu.
Hiyokabla ya vita kuu vya pili vya dunia ilikuwa sehemu ya Ujeruman baada ya vita kuisha akaichukua,zamani wakati muungano wa Soviet upo manaake ilikuwa inafikika vizuri baada ya muungano kuvunjika manaake nchi za katikati zikajipatia uhuru na kufanya eneo hilo kuwa mbali na Urusi, mwanzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.