Search results

  1. J

    Dola 250,000 zaibwa CCM UK?

    Kuna kundi la wajanja kutoka CCM Birmingham likiongozwa na kapten wao Moses Katega na Nshomire wenzake/Wahaya wamefanya mchongo mzima, Viongozi wenzake Maina Owino,Alan Kalinga na Susan Mzee waambulia patupu,Wamepigwa changa la machoQUOTE=ccmuk;2131882]Inaashiria mambo kadhaa kama vile-Uongozi...
  2. J

    Maina Owino Ndani ya Radio Mbao!

    Nilibonyeza na kujiunga kwenye hiyo Link, mbona sijasikia hayo mazungumzo? Sidhani kama Maina Owino ana jipya lolote, sana sana ni kutoa Mijisifa na Kijinadi ili apate kusikika, atambue pia kuna athari zake. It is good to take a Risk IF You Do a Good Risk Assessments and Know the Outcomes of It...
  3. J

    Maina Owino Ndani ya Radio Mbao!

    Je kuna mazuri yoyote aliyofanya/afanyayo huyu Maina Owino? ni vizuri pia kuangalia upande huo. Tutambue ya kwamba sote(Binadamu) si Wakamilifu, tuna Mapungufu yetu. I hope CCM wanamlipa Maina Owino kifutia machozi, maana hapa jamvini amenyambuliwa sana, hii ni Kafara ama ameyataka Mwenyewe...
  4. J

    Maina Owino Ndani ya Radio Mbao!

    kazi kweli kweli
  5. J

    CCM Branch in Reading United Kingdom-Good Job!!

    I agree with you RAJ PATEL JR, most of these haters have tried with their derisory comments, and so far nothing they have achieved.
  6. J

    Elections 2010 Utitiri wa matawi ya CCM United Kingdom!! Njaa ama Kujipendekeza?

    Derogatory comments :confused2::mad2::banplease:
  7. J

    Elections 2010 Hivi wanawake wana haja ya kuipigia kura CCM?

    swali lako ni la msingi na ni zuri sana, jaribu pia kumuuliza mama yako/shangazi yako/dada yako/bibi yako/nyanya wako/mke wako na ndugu zako wanawake watakujibu kwa ufanisi na kiundani zaidi. Kila la kheri
  8. J

    Elections 2010 Utitiri wa matawi ya CCM United Kingdom!! Njaa ama Kujipendekeza?

    MMESHAANZA KUJICHOKONOWA, MIDOMO INANUKA SHOMBO LA KAUZU KUISAFISHA HAMTAKI, AMA KWA SABABU HII....BONYEZA BASI MICHUZI
  9. J

    Elections 2010 Kikwete apendekezwa na CCM kugombea urais 2010

    Kuna tetesi zinasema kwamba huyu "MAINA OWINO" ni MKENYA na amekulia na kusoma TANZANIA, na anajishughulisha na SIASA za USISIEMU na alishawahi kugombea huko RORYA na kutupwa chini na SARUNGI, Wakuu mnaomjua hii imekaaje?
  10. J

    Viongozi wa CCM, tawi UK

    TEMBELEA HAPA Chama Cha Mapinduzi - Tawi la London - Uingereza , VILAZA WENGI TU, KATI YAO NDIO ALIYEANDIKA HIYO TEXT MESSAGE YA HUYO DADA SUSAN MZEE YA KUMKASHFU, WAMESHATINGA CHAMWINO KUENDELEZA MAJUNGU :pound: :pound: :pound:
  11. J

    Viongozi wa CCM, tawi UK

    upuuzi mtupu!!!!
  12. J

    Viongozi wa CCM, tawi UK

    ME TOO :A S-eek::A S-eek:
  13. J

    Diodorus KAMALA yuko UK ziarani

    na wengine wakiuza sura kwenye ile website ya ccm uk
  14. J

    Diodorus KAMALA yuko UK ziarani

    NA AKIPATA NAFASI BAADA YA KUTOKA READING ATAHUDHURIA KIKAO CHA CCM HUKO BIRMINGHAM :dance::dance:, SIJUI WATAMKABIDHI VILE VIDUBWASHA VYA KUFUNGULI CHUPA ZA POMBE NA VINYWAJI BARIDI VINAVYOTOA NA MUZIKI WA CCM .....
  15. J

    Mwenyekiti wa TA UK

    Lyampinga, hapa nakupa Tano Mkuu, hapo umenena.
  16. J

    Mwenyekiti wa TA UK

    Na wewe umenipitaje hapa na huko? "we 'do rather be known for jumping THROUGH THE HOOPS Than wriggling out of Loopholes"
  17. J

    Mwenyekiti wa TA UK

    We "Mmakonde, kwani kuwa na nafasi ya Uwenyekiti wa TA - UK/CCM - UK ni lazima uwe na PhD? hii inaonyesha ufinyu wa fikra zako/fikra potovu, kama majibu unayo/umeyapata kutoka kwa wanaomfahamu Dr. John Lusingu si uyaseme ama umayapata kwa huyo mchungaji wako IRUNGU" pia umesema ulishawahi...
  18. J

    Diaspora inawezaje kuisaidia nchi?

    "Kuna wengine wanazo za Oxford ??? n.k na wengine wanazo za kununua so called themselves elites??!!!! na ni mabogus wa kutupwa" na bado wanamwaga matapishi yao hapa tuwaweke kwenye kundi gani? mhhh!! "mediocre"
  19. J

    Vyama vya Siasa na Matawi ya Ughaibuni

    Kama una muda wa kwenda shopping, kanisani, msikitini, ama kwenda pub/bar na sehemu zingine za starehe wakati unakazi au unasoma utaweza pia kupata muda wa kuhudhuria vikao ama shughuli za ccm
Back
Top Bottom