Search results

  1. Rose M

    Ni kwanini iko hivi?

    Natumai wana JF wote hamjambo huku jamvini.Poleni kwa wale ambao ni wagonjwa Mungu awape nafuu ya haraka. Naomba nisiwachoshe,kuna swali huwa najiuliza lakini sipati majibu. Swali: Ukiacha Nchi zilizo East Africa zilizobaki zinasoma saa kama ilivyo lakini sisi tunasoma tofauti.kwanini iko hivi...
  2. Rose M

    Hello..

    Mimi mgeni jamani naomba mnikaribishe
Back
Top Bottom