Search results

  1. M

    Tabia ya mabinti kuwafanya Boyfriends zenu baba or walezi wenu

    Hapo umewapa ukweli mtupu ndugu!!!
  2. M

    Hivi kitchen party zina maana (+vely) kwa wanaoanza ndoa?

    Hapa kwenye kitchen party hakuna la maana linalofanyika ila ni starehe za kibongo zisizo na maana yoyote na utumiaji mbovu wa rasilimali. Hapo kama ana mtoto shuleni ada wakati mwingine mtu hajamaliza lakini utakuta anafuatwa atoe mchango wa kitchen party. Cha ajabu ni ukiona...
  3. M

    BelindaJ: Tafadhalli!!!!

    Haa!ha!haaaaaaaaa! We umenikumbusha enzi za barua za maneno siku hizi zimegeuka sms
  4. M

    Jini hili au

    We mjomba kastori kako kazuri japo ka uongo Sasa wewe unatamani kuli-do jini m2 wangu....!!We noma! We una kipaji cha kutunga films hebu watafute akina kanumba waigize itauzika balaa m2 wangu.
  5. M

    huu unafiki wa kwenye taarabu unaanzia wapi!

    Huyo anayeikandia taarabu ni akili mgando tu kwani hiyo ndo miziki ya kitanzania. Sasa hiyo yote anayosifia kama bongo flavor utakuta imeanzia Marekani, bolingo ni huko Kongo, rege ni huko Latin America, charanga ni huko Caribean countries n.k Wengine wanapenda ila kwa akili mgando zao...
  6. M

    Habari ndo hiyo!!!!!!

    Uuuuuh! Kalete huku duniani tuweze ku-share matatizo yetu
  7. M

    They are Moving Mountains!!!

    Mmmh!! mi huko mgeni kabsaa cna la luchangia
  8. M

    Biashara ya ngono dar

    Kwa kweli hii serikali yetu inaelekea pabaya, tena pa kutisha!! Utashangaa wamachinga na wauza vitu vingine vidogovidogo wanatiwa virungu na kunyang'anywa mali zao eti wanachafua miji, sasa na hao wanaojiuza hawachafui miji na maadili ya kitanzania piA????? Huku kwe2 uchagani nawashangaa sana...
  9. M

    Elections 2010 Hebu ona huu upuuzi

    Mjomba sasa hawa ccm naona wamenunua killa ki2 halafu wanatudanganya eti Tz kuna mfumo wa vyama vingi. Sasa hivyo vyama vingi ni vya kushindani urais na kukosa tu! Hao ccm kama ndo kukuza kwenyewe elimu ya watanzania masikini kwa kuwapeleka watoto wao wadogo wakaishangilie ccm kwenye jua kali...
  10. M

    TUCTA: JK amechelewa kutamka nyongeza ya mishahara

    Hapohapo MGAYA shikilia uzi huohuo. Na naomba na wafanyakazi wote na familia zetu tumuunge Mgaya mkono. Huyu rais haelewi anachozungumza hata kidogo. Na kwa taarifa yenu akiingia ikulu kwa sababu ni muhula wake wa mwisho wafanyakazi sahauni kupanda kwa mishahara tena. Patafidiwa mpaka hilo...
  11. M

    Elections 2010 Waimbaji wa makundi ya dini kushiriki kampeni

    Hivi karibuni kwenye hutuba ya kuvunja Bunge Rais Kikwete aliwatahadharisha wananchi juu ya kuwatumia dini wakati wa kampeni. Lakini cha kustaabisha makundi ya dini yamekuwa yakiripotiwa kushiriki kikamilifu katika kampeni hizo. Hoja ni kwamba, hivi Chama fulani cha upinzani, kikitumia hivi...
  12. M

    Amepagawa, Hataki kunikosa.

    He maalim..! Hata na ramadhani hii pia watu wanajipaka majanaba?
  13. M

    Bro wangu anatafuta kazi

    kaka yangu amemaliza kidato cha nne, umri wa miaka 27 ni fundi mekanika amefanya mitihani ya VETA Motorvehicle mechanics grade two, na autodriving grade two also.Anaishi mkoani kilimanjaro na anaweza kwenda mkoa wowote kulingana na makubaliano na mwajiri wake.
  14. M

    Media zinabana picha za matukio ya mikutano ya Dr. Slaa?

    Inawezekana wameenda kushangaa helcopter tu halafu wakishapewa t-shirts, kanga na kofia wanavote for ccm
  15. M

    Natafuta kazi

    Wewe acha mambo yako ya kutaka kukaaa ofisi zenye viyoyozi, Hebu nenda kafundishe huko! Kazi zipo shida yako unachagua mno. Ni kwa nini kama uliamua kusoma ualimu usiamue pia na kufundisha?
  16. M

    My sister is looking for a tempo

    so do you want to marry her or what kaka jambazi?Sikuelewi hapo
  17. M

    My sister is looking for a tempo

    Huyo yupo mjji gani?ili tuangalie availability yake atakapohitajika kwenye kufanya kazi
  18. M

    Bibi!!

    we ya huyo yanakuhusu nini? Hicho ndo kipaji alichojaliwa na Maulana na wewe utakuwa na chako cha tofauti na wengine hujakijua tu. Sasa ck ukakuta tunakujadili utajisikiaje!!!?
  19. M

    Ukimdate mtu ni laziama mka...

    Huyo ana pepo la ngono mwogope na mkimbie kabisa Ila nikulaumu kwanza kwa ulivyojirahisisha kwake mpaka akafikia hali ay kukwambia anakupenda siku nyingi.Kama ungekuwa serious kwake na kumwonyesha unajali familia yako hivyo hupendi ujingaujinga msingefika huko mlipo sasa. Mpe ukweli na...
Back
Top Bottom